New look Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Wow, this does surely look new to me!! I was told this building is at Ohio Street, is that true? Haven't been home in a while; yeah, ndio sisi wabeba box ughaibuni:-) Thanks for the pic. bro!

    ReplyDelete
  2. picha nzuri michuzi inanikumbusha nilivyokuja hivi karibuni

    ReplyDelete
  3. Panaanza kufanana na Lagos, Nigeria. Picha safi sana.

    ReplyDelete
  4. NDUGU ZANGU WA DAR ES SALAAM. BAADA YA KUCHOSHWA NA UJINGA WA HUYU JAMAA ALIYEAMUA KUACHA FAMILIA YAKE INATESEKA NA KUGAWA HELA KWA WATU WENGINE NAONA SASA NIWAPELEKE KATIKA KATOPIC KADOGO.

    Jacqline ndiye sexiest Girl


    Mrembo Jacqline Ntuyabaliwe a.k.a K-Lyin ametajwa kama ndo msichana mwenye mvuto baada ya kuwapiku warembo wengine 10.

    Shindano hilo ambalo liliendeshwa na gazeti la Ijumaa lilishirikisha warembo 10 ambao picha zao ziliwekwa gazetini na watu kupigia kura nani atoke hadi walipobaki watatu walioingia fainali

    Katika fainali hizo mrembo Nancy Sumari alitolewa na kubaki Jeniffer John ambaye alipigwa kikumbo na K-Lyni kuibuka mshindi

    kwa ushindi huo K ambaye aliwahi kuvikwa taji la Miss Tanzania mwaka 2000 atazawadia fungu la kufanya shopping pamoja na kulala katika hotel yenye hadhi ya nyota tano na ampendaye.

    Warembo waliobwagwa na k ni pamoja na Faraja Kotta,Fezza Kessy,Hoyce Temu, Rah P,Sylvia Bahame,Ray c, Angela Damas.

    K-Lyin

    ReplyDelete
  5. Hiyo taarifa ya k-Lyn ina uhusiano gani na hii picha ??????????

    ReplyDelete
  6. naona mwamdishi alipotoka..alisahau kwamba hii sio ile page yenye yule msenge anayetombwa na ray pale regency park ili kulinda heshima yake.

    masikia analala chumba kimoja na mzungu mmoja.

    ANGAZO:

    msiwe na hasira hadi mkasahau page za kupost comment zenu hapa tunazungumzia dar na picha kila kona.

    AKSANTENI.

    ReplyDelete
  7. NAOMBA UKISMA UELEWE MAANA KWA KWELI....SIE WENGINE HATUTAKI KUINGIA KATIKA UO MZOZO.

    KAMA MIMI NINGEPENDA KUWEPO LAKINI NAONA KUNA TATIZO AMBALO NYINYI WOTE LABDA HAMLIJUI.

    JIULIZE , IWEJE TFF WAWEPO KATIKA MAGAI YA FEDHA YA MTU AMBAYE WAO WAMEKIRI KWAMBA NI MJANJA TU. PIA IWEJE TFF WAKUBALI.WATU WANASEMA SHINGO UPANDE, JE TFF WENYEWE WANASEMAJE?

    MIE SIWAELEWI NAOMBA TUONGEEE MENGINE YA MAANA NA TUACHANE NA HUYO MJINGA.

    MICHUZI...TUWEKEE PICHA YA TAIFA STARS HAPA TUANGALIE KAMA NYUSO ZA MAFANIKIO ZIPO AU TUNAKULA MATUMAINI YA MAGAZETI.

    NAZUNGUMZA KWA KUWA MIMI SIPO TANZANIA KWA SASA. NIPO MASOMONI NJE YA NCHI.

    ReplyDelete
  8. Michuzi na mimi naungana na jamaa hapo juu tunaomba picha za Stars ikiwezekana kikosi cha jumamosi na majina yao kaka tupo mbali lakini at least tuwajue basi maana na majina mageni matupu.
    halafu dada CHEMI dar kuifananisha na LAGOS of all the places in the world?? labda kidogo ungefafanua au upo huko? noo...zisije na tabia za huko zikaingia na Dar buree, ma...419 itakuwa noma!

    ReplyDelete
  9. Mimi natoa ushauri tu kwa wale wenye nia ya kujenga haya majengo makubwa,haya majengo kama yangejengwa nje kidogo ya city centre nahisi yangepunguza ulazima wa watu kupambana na foleni za mjini, mfano mzuri umeonyeshwa na Ubungo plaza iliyopo ubungo na Mwalimu house ambayo imejengwa Ilala Boma pia kuna mlimani city ambayo iko mitaa ya chuo kikuu nimesikia pia kuna project inatakiwa kuanza pale external lakini sijui ya nini, hebu piga picha maghorofa marefu yakiwa yako mbagala, kimara, gongo la mboto ooops nimesahau jamani manzese nako maghorofa yameanza kuota kama uyoga

    ReplyDelete
  10. Kaka Michuzi, naomba rungu lako la Polisi liendelee kulinda heshima ya hii Blogu.

    Wenye kutoa hoja zao kwa kutumia kashfa, matusi na vitisho naomba uchape rungu hoja zao(uzifute).

    Tunaweza kulumbana na kukosoana bila kutumia lugha zinazofanya wengine kama Lusajo kulalamika kuwa heshima ya hii blogu inashuka.

    Mfano Anony wa 2:40pm, kwa mtazamo wangu amevuka viwango vya lugha ya heshima.

    ReplyDelete
  11. Hapana michuzi naomba unifafunulie hilo tangazo la ladha ya Texas ndani ya Bongo!Tafadhali!

    ReplyDelete
  12. Siku hizi Bongo naona tumeendela sana, kuwa na wachoraji na wajenzi wa majengo wakali hivi! Au zimechorwa nje hizi?
    Mnaweza mkanisaidia contacts za makampuni ya wachoroji? Natarajia kurudi nyumbani hivi karibuni, na nina kiproject kidogo. Asanteni.
    J/Ally.

    ReplyDelete
  13. JENGO HILO NASIKIA LILICHORWA NA KAMPOUNI YA MCHAGGA MMOJA HIVI. MAREALLE OR SOMETHING LIKE THAT. ANATINGISHA MJI KIDOGO NA KAZI ZAKE. ANAJITAHADI KIDOGO, INGAWA MBONA MAJENGO YOTE YAMEKAA KIZUNGU-ZUNGU SANA. ANGEWEKA NAKSHI ZA KISWAHILI AU ZANZIBARI PIA KIDOGO.
    HATA HIVYO, ANASTAHILI PONGEZI ZAKE.
    KAKA MCHUZI, NIMEFURAHIA PICHA HII, KWANI INAONGELA MAENDELEO NA SI MATUSI NA MASENGENYO KAMA NILIVYOONA KWINGINE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...