jk akisalimiana na bosi wa jack pemba, raisi wa gsb, james gamble leo tofaa kubwa. katikati ni zamunda kangezi, mmoja wa wadau wakubwa wa michezo bongo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Majungu ya wabongo yataisha sasa

    ReplyDelete
  2. wabongo bwana, trivial issues zinatuchukulia muda wetu mwingi sana.

    ina maana huyo jamaa kukutana na jk ndiyo kamfutia madhambi jack pemba kama alikuwa nayo.

    kama ni hivyo, jk kukutana na kichaka "bush", matatizo ya umeme kule bongo yataisha kesho?

    namna gani jamani? tujadili issues, siyo personality za watu ambao hawana mchango wowote kwa maendeleo ya taifa letu.hawabdilishi kitu hawa watu.watabakia kuwa wao na maisha yao.

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa wa hapa katika nani? mbona amekenua mimeno kama ngili? uso mweusi kama msenegali au mjaruo!!! Hapa ni meno tu yanaonekana...

    Mtindiga kalimanzela

    ReplyDelete
  4. Watu walimzungumzia Jack sio Gamble.Hicho ndio Gamble alikua anataka

    ReplyDelete
  5. ACHANE UJINGA NYINYI......JK MTU WA WATU. KWANI KUSHIKANA MKONO MBONA HATA WALE WAUZA UZURI NA VITUNGUU PALE MANZESE WANASHIKANA NAYE MKONO.

    KWANI KUSHIKANA MKONO NA JK NDIYO KITU GANI. HAKUNA KITU KIKUBWA WANDUGU , NI NAFASI YA KUSALIMIANA TU NA HAKUNA LA ZIADA.

    JACK PEMBA ATAEDELEE KUWA MZUSHI TU. HAKUNALOLOTE LA MAANA . HAWANA LA MAANA WAZUSHI TU HUYO JACK NA BOSS WAKE.

    ReplyDelete
  6. Jack Pemba nimekucheki mwanangu leo mida ya saa sita mchana mitaa ya Samora - JM Mall ndani ya Yellow. Cheni kuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Yasije yakatukuta ya akina ARTUR BROTHERS wa Kenya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...