mama salma kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa walter

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. That funeral home in Detroit did a great job. They must be used to embalming gunshot victims. What a sad day in Bongo.

    ReplyDelete
  2. Sasa 1st lady anahusika nini hapo? Ok ...yeye na mume wake ndio walimalizia zile hela za kusafirisha maiti kumbe.
    Ama kweli Bongo Rais tunaye.

    ReplyDelete
  3. naona kichwani pa marehemu kama pana mstari nadhani hapo walifunua hiyo sehemu nzima ya kichwa na kutoa risasi then wakashona !!

    ReplyDelete
  4. Huo mstari ni wa autopsy. Walifungua kichwa na kutoa risasi na ubongo na macho, ulimi etc. Hiyo ni shell. Na kufanya embalming kama alivyosema huyo poster wa kwanza. Walifanya kazi nzuri Detroit maana nilidhani watashindwa kufungua jeneza. Ukitaka kujua kama walifanya kazi nzuri fungua jeneza baada ya miaka kumi utamakuta yuko vile vile ila kucha na nywele zitakuwa ndefu. Walifungua ya Vonetha pia?

    ReplyDelete
  5. Nyie watu Nyie jamani yani mnavyoiumbua hiyo maiti lol lahaula walakuata, maana hamana la kusema sasa mmekuwa madaktari? Michuzi kafanya kosa kuweka hizi picha hapa mbona mnahila ya kwapa kunuka bila kidonda watoto.mmekuwa na roho mbaya kama mrundi lol

    ReplyDelete
  6. I'm out of words, mtu tuliekuwea tunaishi nae kila siku ametangulia, nasi tukae tukiandaa safari kwani watu wote tuko safarini hapa duniani.
    Kwa nyie hapo juu endeleeni nautani kwa wafiwa wa watu, risasi zote zilitoka upande wa pili just in short. Hivi hamuelewi maana ya kuwaacha marehemu warest in peace.

    Anyway we loved them both and we all gonna miss you all, but GOD loves all of you more and he needed both of you to go back to him.
    pEACE

    ReplyDelete
  7. Mimi ni mkereketwa wa kupenda kujua kulikoni? Rais wetu alikuwa marekani takribani week tatu ama hata zaidi huu msiba ulivyo tokea alikuwa huku huku kwa nini alikaa kimya hata kumwuliza Mzee Bush kulikoni haya mauaji yametokea kwa Raia wetu ambaye hakuwa na criminal background? Ninavyo jua kama Bush akisikia Wa-Tanzania wamemwua Mmarekani hasa na yeye akiwa ziarani Tanzania ata demand kupewa majibu ya msingi tena kwa rais wetu direct? Sasa angalia ETI hadi leo hawajatoa sababu za kifo wakati ingekuwa imetokea kwa muamerika wangetuma kikosi kizima cha FBI kujua yaliyo tokea na pengine kutishia hata kutotoa misaada. Mnaofuatilia nyuzi mtakumbuka kuna dada mmarekani aliuwawa kule VISIWANI ARUBA, marekani walituma kila kitu hadi ndege za kivita kutafuta ulipo potelea mwili wa huyo dada mwanafunzi nyuzi ziliongelea karibu mwaka mzima ni juzi juzi tu tumeacha kusikia hii story ya huyu dada, zawadi ya mtu atakayetoa fununu ilikuwa 2 millioni usd lakini hawa ni watu wawili wameuwawa kikatili zawadi ya kutoa fununu za kujua waliohusika ni elfu 4 tu??!! Nasisi viongozi wetu ni mambumbumbu sometimes wanaogopa sana ku pressurize mambo hata kama yako katika uwezo wao... Inaboa kuona rais ana kuja kupiga story na mcheza basket college, kuongea na mastudent na kutanua kwenye miji mbalimbali lakini hakuna uzarendo wa kujaribu kujua kilichopelekea vijana wapore wenye uchu wa maendeleo kuuwawa kikatili bila hata kusema chochote, kilicho tokea ni kutuma watu ambo watafuatilia siku moja na kuishia na kale kamsemo ETI MUNGU KAMCHUKUA? wakati ameuwawa...AIBU TUPU!!

