Home
Unlabelled
kimatumbi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wamatumbi tunarepresent !!!!! wamatumbi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteOyeeeeeeeee!!! Hapo Ndio Mjue umuhimu wa kiswhaili sio swanglish maana imekuwa balaa siku hizi neno moja la kiswhaili la pili kidhungu.ni kuaharibu tamaduni zetu tu mshaona wapi mchina akichanganya na kizungu sio hiyo ndio itakuw amara ya kwanz akuku kujamba.
ReplyDeleteWewe Michuzi akili zako naona zina matatizo baada ya kutumia kiswahili kinacho eleweka unazidi kuendelea kusema kimatumbi, n.k kwa taharifa yako hakuna taifa la Wamatumbi na kuna Taifa la Tanzania na Watanzania sasa tunaomba usipotoshe kiswahili hasa hasa kuna watoto wana angalia hii blog yako sasa jiulize watajifunza nini toka kwako kama muandishi na kioo cha jamii. Endeleza kiswahili ambacho ni Lugha ya Taifa. Nina kupinga vikali na Ujinga wako, Unadhani unachekesha? Unaonesha Ujinga tu, Tumia kiswahili kizuri.
ReplyDeleteHongera Michuzi kwa Blog yako nzuri.Inatupa wasaa wa kuona maendeleo ya nyumbani na wahusika.Lakini lugha yako inakera wakati mwingine:Bukoba,Newala n.k.
ReplyDeleteKwa nini usitumie maneno ya kawaida?
Weka maneno ya kuchekesha sio "bwawa la maini!!!"
Keep the good job up!
Anony wa 10:48, wewe haujui kuwa hii blog ni ya watanzania wa low class? nafikiri walisoma kwenye zile shule hazina hata ukuta uswahilini, wewe ichunguze wanavyoandika na wanavyofikiria.
ReplyDeleteNa wale waliovuka mipaka ukisikia background zao za utoto na wazazi wao mwenyewe utachoka, ukizingatia ni asilimia ya watanzania ambao walikuja Dar es salaam kupanchi, au wazazi wao, halafu wakapata dhahari kidogo basi wanalia mbwata!
mbona ujatuonesha picha ya Zadoc maana tumesikia nayeye anlkwenda na rais
ReplyDeleteJamani sasa Zadoch alifuata nini huku wakati yeye sasa hivi ni mkazi wa south africa? Iweje JK amthamini? Mtanzania aliyehamia South africa ati kisa Bongo hakuna umeme?, huyo ni mzalendo kweli?, Kama kweli JK alimbeba na huyo Zadoch, basi akili yake haijatulia.Maana mtu anayeweza kuikimbia nchi yake kisa hakuna umeme ni mpungufu wa akili
ReplyDelete