2
namhoji kocha wa taifa staaz marcio maximo ofisini kwake jana. naposti picha hii huku bwawa la maini tukiwa chini 0-2 kwa evatoni na sasa ni haftaimu... du, noma!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. pole michuzi, naonammemtoa Crouch na Fowler, sijui nani atafunga? any way kwa kuwa wewe ni mshirika wetu tutakuombea ushinde leo au angalau Draw

    ReplyDelete
  2. Game over michuzi

    Everton 3 - 0 Liverpool.
    Cahill 24
    Johnson 36,90

    Johnson ata waonesha mwaka huu kama yeye ni bingwa wa kufunga magoli na mtakoma hapo bado!!

    Wasalimu,
    Wazee wa man Utd aka The Red devils.

    ReplyDelete
  3. yaani... we acha tu. nilikuwa leo nitoke lakini naona kijiweni watanimaliza leo. acha niminye hadi kesho, lakini jamaa wametuangusha kweli. naona kina semkae wanakenua. ngoja tuwaone na wao wana jipya gani. hata aseno nao wamepigwa zengwe!!! hii noma sasa!

    ReplyDelete
  4. Sawa Michuzi naona unajaribu kutoa droo, lakini 3-0 sio sawa na 1-1, nimeona ile gemu baba ule mziki uliokuwapo Arsenal sasa hivi ukija kuchanganya itakuwa shughuli pale kwa bi Mkubwa, The Beast, Rosicky na Henry!!! watu watarudi sana katikati kuanza, sasa hivi bado hawajaelewana vizuri tu, halafu bado kuna watoto kama Kina Van Persie, mimi nakubali season hii bado tupo kwenye rebuilding, hatuna mategemeo makubwa sana tusikilize mambo hapo katikati ya msimu.

    ReplyDelete
  5. Michuzi huyu Bwana anaongea Kiingereza au Kireno??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...