
NIMEPATA WARAKA MWINGINE KUTOKA TOKA KWA DADA YETU HAPO JUU ALIYEKO HUKO NORWEI. NAMI KAMA KAWAIDA YANGU NAUMWAGA KAMA ULIVYO...
Hello Michuzi!
Mimi ni Blackrose. Msanii wenu mpya wa Afrika mashariki kutokea nchiniNorway.Hivi sasa nataarisha video yangu ya mziki wa nyimbo iitwayo "Mbwa wangu Georgie" ama My doggy georgie".
Wataarishaji wa video hii ni kampuni ya Tsunamifilm iliyopo kwenye huu mji niishipo Trondheim. Pamoja na ushirikiano na studio za mziki maarufu nchini Norway Trondheim studio, nimerikodi track kama kumi hadi hivi sasa. Zikiwepo za kiswahili na kingereza kwa style ya aina ya pop na dancehall.
Nashukuru Mungu watu ninaofanya nao kazi ni wataalamu na wako makini kwenye kazi zao. Kwa nchi kama Norway kabla msanii hajatoa nyimbo ni muhimu kuziandikisha Haki Miliki timilifu za kulinda sanaa. Hapa msanii anatakiwa atume habari zakepamoja na mashairi ya nyimbo zake au kutuma cd nzima ya mziki wake.Kujiandikisha ni bure. Ila nyimbo ya msanii kila ikirushwa hewani huwaanalipwa au ikitumiwa kinyume cha sheria mtu hushitakiwa.
Kama msanii napenda kuwashauri wasanii wenzangu. Mziki si fani tuu bali nikazi nayo. Na kazi yenyewe ni wale wasiovunjila moyo ndio watakaoona matunda yao. Kwani kwenye fani hii mapromota,meneja ,maproducer feki ni wengi tuu.
Nawasihi mno sana wakina dada mtakao kuingia kwenye fani hii au tayarimpo. Kuweni waangalifu mno. Kwani mtakutana na watu wadanganyifu naakilini mwao ni kitu kimoja tuu NGONO.Hapa mtu hutoendelea mbele baliutarudi nyuma kumbukeni magonjwa ya zinaa. Na inakua vigumu hata wewemwenyewe kujiamini kama una kipaji kweli ama kama ulipitia njia hiyokufanikisha mambo yako.Ni muhimu kupata mtu atayekuongoza sio kukupotosha.
Kwa leo labda huitaji meneja tena kwani mtandao unafanya kila kitu. Tuma habari zako za mziki, picha, mziki na video kwenye vituo vya tv na radio.Wote hawa wanasubiri kupata habari mpya za wasanii. Usijali lugha ganiunaimba kwani watu wanachopenda ni kusikia tuu ile kazi imetendeka vipi.
Tumia mtandaoni na tangaza kazi zako mwenyewe. Waombeni wawajibu kama watapenda kazi yako. Wale maproducer wenye kujidai watakurikodia bure kukusaidia andikishaneni mkataba. Ili hata akibadili wazo lake wewe kama msanii mkataba utakulinda.
Mapromota wanaotumia wasanii kwenye maonyesho bila kuwalipa wakati mnakatisha tiketi za show acheni kutumia wasanii. Kudhulumiwa ni popote duniani usipokuwa macho.Ila mkataba ndioutakaokulindeni. Andikishaneni kabla chochote hakijatendeka. Usimwamini mtu.
Pia ningependa kushirikiana na wasanii wengine wa mziki kutoka pandembalimbali za Afrika, hususan nyumbani Bongo. Nitafurahi kusikia kutoka kwenu.
Waimbaji ninaowapenda sana kutoka Afrika mashariki ni Blue 3,Obssession,Ray C,Ay , Mr Nice ,Jay dee,Chamelion,Inspektor Haruna,Ay ,Balozi nawengine wapo ila sijawataja.
Napenda kuwapa hongera wasanii wote waliojitokeza, kwa kweli kazi zenu ni nzuri na endeleeni hivyo. Iko siku mambo yatajipa; Roma haikujengwa kwa siku moja...
Wenu awapendaye,
Blackrose
NB: Kwa habari zaidi karibu hapa
ana katako kazuri
ReplyDeleteAcha ujinga we hapo juu. Mtu anaongea point we unawaza matako. Nyie ndio wabakaji wenyewe.Eh bwana Demu mi nakufagilia. Na watanzania wengine katika fani mbali mbali wekeni mawazo yenu humu sio kazi maneno tu. Haya dada nipe informations zako nikupe ziara ya USA kuna Wabongo wanataka kuangalia kama unaweza kushake au mikwala tu.!!
