mitaa mingi hapa newala inafungwa majira ya asubuhi, hususan wakati wa kikao cha baraza kuu la umoja wa mataifa kwa sababu za kiusalama. nawaonea huruma wenangu na mie wa kupanda daladala. sema treni za chini kwa chini bado huwa zinadunda

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Dar ingetakiwa kuwa na treni za mjini angalau!Treni za chini hata sithubutu kubunia ni lini zitakuwa hata katika mahesabu

    ReplyDelete
  2. HALAFU ZITUMIE UMEME UPI UNATAKA KUUA WATU WA WATU JAMANI

    ReplyDelete
  3. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete
  4. Michuzi, huko ndo nilikuwa nakuja siku ile tulipokutana pipani wewe ukielekea Ujarumani miaka ileee... Palinishinda ndo maan saa hizi niko Uswahilini...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...