Mwanafunzi mwingine wilayani Kibondo amefanikiwa kukiweka hadharani kipaji chake cha ajabu baada ya kutengeneza ndege na kuirusha angani kwa mara ya kwanza na kuiacha jamii midomo wazi.


Habari zaidi click hapa
http://www.habaritanzania.com/articles/1493/1/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. "....mwanafunzi huyo anadaiwa kukaa tumboni mwa mama yake kwa kipindi cha miaka miwili kabla ya kuzaliwa badala ya miezi tisa"

    Watu kwa fiksi!

    ReplyDelete
  2. Bado sijaona kama kuna News yeyote hapa. Ndege za remote circuit diagram zake zimejaa tele humu kwenye internet. Yeye kachukua tuu na kuunganisha, ukimwambia akupe theory behind hawezi! Pia ndege hizi zimejaa sana kwenye maduka kwa ajili ya kuchezea watoto. Huyu huwezi kumwita mvumbuzi. Kuvumbua ni kutengeneza kitu ambacho hakijatengenezwa bado. Ni sawa mtu leo aseme kavumbua gari la diesel. Labda aseme kavumbua gari la mafuta ya nazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...