    ReplyDelete
  8. Unayosema ni ya ukweli misouri, but in short third world countries sio sawa na mataifa makubwa kama US. Its a sadden truth but thats how life is Not Fair, jee tutabadilisha haya, not soon.
    Na je Kikwete ananguvu ya kumuuliza Bush haya mambo, in reality sidhani coz hata muda huo sijui kama atapewa again its Sad but thats the truth But in God We Trust, hopefully hawa mauaji hataenda kimyakimya
    pEACE

    ReplyDelete
  9. Mama Salma tunashukuru kwa ujasiri wako wa kufika katika msiba si ajabu mwanao alikwenda na baba yake kwenye shoo ya Jay Z hiyo siku maana huku marekani walikuwa wanatanua sana mara na kina Hasheem mara na kina Michuzi mara na Kina Keenan wa Boston utafikiri ndiyo mara ya kwanza kuja kiwanja. Mbona hatumwoni Mzumbe,ama Mlimani ama IFM ana pose na mwanaye na wanafunzi wa hivyo vyuo? Toka ameingia madarakani hatujaona mshkaji wake Michuzi anaweka picha wakiwa Vyuoni bongo wakiwatembelea wanafunzi lakini kikao cha Un kilivyo kwisha akampigia simu Hasheem yule mtoto wa miaka 19 aje hotelini wapige story baadaye akaenda boston kukutana na kina Keenan mara ghafla msiba unaendelea nikasikia amearikwa Minessota kwenye BBQ? Heee nikashtuka huyu bwana hajawa blieffed na kina Michuzi kwamba kuna Watanzania wameuwawa? Nikasubiri nisikiye kitu alipokutana na Clinton lakini maajabu ya mussa nikasikia anaomba Solar enegy za zahanati bongo nikajua basi hapa tumekwisha mwaka huu, sita shangaa kesho kwenye breaking news tunasikia Mheshimiwa Rais amemteuwa Bwana Shehe Muhidin Issa Michuzi kuwa naibu Waziri Mkuu wa jamuhuri ya tanzania?!!!

    ReplyDelete
  10. NYIE WOTE NI WATU AMBAO MLIENDA SHULE MBOVU AU LA.
    HIYO KESI YA MAUAJI SIO KITU ALICHOJIA RAISI WETU HUKO.
    HIYO NI KAZI YA POLISI. NA KIKWETE HUWA ANA MAONGEZI YA KUONGEA NA BUSH, KILA SENTENSI HUWA IWE INAHUSU SUBJECT ULIYOMUONEA BUSH.
    SASA HIVI NDIO KIKWETE ANAWEZA KUFUNGA SAFARI YA UCHUNGUZI WA MAUAJI WA WATU WAKE, NA AOMBE UPYA KUONANA NA BUSH.

    ReplyDelete
  11. wewe anoy hapo juu Ukienda Way back utakumbuka Rais Regan aliagiza ndege ziende kulipua Libya kisa kuna wamarekani 6 walikuwemo katika ndege ya panam iliyo lipuliwa, pili israel imeenda kulipua Lebanon kisa askari wake mmoja ametekwa. Sasa wewe unaye sema Kikwete hawezi kuuliza ama hakuja kuuliza ni kweli lakini kitu hiki kilitokea ghafla na alikuwa huku kimewastusha watu wengi hata mimi na wewe ingawa yeye kiongozi wetu hakustuka bali alikuwa na shauku ya kumwona hasheem na kwenda na kina Michuzi Boston na Minnessota basi.. Hiki ndiyo kinatushangaza wachunguzi wa mambo? sasa Rais wetu hatutaki alipue bali aoneshe uzalendo kufuatilia haya mauaji kama yeye hajali nani atafuatilia? Unafikiri kuna mtu dunia ya leo atakufanyia kila kitu bila jitihada zako mwenyewe? Tukubali hapa walichemsha?

    ReplyDelete
  12. obviously, the president was not obliged to visit the msiba, the reason being, local authorities were still investigating the deaths.

    a head of state can only send an envoy in such circumstances, like another visitor has commented above, officially the president could only go there kama kifo/vifo were natural, lakini siyo katika mazingira ya murder - in case investigations zitakuwa flawed na kuwepo kwa rais - tungemlaumu kwa hilo pia.

    nadhani ndugu zangu watanzania, cha msingi, tuwaombee wenzetu waliotutoka katika mazingira ya kikatili na kutatanisha.rais ana majukumu makubwa zaidi ya kuhani misiba, i'm not saying familia za mazula na nkya hazikustahili kufararijiwa na rais kule marekani.

