tamasha laendele mwendo mdundo hapa bagamoyo. hii ni ngoma ya asili toka songea ambapo wachezaji huvaa magome ya miti na kubeba zana za vita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bonge ya picha ya kiuandishi. Picha hii inaonyesha utajiri wa kitamaduni na uwezo mkubwa wa wazee wetu kubuni mavazi kwa kutumia zana walizonazo

    ReplyDelete
  2. tumeambiwa picha hiyo chini ndiyo inaonyesha utamaduni wa mwafrika alisi. Mzee Absalom hebu tuambie utamaduni wetu halisi ni upi naona vijana wamechanganyikiwa siku hizi.

    ReplyDelete
  3. Mimi naona mwenye matatizo ni MICHUZI kwa sababu amekuwa akipiga kelele kila mara watu wasitumie lugha ya matusi katika blog yake lakini imeshindikana, sasa ningemshauri kama kuna utaalamu angefanya ili message za matusi zisiweze kuwa posted basi tungefurahi sana. Sijaona ubaya wa picha hata moja iliyo kuwa posted na bwana MICHUZI lakini naona aibu sana kwa kusoma matusi machafu na hakuna hatua anazo chokua kuifanya hii blog isiwe na hayo matusi. Bwana MICHUZI wengine tuna watoto wa umri mdogo ambao kila mara wanapenda kuingia katika blog yako kujionea maendeleo ya Tanzania ukizingatia wameondoka wakiwa bado wadogo na wanaipenda bado nchi yao sasa wanapokutana na matusi mazito katika blog yako na wewe kama mmiliki wa hii blog umeshindwa kabisa kuonya kwamba yeyote atakaye ingia katika hii blog na kupambana na matusi ni hiari yake! Nakushauri Mzee michuzi utafute mbinu kitaalamu kuzuia haya matusi kwa kweli yanawa affect sana watu ambao una post picha zao, na wengine sisi tunao ingia kwa nia njema kuangalia blog yako. Usipo angalia italeta chuki miongoni mwao na wewe mwenyewe. Kuna blog nyingi zinaweza kuchuja comments za watu kabla ya ku postiwa kwa hiyo hata wewe MICHUZI ungeweza kufanya vivyo hivyo. ASANTE SANA BROTHER MICHUZI NINATOA MAONI TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...