WAPENDWA, KAMA NILIVYOAHIDI, NARUDI TENA KWENYE KIMATUMBI. AMA HAKIKA NIMEGUNDUA KWA FURAHA WENGI WETU TUNAPENDA KISWAHILI. HIVYO NASHUKURU KWA KUNIVUMILIA NA PEPA YA KIMOMBO ILIKUWA TAFU KIASI. MATOKEO KAMA MAZURI NTAWAJUKISHA. KAMA KARAI BASI NTAMEZEA.
Home
Unlabelled
LUGHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


michuzi, u are a funny dude man. u just wanted to set the record straight. Nafikiri watu walikuwa wanataka tu uchague moja, kikristu au kibantu, badala ya ile ya english mbovu....i never liked that 'shit' either, na kuna marafiki zangu wa karibu wanaitumiaga inanikera sana. Mimi ni mpenzi mkubwa wa kiswahili, na nina mipango ya kuja kusaidia kukiendeleza, hasa kwa 'none believers'!
ReplyDeleteTanzania watu wanaongea kiswahili, english na swanglish. Naona tuwe na uhuru wa kutumia vyote.
ReplyDeleteThis is not official business, just a blog and a place to have fun.
Afteralli wi aree noti goingi to do mthiani hapa.