CHOZI LILIMDONDOKA KILA MTANZANIA SIKU HII, MIAKA SABA ILIYOPITA. WADAU, KWA KUSEMA KWELI PICHA ZA MWALIMU NI NYINGI KIASI TUNAWEZA KUMALIZA MWAKA MZIMA BILA KUFIKISHA JAPO NUSU YAKE. KWA HII NAOMBA NIHITIMISHE KUMBUKUMBU YA SIKU YA KIFO CHA BABA WA TAIFA. MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA HUKO ALIKO, NASI TUTAMKUMBUKA DAIMA - AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi unaogopa wataifananisha na wakina Walter na Nkya kisha mzozo heavy utaanza.

    ReplyDelete
  2. michuzi tunawezaje kupata kanda za hotuba za mwalimu wale ambao wako nje,je kuna duka au Radio Tanzania wanazo?
    naomba kujulishwa kama kuna huo uwezekano.

    ReplyDelete
  3. Wewe anony wa kwanza kabisa hapo juu kati ya maoni haya,, Hamna lolote, haiwezekani kama watu hawatakuwa na heshima na kutosikia ILANI ya michuzi. kujitafutia ujiko na kupata upopularity kwa kutumia maoni yaliyokuwa kwenye msiba wa MAZULA na NKYA. Hususani yule kidada mzuri lakini asiyekuwa na adabu SHENA SINARE alipochukuwa nafasi ile kubwa katika bulogu hii kwenye matangazo ya vifo vya wale wapendwa wetu, kujitangaza na watu wake, kuwa ati PETER RUPIA alimtishia kumuua. Loooo hana haya huyu binti, yalimwangwa maoni mle ndani walijitokeza watu hata wa familia yake na data kuwa ni YEYE MWENYEWE NDIO ALIKUWA KUTWA AKITISHIA KUJIUA, baada ya Peter kumwona choo na kumtosa.
    Kwahiyo sioni kama kuna wenye akili finyu kama huyu dada ambao waweza kujitokeza wawe popular kwa kutoa maoni ovyo na ya uongo kutumia picha kama hizi. Anyway ngoja tuone.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...