raha na karaha ya iddi ni kwamba kila nyumba uendayo utakuta pilau, kama si wali mweupe kwa kuku. ila kama kuna wajukuu wakiwa wengi hapo ulipoenda kudoea sikukuu ukimaliza kula tu hao; 'babu taka shikukuu, babu taka pipiiii...'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Blaza Michuzi,hapo kwa Bi Mkubwa au Bi Mdogo???
    Naona mambo ya Eid hayo..swaafi kabisa.

    ReplyDelete
  2. OOPS! Hilo jezi la Carlsberg bia, yakhe, haliendi na Iddi!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. michuzi nauona uzi huo.wewe mshabiki ngangari unapiga uzi hata baada ya kupoteza.

    ReplyDelete
  4. OOOPS! Hilo jezi la Carlsberg bia na Idd-el-Fitr!

    ReplyDelete
  5. Mwaliko ama udoezi? Kudoea ni nini

    ReplyDelete
  6. Hilo jezi la Carlsberg na Idd-el-Fitr....OOPS!Jezi si jezi tu. Jezi linatoa "statement" = kutangaza bia ya Carlsberg!

    ReplyDelete
  7. uncle michuzi sasa hapo ndio home kwako ! sasa na mie iddi yangu ipo wapi blogger wangu ??

    ReplyDelete
  8. Michuzi inabidi wadenishi wakulipe kwa kuwaaadvitise bia yao bwana!
    Hiyo Carlsberg umezunguka nayo Idd nzima.

    ReplyDelete
  9. Michuzi!
    Hii picha nimeipenda sana! Eid Mubarakat!

    ReplyDelete
  10. Michuzi...mshikaji yaani hapo uswahilini kishenzi...yaani huo ubwabwa hapo.....aah, Mzee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...