newala ooooyeeeeeeeeeee!!!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. nini kimekusababisha ukakenua hivi we mama?Michuzi tupe sababu.....

    ReplyDelete
  2. alikuwa anatambulishwa na hapo ndio anawapungia baada ya kutajwa

    ReplyDelete
  3. michuzi kwakweli utanivunja mbavu!hivi ni hali ngumu ya maisha au?mbona sura za watu huko ni nzito sana !jamani!yani huyo mama so disappointing...hana ata pozi!shida bibi.haya wenye wivu mjinyonge.

    ReplyDelete
  4. Jamani kuishi Marekani si kwamba kila kitu kitakuwa kama mnavyofikiria.Appearance yako itabaki kuwa ile ile sasa mwataka huyo m-mama aonekana vipi zaidi ya hivyo?eboo

    ReplyDelete
  5. HII NI BIHARAMULO BWANA MICHUZI DU! I LOVE EUROPE!!! JEG ELSKER DET!!

    ReplyDelete
  6. nå har vi jævla nordmenn eller svensker her for faen!...hii ni blog ya kiswahili....

    ReplyDelete
  7. Kwani kasemaji vya kukukera wewe mswedish mbona kimekuuma hivyo, au ndio kutujulisha kuwa na wewe kinapanda?

    ReplyDelete
  8. EBO UMESAHAU SHANGAZI YAKO ,MAMAKO MDOGO MAMAKE HALIMA [JIRANI] WANAFANANA VIPI?AU KUKAA NJE MIAKA MINGI UMEWASAHAU?WAAMBIE WAKULETEE PICHA UWAKUMBUKE WANAFANANA .KAMA HUYO MAMA!MWENZAKO HAPO KAOGA, KAUPURA NA JAKET JUU !!MWANANGU MWE !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...