Home
Unlabelled
staz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kiwango cha Victor Costa na Mecky Mexime inabidi kitupiwe macho kabla hatujacheza na Msumbiji. Ila walijitahidi kulitetea Taifa letu.
ReplyDeletemimi mpenda soccer ningependa kuuliza kwanini kiwango cha victor costa na mecky viangaliwe upya ungetupa ufafanuzi sisi wengine wapenda soccer tuelewe
ReplyDeleteHao ndugu zetu wanafanya kazi kubwa saana katika kupeperusha bendera yetu ya Tanzania. Naomba sote tuwape support ya kila namna af tuamini kwa moyo wote tuone kama hatujaenda South 2010. Jamani tunaomba mtutoe kimasomaso, watanzania wote tuko pamoja nanyi!
ReplyDelete