Home
Unlabelled
shangwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nini kimekusababisha ukakenua hivi we mama?Michuzi tupe sababu.....
ReplyDeletealikuwa anatambulishwa na hapo ndio anawapungia baada ya kutajwa
ReplyDeletemichuzi kwakweli utanivunja mbavu!hivi ni hali ngumu ya maisha au?mbona sura za watu huko ni nzito sana !jamani!yani huyo mama so disappointing...hana ata pozi!shida bibi.haya wenye wivu mjinyonge.
ReplyDeleteJamani kuishi Marekani si kwamba kila kitu kitakuwa kama mnavyofikiria.Appearance yako itabaki kuwa ile ile sasa mwataka huyo m-mama aonekana vipi zaidi ya hivyo?eboo
ReplyDeleteHII NI BIHARAMULO BWANA MICHUZI DU! I LOVE EUROPE!!! JEG ELSKER DET!!
ReplyDeletenå har vi jævla nordmenn eller svensker her for faen!...hii ni blog ya kiswahili....
ReplyDeleteKwani kasemaji vya kukukera wewe mswedish mbona kimekuuma hivyo, au ndio kutujulisha kuwa na wewe kinapanda?
ReplyDeleteEBO UMESAHAU SHANGAZI YAKO ,MAMAKO MDOGO MAMAKE HALIMA [JIRANI] WANAFANANA VIPI?AU KUKAA NJE MIAKA MINGI UMEWASAHAU?WAAMBIE WAKULETEE PICHA UWAKUMBUKE WANAFANANA .KAMA HUYO MAMA!MWENZAKO HAPO KAOGA, KAUPURA NA JAKET JUU !!MWANANGU MWE !!
ReplyDelete