ReplyDeleteKWANZA, DADA YANGU UNA SAFARI NDEFU YA KUFIKA KILELENI, KTK MIZIKI YAKO ILIYOPO (MP3S) YOTE UMETENGENEZA BEAT ISIKIKE ZAIDI KULIKO SAUTI AU UJUMBE WAKO SASA SIJUI ULIKUWA UNAOGOPA KUIMBA AU? UNABIDI UBALANCE SAUTI NA BEAT NA KAMA KIMOJA KIKIZIDI KISIWE SANA.PILI, KUIMBA SIO TU KUJAZA IDADI YA NYIMBO UNABIDI UJUE UNAIMBA NINI JE KINALETA MAANA? TATU, TUMIA WATU WASIKILIZE KILE UNACHO IMBA JE WANAKIPENDA? ISIJE UKAWA UNAIMBA UNACHO KIPENDA WEWE! NNE, KUSEMA UKWELI BEAT ZOTE MBOVU UNABIDI WEWE NA PRODUCER WAKO MFANYA MAZOEZI YA JUU HASWA KUTENGENEZA BEAT ZILIZO TULIA (NZURI) KAZI ILIYOPO INAONESHA AMATEUR NDIO WALIO TENGENEZA! KATIKA ANGA HII YA MZIKI UNABIDI UENDE NA WAKATI KUJUA WATU WANAPENDA NINI.HUU NI USHAURI TU.
ReplyDeleteSIKILIZENI HIZO NYIMBO ZAKE NA TUWEZE KUMUELIMISHA DADA YETU.
http://www.apfilms.no/blackrose/music/mbwa_wangu_georgie.mp3
http://www.apfilms.no/blackrose/music/sijui_niseme.mp3
http://www.apfilms.no/blackrose/music/sugar.mp3
http://www.apfilms.no/blackrose/music/my_doggy_georgie.mp3
asavali jd kapata mpinzani kwa kila kitu kuanzia na sura.... maana tulichoka jd jd haya sasa huyo mwenzako..
ReplyDeleteaisee sina speaker kwenye computer yangu kumbe na nyimbo zake mbaya maskini ama kweli ana safari ndefu,halafu nisikie watu mnabadilisha topic na kuanza kunizungumzia mimi nisiye na speakers maana hamchelewi.
ReplyDeletehuyu dada yuko bomba kisura na kimwili lakini ni bora atafute fani nyingine. Muziki ni kipaji na huyu hana hicho kipaji.
ReplyDeleteDada,
ReplyDeleteUsiwasikilize hawa wahuni wachache wanaotukana.
Chapa kazi kwa bidii zote na utafanikiwa tu. Pia ushauri wako kwa wengine ni mzuri msana.
Endelea na wengine tutapenda kuona na kusikia miziki yako huko mbele.
Wabongo hivi lazima mutukane?
Huyu dada kaongea nini kibaya cha kuanza kuongea hoja nje ya lengo lake?
Kazi nzuri sana dada yetu. Nafurahi kuona mambo yanasonga mbele. Kuna kitu kidogo ningependa nishauri, lakini si lazima uufuate ushauri wangu kama unaona haukupendezi.
ReplyDeleteBinadamu siku zote wanapenda kuona au kusikia kitu kipya, hata kama ni utumbo au ujinga, ili mradi ni kipya katika mazingira yao, wao huvutiwa navyo then after ndo watachambua kama ni utumbo au ujinga. Sasa basi, style ya muziki wako au melody ya muziki wako si mpya masikioni mwa wasikilizaji wengi wa muziki. Pia kiufundi hao maproducers wako wametumia sana electronic recording, (Najua ni style inayopendwa sana Europe hasa huko North Europe) lakini wamesahau kitu muhimu sana, kuirecord sauti yako kwenye Accoustic Vibe zaidi. kwani sauti yako inakuwa kama mtu anayeimba na redio nyumbani, iko nyuma, na unaimba kwa kuibana sana, inakuwa kama unaiga muziki toka kwenye redio. Ukiitoa sauti yako zaidi itamfanya sound engineer wako awe free sana katika kuirecord, bila kutegemea sana computer au electronic gear ikusaidie kuibeba. Pia reverb na 2nd intake za chorus hasa kwa wimbo wa Mbwa wangu georgie, zimewekwa kubwa sana au zimewekwa katika muundo usio wa kitaalamu, au kwakuwa umekuwa ukiibana sana sauti so umemfanya sound engineer apate taabu kwa hilo, kwani chorus haisikiki, na imemezwa sana na vyombo.
