kuna wadau wameniomba niposti tena picha hii ya hosteli ya chuo kikuu cha udsm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. majengo mazuri lakini....maji bwana.

    ReplyDelete
  2. Mabibo Hostel a.k.a Machinjioni.Nimewahi pata bahati ya kuishi katika hiyo hostel mwaka 2002-03 nikiwa fresher.Jina la machinjioni kidogo lilikuwa likinipa tabu maana sikujua kilichokuwa kikichinjwa ni nini hasa.Hapo tabia za wanafunzi ni kama ma-mtoni vile,vijana wake kwa waume wanapendana na wanavaa over Boston University.Ni kwel;i ile inastahili kuwa hostel ya chuo kikuu kama huduma nyingine za kijamii kama maji zitaboreshwa.

    ReplyDelete
  3. it looks good from outside ila ndani vyoo vimeshaanza kuharibika, viti ndo hivyo, sakafu inabomoka sehemu zingine, na maji hakuna...sasa kwa tunavyojua sie matengenezo huwa hatufanyi, ipe miaka michache...
    ila majengo mazuri kwa nje, na kunapendeza, wajitahidi tu wayatunze vizuri na waboreshe usafiri wa wanafunzi, maana eeh mida flani jamani ni kasheshe kupata daladala...
    yah ila its typical siasa zetu, urembo mwingi nje, ndani uozo tu, kama huyo JK sijui labda tumwangalie lakini kashaanza kupiga danadana na mawaziri wake, tutafika kweli?

    ReplyDelete
  4. tatizo ni kuwa hatuna desturi ya maintenance, hivyo tunangoja mpaka kitu kuharibike ndipo kitengenezwe, Si unajua hakuna hata tafsiri sahihi ya maintenance, maana matengenezo ni "repair". tatizo lingine ni ulaji, sitashangaa kama standards nyingine za ujenzi ziliwekwa kapuni ili watu wapate mshiko wao, si unajua tena mambo ya bongo? Maana hata ukishikwa kwa kukiuka maadili unahamishwa tu, labda uwe samaki mdogo ndio utatolewa kafara na kuwajibishwa.

    ReplyDelete
  5. Mattaizo yale yale! Tunajenga halafu NO MAINTENANCE! Halfu maji hakuna! Kwa hivyo pananuka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...