    ReplyDelete
  13. KWELI USTAARABU NI KITU CHA BURE
    TATIZO HAKUNA SHULE INAFUNDISHA USTAARABU MAANA WATU WOTE WENYE MANENO MABAYA INAONYESHA WAO USTAARABU HAWAJAWAHI SIKIA WALA PITA HUO MTAA UNAOITWA USTAARABU MAANA TUSINGEKUTANA NA MATUSI KAMA HATA HILO NENO USTAARABU KWAO LINASOMEKA INAONYESHA KWAO NI NENO LA KAMUSI KABISA. KWA UFUPI WATU ACHENI MATUSI KWENYE HII BLOG KUWENI WASTAARABU KWA KUANDIKA MANENO MAZURI KAMA UNAONA HUNA KAZI NA UPO HUKO MAREKANI BASI KIMBILIA MA BOX YAKO SUPERMARKET UKABEBE UPATE DOLA ZAKO 8 KWA SAA UKALALE AU NENDA KASAFISHE HUKO WATU WAZIMA UPATE HIZO DOLA NA HII BLOG WAACHIE WATU WENYE BUSARA ZAO MAANA HAPO JUU PAMEANDIKWA KABISA WATU ACHENI MATUSI WATU MNATUKANA KWELI NIMEAMINI SHULE INASAIDIA NA HAKIKA WANAONDIKA HUO UPUUZI ASILIMIA 98 NI WALE WALIOENDA MAREKANI KWA KUDANGANYA NA STATEMENT ZA BANK FEKI NA WALE WALIOJIFANYA WAMEENDA KUSOMA KUMBE KUBEBA MIZIGO NA SHULE HAWAJASOMA NA NDIO MAANA WANA MUDA MCHAFU WATU WENYE ELIMU ZAO HUWEZI KUTA WANAANDIKA UPUUZI.
    NAHAKIKA MUHIDINI ANAVYOANZISHA HII BLOG HAKUTEGEMEA ANGEKUTANA NA WATU WALIOCHANGANYIKIWA KIASI HICHO NA MAISHA.
    MICHUZI NAKUPA 5 ACHANA NA HAO WATU
    RIP VENOTHA NA WALTER

    ReplyDelete
  14. Mr. Misouri, huyu jamaa inaeleka ndio yule aliyetumwa na Ubalozi wetu kwenda kumwakilisha Rais lakini tunajua aliishia kukaa kwenye hoteli ghali sana na kufanya ziara yake ya msiba kuwa ya kitalii. Mimi ningependa kumwuliza Rais wetu Mr. Kikwete na yule jamaa alitumwa kutoka kwenye ubalozi wetu, walikwenda kufanya nini pale msibani ? Na je wamechangia nini ? Sisi sote watanzania tunaoishi hapa Marekani inabidi tusimame kidete na kulalamika kwani ubalozi wetu hawafanya kitu chochote. Kifo kama hiki, nakubaliana kuwa Rais asingeweza kwenda sababu it's a murder case lakini, yeye na ubalozini wangeandika barua kwa Major wa Detroit au hata White House kuwaeleza nini kimetoka na wangependa kujua sababu ya kifo cha watanzania wenzetu. Yeye Rais anakuja kuchili wakaki wananchi wake wanahitaji msaahada wake. Hata sisi huku tulimpigia kura vile vile. Nchi yetu bwana, tumezidi kuogopa kuwa mstali wa mbele, hata Raisi wetu aliweka mkia matakoni .. eti kisa anaogopa. Bull shit !

    ReplyDelete
  15. Wewe hapo juu unaongea kama mtoto wa darasa la kwanza Rais kwenda kwenye msiba ungepelekea kupoteza evidence? Heee hii kali sasa unaona ni poa alivyo kwenda nyumbani kwa yule dogo kupiga naye story? Kisa eti anaweza kuingia NBA? kumbe hata wewe ni wale wale, kwani Rais kazi yake si pamoja ya kuonesha uzalendo kwa wananchi wake? show something at least fake it if you can`t show something kuliko kupuuzia tu...Anyway walau wamepata mazishi ya kistaarabu waliokuwepo hapo nawapongeza hata Michuzi nakupongeza kwa kupiga picha mbalimbali ingawa sikuridhishwa na statement yako kwamba hukuweza kwenda nyumbani kwa familia ya Marehemu Vonetha wakati nimepata habari ulionekana Diamond Jubiree na mkamera mkubwa ukijirusha siku yenyewe ya msiba tuwekee hizo picha usione noma.

    ReplyDelete
  16. Anoy hapo juu wa 4:17 ni kweli kabisa unacho sema hawa jamaa walikuwa wanatanua sana na kupiga mipicha na sisi huku tunachangishana hutu tuhela twa kubeba mabox wakati pesa ipo na ndege ilikuwepo ya kubeba miili ya hawa marehemu tena bila aibu michuzi anapost message eti zimepatikana dollar sijui 10,000 bado tunaitaji zingine 20,000 za kusafirishia maiti wakati ndege ilikuwepo inarudi nyumbani? hata serekali kujitolea jamani tu cents kidogo haitaki? lakini dollar za kutalii zilipatikana sasa kwa nini tusi lalamike? Hiyo ndege mliyokuja nayo michuzi nilidhani ilinunuliwa na pesa za walipa kodi? sasa leo imekuwa nuksi kupakia maiti hadi watu huku tuchangishane kwa week mbili ndiyo maiti imeletwa bongo? EEEH kweli waswahili walisema mkundu hauna shukrani hata uuchambe vipi dakika mbili tu utaanza kunuka tena!!

