mc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Michuzi hivi huyu mkenya alikupa nini mpaka ukawa unamuweka kila siku hapa?

    ReplyDelete
  2. Wewe hapo juu na wengine kama wewe hamna haya? Kila binadamu duniani mbaya!!!!! Ah! Michuzi achana nao wasenge hao. We endelea kufanya kile roho yako inapenda. Ukiwasikiliza haters hawa ambao maboxi yamewalemea, utalosti. Hii ni blogu yako, asiyeipenda alale mbele.Wao wameona blogu zao hazitembelewi ndo maana wanataka kukukatisha tamaa. Haoooooo!! Hata mfanyeje Michuzi is tops!! Wanachomekea kijanja sijui atl.com, sijui mavi gani (kupitia kwako) ili watu waende, hatuendi ng'oo. Kwanza nimejaribu nimekuta wanakuibia mapicha kibao, wanajifanya yao. Eti mambo mapya, hahahaaa! Michuzi kamua mwanangu...

    ReplyDelete
  3. Michuzi,

    Nadhani watu wenye busara zao hukaa kimya bila kutoa maoni kwenye blogu yako. Kuna wakati unaonekana kama mpiga picha za mitaani na siyo mwandishi wa habari mwenye kipaji cha upigaji picha.

    Mfano: Hii picha haina maudhui, haina ujumbe na wala haichangii cho chote cha kiburudani. Kwa nini? Kwanza haina caption kutuelewesha inahusu nini, wala haina jina la mahali tukio (gani?) linakotokea, na dhana nzima ya fotoblogu haieleweki kwa kutumia picha zisizo picha kama hii!!

    Waandishi wa habari waTz mkichorwa na waKenye mnalalamika...lakini ujumbe ni kuwa Viwango vyenu vya u-professinalism viko chini.

    Matusi dhidi yangu yanakaribishwa kwa wale wasioweza kuandikahoja za kupinga lakini wanapinga mawazo yangu!

    ReplyDelete
  4. Mbona nambari za hizo simu ni za Amerika! Na mbona huyo DJ Mao ni kama yuko huko huko Mount Vernon! Sasa sisi tulio Bongo tutahudhuria namna gani?

    Unaona watu wanaanza matangazo yao ya biashara.

    ReplyDelete
  5. Anoni 1:03:13 huna jipya, kalale. Kwani umesikia hii ni gazeti? Mshamba nini wewe. Nawe anoni 1:34:30 kama alivyo mwenzio juu yako, huna nyimbo. Aliyekutuma uozee Bongo nani? We baki na ukuda wako na roho mbaya utadhani unalipia huduma hii. We kinakuuma nini kama matangazo yameanza humu? Fala sana wewe. Kwanza wenzio saa hizi Bongo wamelala, we unawanga nini?

    ReplyDelete
  6. wewe msenge hapo anoy 1:03:03 hizi picha baada ya kubeba box ama kutoa pajama zako za kijani sijui unabaki kuzipigia nyeto hizo picha ndiyo maana unaongea, msenge sana weewe mkono wako mwenyewe ndiyo unageuza ni kuma hawayani namba moja?

    ReplyDelete
  7. haya nimesema mimi michuzi kaishiwa na wala hana future na hii blog kwania haina hata muelekeo sijui ni ya vichekesho, au ya kuelemisha au ya kisiasa,
    But kama nilivyosema mwanzoni kwa watu wenye akili zao ingia tanzatl.org na uone picha na mijadala iliyokwenda shule, ukichoka huko nenda Bongoradio.com kusikiliza nyimbo za kibongo na ingia kwenye gallery uangalie picha mbalimbali na hata ukitaka unaweza kuweka picha zako.

    Sasa nitaambiwa natangaza, kwa taarifa ya yoyote atakaye waza hivyo ni kwamba tanzatl ina members karibia 1000 na inaingiliwa na watu karibia 10000 kwa mwezi kwa sababu ya muelekeo wake wenye akili sio kama huyu kichaa asiye na mwelekeo kama Michuzi

    ReplyDelete
  8. wewe bwege wa 8.44 acha kutumia majina ya watu kuwachafulia watu heshims zao mao hawezi kutoa matusi ya aina hii ni watu kama nyie mliozaliwa chooni adamu zenu mliziacha tumboni kwa mama zenu
    heshimu majina ya watu please kama kweli wewe kidume na una mdomo machafu ebu weka jila lako la kweli
    lazima shule hujaina unaisikia tuu mungu akusamehe hujui husemalo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...