balozi wa kinywaji cha redds joketi mwegelo akimpa zawadi ya saa eliudi pemba, mmoja wa washindi wawili wa ubunfu wa michoro ya mavazi siku ya kuzinduliwa mashindano ya wabunifu wa mavazi wa afrika yanayoandaliwa na redds. mshindi mwingine alikuwa mtangazaji wa redio ya klaudz ef emu, gadna d. habash

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. I am tired to see people talk shit about me all the time. If you leave me alone I promise I ain`t talk shit to no body, I love you so much but some of you talk much shit and I decide to do the same too.I respect every body who give comments to this blog cause you got that autholity and freedom but when you curse me remember I can piss you off too with curse words like I had done before. I love Tanzanians and like our president Hon. Kikwete said it is time to Tanzanians Ugaibuni to come home and do something, I responded fully but see what other dummies talk about me? How many Tanzanians are overseas and have a lot of money more than me and had never come home and help his/her fellow citizens? So brothers and sisters lets be one thing and help one another. I only curse those who cursed me I respect every single mother in Tanzania so please do not get me wrong, you respect me I respect you. No body knows me you all talk dirty but you don`t know me and you will never reach where I am today, so you watch what you say about me, I am very dangerous...! Please lets all respect one another, I am a little young rich trying to struggle with my things, well one day I will reach where others like Dewji and Gulamali reached, so who knows lets wait and see... But I want to say this YOU WHO ARE TALKING SHIT AND COMPLAIN WHAT HAVE YOU DONE SO FAR TO YOUR COUNTRY? Michuzi nadhani nimeomba samahani kwa wote ambao hawanitukani katika Blog yako.. Asanteni Sana na karibuni sana The Great Britain!

    ReplyDelete
  2. Asilimia ya watu wanao kutukana brother Pemba ni wachovu tu wa kariakoo hawana kazi na muhindi akiondoka kidogo wanaingia kwenye internet na kuanza matusi.jack nimefurahi umewapa wapa kloloquin sasa kutafuna hawataki lakini uchungu wanau feel kiaina, Mimi nakuja huko december nitafika kwa mjomba Michuzi najua haters wataongea saaaana. Jack dooh! Bongo kuna vitu? mtoto huyo katulia nipigie simu basi akija Wema hapo UK najua kutakuwa na party flani unajua mambo ya kiwanja!

    ReplyDelete
  3. Waungwana hebu nisaidieni kidogo! je ni kweli Jack Pemba amezitoa hizo fedha kwa wachezaji au hajazitoa? na kama kweli amezitoa sasa hapo amefanya kosa gani?

    ReplyDelete
  4. Jack!

    Ever asked yourself why people hate you? Your past will always haunt you even though you now claim to be "little young rich ". If all accussations about you are true, 1. why not go and pay back the contributions you took for "wedding". 2. Have you done any compensation/reconciliation with girl you dumped?

    Waswahili said "dunia ni mduara" and the backlash is the consequence

    ReplyDelete
  5. Jack you may have little pocket change in your bank account. The real rich people don't go around talking about how rich they are, instead other people talk about their being rich. You never hear "Magic" Johnson telling people that he is rich, or Oprah telling people that she is rich, or Bill Gates that he is rich, instead the magazines talk about them being rich. You know what you lack Jack is WISDOM. You can be very book smart, and street smart, but you don't have wisdom.

    ReplyDelete
  6. Ni vizuri tukaangalia na mazuri pia hakuna mtu aliye PERFECT, kila binadamu anamapunguvu yake.na Jack amewaomba radhi ni vizuri ikapokewa kulikuwa na muarifu kama David na bado mwenyezi mungu aliweza kumtumia.Ni kweli msaada umetolewa na kuna wangapi wameshatoa msaada kama huo? kama anataka wachezaji bado angeweza kumfuta mchezaji binafsi na kumrubuni sio rahisi wachezaji wote wakaitajika.nne,ningepeta watu wapunguze kuongelea mambo binafsi,kama mtu anajisikia comforatable kukaa hotelini,labda anapunguza vurugu ya wapiga MIZINGA, kuna ubaya gani? kabla mtu ujatoa maoni ni vizuri ukatafakari, na unajuwaje kama umeme ni tanesco ndio wanachelewesha? Unauwakika gani na mipango yake moyoni ya kuwasaidia ndugu zake? kama kampuni imeamua kujitangaza kwa njia hio kuna ubaya gani? ulewe yeye anafanya biashara pia, uawezaje kutoa pesa kwenye timu ya taifa, wakati timu ya vijana ndio kuna maslahi utakuwa ni upumbavu au tuite biashara kichaa, mwisho ushauri wangu kwa jack pemba unafanya kazi nzuri ila matusi na majigambo yanapoteza ubora wa kazi yako, ujue bongo choka mbaya tuko wengi lazima tu mind,keep up brother, MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  7. Jack Pemba,
    I think to avoid all the confrontations,verbally,written or even physical you could hire a PR personnel to speak on your behalf whenever you deem necessary.PR is one area that could easily ruin your career or even good intentions.
    Also sometimes,its wise to keep investing in your core intentions as well as making sure that there is not "ghost from the past" that will block your path.Calm down and do what you gotta do.

    ReplyDelete
  8. kaka Jeff,


    maneno mazuri na mafupi. kiingereza pia kinaeleweka na cha kisomi sio huyo jackie chain hapo juuu maneno hayohayo kama mtoto wa darasa lakwanza anjifunza kuandika bwana. Jeff unanifurahisha sana hujui tuuuuu.

    wewe ni learned.