    ReplyDelete
  17. Narudi kwa aliyetoa comment kuhusu mstari ktk kichwa cha marehemu. Naomba ndugu zangu na ndugu huyu kwa upeo wake mdogo wa kutafakari picha kwani huo si mstari wa mpasuo kama alivyo sema bali ni mstari kati ya paji la uso na bega la kulia la "God bless hiss soul" mpendwa marehemu. Asanteni.

    ReplyDelete
  18. Lakini Nyinyi Mnamlaumu Kikwete bure tu, Rais gani wa tanzania alimsaidia mtanzania aliyefariki ughaibuni hii sio kazi yao ndio maana waliteuwa mabolazi kufanya kazi hizo. balozi yuko huko sababu ya kusaidia raia wa Tanzania na kuiwakilisha nchi hapo wa kumlaumu ni balozi wenu rais anapangiwa tu hata kama alikuwepo hapo ziara yake haikuhusiana na msiba na walio fariki ni kama raia tu wengine wa kitanzania inamaana hata huko bongo kuna vifo vyakutatanisha kama hivyo je rais anatakaiwa kwend akuzika kila raia? ndio kazi yake? au mna bwabwaja tu. Mnasakama watu mpaka maiti msokuwa na haya wala kujua vibaya yote ni juu ya nini.

    ReplyDelete
  19. trouble is, fellow tanzanians, in governance there are things called protocols.the president aint got exemption katika mazingara ya aina hiyo.

    no matter what action the president took to get answers from local authorities whilst in the states regarding the case,it's not to be kept in the public domain.

    there was a lot of two way traffic between our government, the president involved, and their US counterparts.

    ok, ni kweli tumepoteza wenzetu katika mazingira magumu, pengine tungekuwa na uwezo wa kijeshi tungeishambulia marekani.lakini mpaka sasa kuna mtu yuko tayari kueleza walter na mpenziwe waliuawa na nani, kwanini na ilikuwaje? nadhani hakuna jamani, so the case is still work in progress.tuwaombee na kuwasomea dua wapumzike badala ya kulumbana kwa matusi hapa.

    don't blame the preza for not squeezing a couple of hours out of his schedule to visit fellow Tanzanians to console them.these things are technical, si kila mtu can comment about correctly.but rest assured, of all the presidents we have ever had, Kikwete is not the one to ignore msiba mkubwa kiasi hiki.he was involved kwa karibu zaidi kuliko watu wanavyofikiri.

    watanzania, tusipende kutoa hoja kwa kudhani.hapa hapa kwenye blog ya michuzi tunashuhudia kila siku watu wakisingiziwa vitu ambavyo hawajavifanya au kupewa sifa wasizostahili.

    bottom line is, assumptions zetu zinaturudisha nyuma.let's reason logically.achana na hao ambao islahi ya matusi ndiyo pekee wanachoweza kukitumia hata kumwomba mungu.

    ReplyDelete
  20. Mizzou toa wivu wako wa kitoto. we kinakuuma nini pres akiongea na Hasheem au akitembelea wabongo? eti unamlaumu michuzi hakwenda msibani badala yake akaenda kwa Jayz concert? dude do you have a life? you must be so desperate hommy! kwa hiyo unampangia rais na michuzi wafanye kama unavyotaka sio? JK si alituma ujumbe wa ubalozi au we haukuufurahia? dude get life!

    ReplyDelete
  21. Mbwa wewe ACHA KUMSAKAMA MIZZOU, naona wewe ndio mwenye wivu kati ya wanaoongea mambo ya maana humu buloguni mmoja wao ni MIZZOU. you are the one who should get a life dude. shenzi taipu.

    ReplyDelete
  22. mstari kwenye kichwa sio kupasuliwa.. nimeenda mimi Detroit kumuaga Walter na nimemshika hana jeraha yote yameshonwa. Hana mstari kichwani kabisa! Na alionekana kama aliyelala vile!! Inauma sana.. Mungu ailaze roho yake Mahali Pema Peponi. Na awafariji na Ndugu zake waliobakia duniani.

