provosti wa chuo kikuu cha nyuu yok yunivesti profesa yaw nyarko akimpa zawadi jk baaya ya kuhutubia chuoni hapo leo juu ya vivutio vya utalii na uwekezaji bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. i hope wananchi wakirikitwa wataanza kuelewa kwamba hawa viongozi hawaendi kutembea na kutanua tu but pia kutafuta vijideal kwa bongo

    ReplyDelete
  2. UWEKEZAJI AMBAO ASILIMIA KUBWA HAYO MAKAMPUNI NDIO YANA FAIDIKA NAYO. MIKATABA YOTE HAIKO KTK KUMTETEA MTANZANIA WA CHINI NA ALIYE MASIKINI.

    ReplyDelete
  3. We anony hapo juu, uwekezaji kwenye utalii na chuo kikuu wapi na wapi? Wrong message to wrong people. Unataka utalii kutana na hao travel agents wao ndio watakao washawishi watalii. Hao wanafunzi ukishawaambia tu return ticket ni elfu mbili tayari hata hiyo hamu ya bongo hawana.

    ReplyDelete
  4. Hivi nani anapanga raisi aonane na nani na wapi?Kwenye picha nyingine hapo kabla naona raisi anawahutubia watanzania hao hao aliokuja nao.Kwanini wanachoambiana hapa wasingeambiana huko huko Tanzania?

    Kimsingi,nchi masikini kama zetu haziwezi kuwa na uwezo wa kupeleka Marekani kundi kubwa namna hiyo la watu. Ni uharibifu wa pesa za nchi.Hapa ndio ninaamini kwamba Kikwete hana tofauti kabisa na maraisi waliopita zaidi ya kwamba ana sura yenye mvuto.

    Hili linaendana kabisa na matumizi mabaya ya ndege ya raisi ambapo hivi sasa imegeuka kuwa "shopping basket" ya mke wa raisi.Majuzi alikwenda nayo Swaziland kuhudhuria sherehe za mfalme Mswati kuchukua jiko la 14.Kwanini?

    ReplyDelete
  5. Nilifikili maelezo ya picha za juu yalieleza raisi akihutubia wabonga na wanafunzi(wabongo and whatever) kuliko kwamba anahutubia msafara wake? Take yor tie go through the content.

    ReplyDelete
  6. Wabonga kumradhi- wabongo

    ReplyDelete
  7. Mmmh! Kichekesho ni pale JK anapokomaa kuhutubia University New York ambapo huku kwake University of Dar es Salaam wanagoma kwa kukosa hela za msosi......what a contrast!!!

    ReplyDelete
  8. MI SI NILISEMA HAWA WAZEE NI WESENGE WAKUBWA, WEZI NA WALA RUSHWA WANAO IRUDISHA NYUMA NCHI YETU ALAFU KUNA WATU WENGINE WANAJIFANYA HAWAONI HALI HALISI NA KUWAUNGA MKONO, YAANI KILA KONA BONGO NI NUKSI NA SHIDA TUPU.NINA HASIRA KUBWA SANA KUONA RAIA ZAIDI YA MILIONI 33 WAKIWA NA MAISHA YA KIMASIKINI NA KUTOKUWA NA MAENDELEO KUTOKANA NA UONGOZI MBAYA WA HAWA WEZI NA WALA RUSHWA.

    ReplyDelete
  9. Haters!
    Wote mmekimbia bongo mko ulaya ndio mnajifanya mnajua kila kitu,kama mgejua si mngebaki bongo kurekebisha system instead ya kukaa nje ya uwanja na kukosoa wachezaji?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...