prodyuza maarufu mfini miika mwamba yupo bondo na sasa amejichimbia na bendi ya toti akirekodi. hapa walikuwa bagamoyo walipokuja kutumbuiza jumanne ilopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi hii swadakta mzee, lakini hebu nambie hii bondo ndo nchi gani, maanake unaposema bondo mimi nakumbuka enzi zile boarding school bondo kwetu ilikuwa na maana ugali mgumu, pia ngema, chui n.k makene upooooooooo!!!

    ReplyDelete
  2. SIO BONDO NI BONGO BABA.

    ReplyDelete
  3. Jmani mtoto wa Ilala (Misambano)naona mambo safi kwa jinsi alivyofunga.Hivi ile kasi yake ya kubaka ilishia wapi?Makene tukumbushe..............

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...