nikiwa na rajabu nasoro zubwa (shati lekundu la mistari) chuo cha sanaa bagamoyo kwenye tamasha la sanaa. hawa ni baadhi ya wanasarakasi anaowafundisha na ambao wamepata tenda kwenda ujerumani na kufanya maonesho kwa miaka mitatu. zubwa ni mmoja kati ya wale vijana 20 waliokwenda kusoma sarakasi china miaka ya 60, na ni wanne tu ambao wamebaki wakiendeleza libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahahahahahaahhhahahaha!hiyo mawani!du!nakumbuka kaka yangu mmoja anaitwa paul ndunguru alisoma bagamoyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...