bei ya fedha za kigeni dhidi ya madafu leo. juma lililopita ilikuwa dola moja kwa madafu 1,350/-hivi, kutegemea na duka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hello Michuzi basi uwe unatuwekea rate kama hizi kila wiki au baada ya wiki 2 ndugu yangu zitatusaidia sana huku ughaibuni tunapotaka kuwasaidia ndugu zetu na nchi toka majuu.
    Natanguliza shukrani nyingi

    ReplyDelete
  2. Mkuu hapo juu,
    hujaelewa motive ya Michuzi anapoweka mambo kama haya. Hii ni another syle ya JK AFANYE KWELI huku mambo mengi hayaendi na siku zinazidi kukimbia.

    Ukitaka kujua rates za kila siku angalia website ya CRDB

    ReplyDelete
  3. Usiziite pesa zetu za madafu.

    ReplyDelete
  4. HAYA KAMA UNAVYOJILETEA BALAA MWENYEWE KWA KUKARIBISHA MAMBO MABAYA NA TUHUMA KWA KUWEKA TENA PICHA KAMA YA CYNTHIA MASASI, BASI TUWEKEE SASA NA BEI ZA KUPATA KUMA, KAMA YA ANNA KAHAMA, MAANA ANATOA TU SIKU HIZI, LAKINI KINYEMELA. AKISHAPIGA TUNGI TU WEWEEE, DADA MLEVI HUYU SIO MCHEZO. KUMZIDI HATA MAMA YAKE.

    ReplyDelete
  5. Mwananchi hapo juu umenichekesha sana. Ni kweli naomba nimsapoti ndugu hapo juu, Anna Kahama ni mlevi bila shaka kama sikosei ni alcoholic, alikuja Canada November last year, mtumeeeee dada anakunywa huyu na anawamaind sana wazungu, na cha ajabu ni kwamba Aunty yake wa Canada naye alikuwa hana noma anafurahishwa tu na kitendo cha binti yao. Lakini aah, maisha mafupi bwana, alijitia kushindana na mumewe mambo yamemshinda Mzungu akamtosa, akapata mwingine wa muda, hata aliyekuwa naye hapa Canada last November walikuwa benet sijui kama ilikuwa ndio love forever au tu wa ku past time. Na tulisikia ana mimba je ni kweli waungwana mwageni habari basi, maana hapa kwenye bulogu huwa zinamwagwa habari za uhakika. leteni mambozzzzzzz. Ahsanteni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...