    ReplyDelete
  9. wewe Jacki eti wewe ni tajiri??? Tajiri gani mwizi?? Tajiri gani anachinja kuku kwenye bucha ya muhindi??? wewe ni mshinja kuku bwana usitake kutishia watu wasio kujua.

    Etii unasema wewe ni mtu hatari sana kwa kweli ni hatari kwa sababu unatoa maisha ya kuku bila huruma na kwa malipo kidogo tuuu.

    Ni kuku tuu utachinja uchinji mtu hapa.

    ReplyDelete
  10. Jacki,

    nakala ya hayo maandishi umeendakia hapo juu tunapeleka kwa kikwete umesema yeye ndio amekupa mualiko wa kuja kutishia watuuuueeeee haya sasa utakiona cha mtema kuni.........

    na hivyo vi senti vyako vya machinjioni vyote vitakwisha.

    Juzi umekuja na viwigi na vimarashi umehonga honga na kuwa lala watoto wa watu unajiona mshindi

    Na utaikoma hii ndio bongooo.

    Huna lolote bidii zote hizi unatafuta kulala tuu na mtoto wa watu Wema.

    kuwa na simile.

    ReplyDelete
  11. wabongo acheni kuchonga vimwana wa bongo wakishajua mambo safi, wanakuja moto, swala ni kumshahuri jinsi ya kuepukana nao.

    ReplyDelete
  12. Ndugu yangu Jack Pemba naomba uelewe kuwa Mwenye Pesa huwa hajitangazi kama yeye ana pesa, Ni pesa zenyewe huwa zinajitangaza, Naomba upate mfano wa Kina Bill Gates, Oprah, Mike Jackson na wengi wengineo. Mimi naona kama unapesa ya kununulia kitumbua kwa mama ntilie tu kama sisi wengine. Mwenye pesa akitoa Shillingi Millioni moja huwa hasemi kama katoa pesa.

    ReplyDelete
  13. Hey Jack did you forget that phrase that goes,"money ain't a thing"?. It's not about your money, it's about how you treat people, and respect people. Here in the U.S. back in 2001, during 9/11, a prince from Saudia gave a check worth of millions of dollars(not shillings) to the then NYC mayor Giulliani. But guess what, that check was REJECTED because the prince gave negative comments about the U.S. So don't think because you have little money is all what matters, respect to others is what matters. Again, "money ain't a thing".

    ReplyDelete
  14. achane ujinga nyinyi,

    huyo jack anajaribu kujitetea lakini tumekuelewa baada ya kuomba msamaha....kanusha kama sio

    mimi nimekufuatilia japo sijakumaliza lakini ndugu yangu mie ninachokuambia ni kwamba angalia maana mfano wako ni kwamba hawana hela na pia ni kwamba wanasumbuliwa na ushamba kwamba jana walikuwa maskini na leo matajiri.

    naona nduguyo anafanya kazi kama kawaida hata suti hana lakini ni mbishi tu. inapendeza.

    ndugu msami tuendelee kumshauri jack kabla hajaumbuka maana ni kwamba anakoenda sio kuzuri. kuna mtu mmoja aliwahi mshauri jack ajipange na hilo unalosema ni kama unapiga mstari.

    jack you grown up brother.acha ujinga.

    ReplyDelete
  15. Hivi ni kweli ni huyu Jack ameandika au mtu mwingine? kama ni yeye basi iko kazi ha ha ha. Yaani yeye tajiri na wengine hawatafika alipofika? Mungu wangu, hivi ni yeye kweli huyu????

    ReplyDelete
  16. jamani hata mimi nilikuwa najiuliza swali hili hili hivi punde kama huyu jamaa ni pumbavu kiasi cha kuandika matapishi kama haya???

    Au kuna mtu ameamua kutumia jina lake kumuharibia???

    nina imani kubwa sio yeye huyu jamaaaaa!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  17. Dada MREKEBISHARIKA, well tumegundua kuwa wewe ni dada, haidhuru, anyway suala ni kwamba mtu kucheka au huyo mzungu kucheka sio lazima kwamba alikuwa naelewa kila kinachozungumzwa au kufurahia, labda alikuwa anashangaa jinsi lugha yake inavyovunjwa! wazungu sometimes wako hivyo, trying to be polite, sarcastically.

    ReplyDelete
  18. Naona Msami unajaribu ku forge ushikaji na Pemba sasa eeh? Jack huyo jamaa hana mpango wowote anataka tu ku freeload(dezo) akifika hapo UK,mambo yawe rahisi, keshasikia mambo yako yapo alright hapo anajipendekeza.
    yote shwari lakini utajiongezea idadi ya wapambe, huwezi jua labdaaa.... ehee!!!?

    ReplyDelete
  19. We jack acha kutafuta sifa kwa lazima! acha wenyewe tuone halafu tukusifie! Kazi kuandika matusi tu.. watu waliozaliwa tandika utawajua tu!

    ReplyDelete
  20. Jamani sisi ni wabongo haya matusi yanatokea wapi? Mtoto wangu nimemkuta anasoma hizi comments!! Jamani Mr Michuzi weka heshima kwenye hii web site!!
    Jack, bro is this what you have become? Kubishana kunasaidia nini? Matusi gani haya jamani!!Its about who wins or insult more, what comes out of you describe your character,what are you doing??
    Michuzi, please do something about this, its absurd!!

    ReplyDelete
  21. Inaonekana huyu Eliudi Pemba anavishwa pete ya uchumba na huyu dada? Mh nafikiri wamekucha kweli kweli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...