SALA YA IDDI ZENJ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Asante sana Michu kwa kunikumbusha sura ya Nguli wa siasa za Zenji aliyetaka kuwa Rais wa milele kwa sababu eti Wazenji tunampenda sanaaa.Ni komando huyu sijui aliupatia wapi ukomandoo wake.Bahati mbaya jamaa aliachana na my wife wake.Nawaona Ally Mwinyi.Amani Karume,Pandu Kificho n.k.Hao wote hapo ni maal-watan wa visiwani.Ushauri wa bure kwenu ma-alwatan wa Unguja mkubuke pia kwenda na Pemba maana ni sehemu ya visiwa vya Zenj na Muungano pia.

    ReplyDelete
  2. Hili Swala la muungano wala sioni kama lina utata wowote, kwanza walioanzisha huu muungano (Nyerere na karume wote wamesharudisha jezi)

    kwanza kumbukeni chakula na Umeme vinatoka bara, baada ya muungano kuvunjika mtakula karafuu zetu na chakula kitaletwa toka OMANI. na pia kuja bara itabidi muombi VIZA. Halafu tutaona nani atakuwa looser!!

    ReplyDelete
  3. Mbona watu wa CUF hawapo hapa kina Maalim Seif na Babu duni walikuwa wapi?

    ReplyDelete
  4. imependeza maashalaah, Mungu aizidishe nuru.

    ReplyDelete
  5. Waliswalia pemba

    ReplyDelete
  6. Komandoo bila Vikao vya Dodoma naamini sasa ungekua rais wa maisha Z'bar.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...