kikosi cha staz kilichoiua bukina faso 2-1 jumamosi.

juu toka shoto: henry joseph,athumani iddi, victor costa, renatus njohole, salum swedi, gaudence mwaikimba.

chini toka shoto: abdul kassim, saidi maulidi, ivo mapunda, mecky mexime, nsajigwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kiwango cha Victor Costa na Mecky Mexime inabidi kitupiwe macho kabla hatujacheza na Msumbiji. Ila walijitahidi kulitetea Taifa letu.

    ReplyDelete
  2. mimi mpenda soccer ningependa kuuliza kwanini kiwango cha victor costa na mecky viangaliwe upya ungetupa ufafanuzi sisi wengine wapenda soccer tuelewe

    ReplyDelete
  3. Hao ndugu zetu wanafanya kazi kubwa saana katika kupeperusha bendera yetu ya Tanzania. Naomba sote tuwape support ya kila namna af tuamini kwa moyo wote tuone kama hatujaenda South 2010. Jamani tunaomba mtutoe kimasomaso, watanzania wote tuko pamoja nanyi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...