mbunge wa temeke abbas mtemvu (shoto) alipotembelea kituo cha yatima na kutoa msaada kwa niaba ya klabu ya singasinga ya gerezani dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Haya ndiyo maendeleo.... Siyo kukusanya fedha mwaka mzima ukifanya kazi halafu unazimalizia kwenye sehrehe moja ya harusi wakati ndugu zako (WaTanzania) wanahitaji msaada).

    Vijana mpo?? Changamoto mnaiona? Naomba kutoa hoja Kaka Muhiddin

    ReplyDelete
  2. Mtu kajifanyia kazi yeye mwenyewe, halafu wewe unataka kumpangia bajeti..wapi na wapi...una hakika gani hasaidii ndugu zake? Be realistic....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...