    ReplyDelete
  23. anon 6.26
    na we ndo wale wale vikorosho vimepinda halafu vimekauuka, havikunjuki hivyo ukijaribu kuvikunjua lazima vipasuke! get life give props for a good work people are doing! bila michuzi wapi mngekuwa mnaandikia majungu yenu? leo mnampangia aende wapi kupiga picha? duh kweli mswahili ni mswahili

    ReplyDelete
  24. eti jk amwambie bush achunguze, Do you know the roles of Bush? do you know how much stress that dude is undergoing?jamani tuacheni kuogopa umande, american govt is a requirement course for a degree. The class will explain it all to you

    ReplyDelete
  25. Sioni ubaya JK akiomba maelezao kwa Mzee Bush kuhusu hayo mauaji. Hao Polisi Detroit watachangamkia kesi

    ReplyDelete
  26. We MIzzou kakojoe ukalale!
    Au tafuta kijiwe kingine, eti unajibadilisha anony na kujisifia tumeshakustukia mjomba au shangazi!
    Kwa uliyosema 3:00, usichanganyishe politic case na hii case, kisha unajua viongozi wa 3rd level politics wana level gani ya maongezi na U.S.A president?
    Na unajua kazi ya balozi?
    Back to school Mr.Bean ok!

    ReplyDelete
  27. Nyie mnafikiri president wa marekani ni kama president wa Burkina Faso?

    ReplyDelete
  28. www.afrointroductions.com

    ReplyDelete
  29. DUH. MAMBO, MAMBO, HII BULOGU INAWAFANYA WATU WAWE FAMOUS MAANA SASA KUNA MTU MWINGINE AMEIBUKA HAPA ANAITWA SHOSE SINARE AMETOKEA KWENYE KARIBU PICHA ZOTE ZA MSIBA HUU, NA HABARI ZAKE. SIJUI KWANINI HANA HESHIMA AMECHAGUA KUJITOKEZA KATIKA MAONI YA MAREHEMU WALTER NA VONETHA. DUH! LAKINI NI KWAMBA HABARI ZA MSIBA HUU NI NYETI KWA HIYO HUYU DADA AMETAKA KUTUMIA NAFASI HII ILI AWE POPULAR HASWA NA AMEFANIKIWA MAANA MSIBA HUU NI MKUBWA NAKILA NINAAMINI KILA MTU ANAINGIA KWENYE HII BLOG KUSOMA UPDATE. KWELI KILA MTU ANATAFUTA UPOPULARITY KINAMNA YAKE.

    ReplyDelete
  30. Ndugu hapo juu umekosea kidogo, aliyeibuka hapa karibu kwenye maoni yote chini ya picha za msiba huu ni SHENA SINARE sio SHOSE SINARE. naona tu labda umepitiwa maana majina ya ukoo si sawa. na kweli SHENA AMEKUWA POPULA SASA MAANA YUKO KWENYE MTANDAO NA HABARI ZA NGUVU. KUWA BWANAKE ALIYEMTOSA PETER AMETISHIA MAISHA YAKE. ALIMDANGANYA ATAMUOA, KUMBE ALIKUWA AKIMTUMIA TU KWA NGONO NA KAMA MPISHI. ILI AMPIKIE CHAKULA, NA ANASEMA PETER ANAKULA MNO SAHANI ZAKE KUBWA SANA, KUNA MUUNGWANA KATI YA PICHA NA MAONI MENGINE AMEZOZA KUWA PETER ANAKULA KAMA PUNDA MILIA. HABARI ZATOKA KWA ALIYEKUWA MPENZI WAKE. LAKINI INAWEZEKANA NI HASIRA TU ZA MKIZI AMBAYO YEYE SHENA KATOSWA SASA INABIDI TU KUMPAKAZIA PETER. LOH! WATAJIJU. ILA POLE KWA PETER MAANA SI ANA KIMWANA MWINGINE, SASA KIMWANA WAKE AKISOMA HIZI DATA SIJUI ITAKUWAJE, WABONGO KWA KUHARIBIA WATU, BORA TU ASIONE HAYA, LAA SIVYO MAPENZI YAO YATAKUWA NA ULAKINI.

    ReplyDelete
  31. asante kwa kunirekebisha, ruksa, ruksa, ndio nimefanya mistake hapo, nazani ni kwakuwa shose alikuwa akilini kwakuwa alikuwaga misstz. na nazani labda wana undugu hawa, au sirname tu zimefanana. ndio aliyeibuka hapa na kutafuta u-popularity kwa kusema ex-boyfriend wake ametishia kumuua, na alikuwa anamtumia tu kwa sex and cooking for him, ni SHENA SINARE sio shose sinare. ASANTE KWA MAREKEBISHO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...