Home
Unlabelled
mabibo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
majengo mazuri lakini....maji bwana.
ReplyDeleteMabibo Hostel a.k.a Machinjioni.Nimewahi pata bahati ya kuishi katika hiyo hostel mwaka 2002-03 nikiwa fresher.Jina la machinjioni kidogo lilikuwa likinipa tabu maana sikujua kilichokuwa kikichinjwa ni nini hasa.Hapo tabia za wanafunzi ni kama ma-mtoni vile,vijana wake kwa waume wanapendana na wanavaa over Boston University.Ni kwel;i ile inastahili kuwa hostel ya chuo kikuu kama huduma nyingine za kijamii kama maji zitaboreshwa.
ReplyDeleteit looks good from outside ila ndani vyoo vimeshaanza kuharibika, viti ndo hivyo, sakafu inabomoka sehemu zingine, na maji hakuna...sasa kwa tunavyojua sie matengenezo huwa hatufanyi, ipe miaka michache...
ReplyDeleteila majengo mazuri kwa nje, na kunapendeza, wajitahidi tu wayatunze vizuri na waboreshe usafiri wa wanafunzi, maana eeh mida flani jamani ni kasheshe kupata daladala...
yah ila its typical siasa zetu, urembo mwingi nje, ndani uozo tu, kama huyo JK sijui labda tumwangalie lakini kashaanza kupiga danadana na mawaziri wake, tutafika kweli?
tatizo ni kuwa hatuna desturi ya maintenance, hivyo tunangoja mpaka kitu kuharibike ndipo kitengenezwe, Si unajua hakuna hata tafsiri sahihi ya maintenance, maana matengenezo ni "repair". tatizo lingine ni ulaji, sitashangaa kama standards nyingine za ujenzi ziliwekwa kapuni ili watu wapate mshiko wao, si unajua tena mambo ya bongo? Maana hata ukishikwa kwa kukiuka maadili unahamishwa tu, labda uwe samaki mdogo ndio utatolewa kafara na kuwajibishwa.
ReplyDeleteMattaizo yale yale! Tunajenga halafu NO MAINTENANCE! Halfu maji hakuna! Kwa hivyo pananuka!
ReplyDelete