Pia kwenye maswala ya Instruments, ni kwamba maproducers wako wametumia sana effects na kuuua muziki woote, kwani imekuwa ni kama zile Electronic jazz ambazo unazisikia kila Jumamosi ukienda kwenye Jazz Clubs hapo Olso, au Stockholm au Cobernhaven. Tena ni Electronic Jazz zinazopigwa na wanafunzi wa music, ikiwa kama sound research.
Hebu msikilize Bjork, mwanamuziki toka huko huko North Europe (Iceland) yeye anapiga muziki kwa kutumia sauti yake, ambayo ni unique, na producer wake anatumia electronic effects na kind of electronic music, lakini wakati wa Bjork kuimba utaisikia sauti yake jinsi ilivyorecordiwa Accoustically. Yaani imerecordiwa free akiwa anaimba kwenye Mic tena akiwa anatoa sauti yake yoote kama ilivyo na haibani. haibani sauti yake na kuifanya ibebwe na "Sound Forge" au any other sound software.
Ushauri wangu ni huo tu dada yangu. Safari ndo unaianza, karibu kwenye fani. Wapenzi wa kusikia na kuona ubunifu mpya tupo. Je ntazipataje CD na DVD zako?
Kitu kingine nilisahau. Nahisi unamsikiliza sana Britney Spears na Kylie Minogue, na labda unaiga hata style yao ya kuimba. Sasa basi wasikilize, wao wanaimba kwa sauti za chini ambazo naona kama unaiga hiyo style. Lakini kuna kitu kimoja, ambacho waimbaji woote wataungana nami kwamba haipendezi kuimba flat. sasa basi ukisiliza nyimbo za zamani kama Toxic-Britney, na Red Blooded woman-Kylie, utaona wanaanza kwa kuimba kwa sauti za chini, then ghafla wanapanda sana. Wanaimba kwa sauti ya juu ghafla, hasa baada ya break au kwenye break, then wanarudi chini tena. Pia sauti zao zimerecordiwa kama nilivyosema mwanzo, accoustically. U hear what they are singing.
ReplyDeletehebu wasikilize sana waimbaji hawa wa huko Scandinavia: NINA & KIM, SARA LÖFGREN,FAME,SANDRA DAHLBERG na JILL JOHNSON
samahani wana Blog kwa kupote muda wenu. Its just that Im interested
AHSANTE WANBOLGU KWA KUMPA HUYU MSANII MCHANGA MAWAZO HAWASWAA,
ReplyDeleteHUYO MVUVI HAPO JUU INAONEKANA ANAIELEWA HII FANI, NA AMEMPA MAWAZO AMNBAYO ANAWEZA AKAYAFANYIA KAZI
LAKINI UJUMBE MMOJA, HUYU BINTI ATAFANIKIWA TU, TUMFAGILIE JAMANI. NCHI YA NORWAY NI NGUMU SANA, KUFIKIA HIYO HATUA NI DALILI NZURI.
SAFI BLACKROSE, ENDELEA NA MAPAMBANO
Nakubaliana na mvuvi ametoa challenge nzuri sana ambayo dada yetu akifuata ushauri huu nafikiri atafanikiwa. Pia nashukuru kuona wanablog wasioweza kukubali hata kama mtu amefanya kazi nzuri namna gani.
ReplyDeleteMimi napenda kumpongeza nafikiri tuije mtindo mzuri wa kuweza kupambanua mambo kitu kinachoelekea katika hari nzuri ni bora tuwe na upeo wa kukiona.
Nafikiri huyu dada hajaanza muda murefu sana hivyo nategemea atafika mbali sana. Wale wanaokandia bila chochote cha maana ni dalili za wivu.
Usikatishwe na wenye wivu chagua yale yaliyona akiri/mawazo endelevu walio na mawazo choka achana nao full stop
I have listen to these songs, na I feel like all has been said bout this, nyimbo zinasikika sauti ikiwa mbali lakini namini ndio hasa idea aliyokuwa nayo kuweka huku ili aweze kupata idea za watu.
ReplyDeleteBut as a TZ mwenzangu all i can say is tumpe constructive criticism basi kusema kwamba hana kipaji sio kweli kwani sauti na style ya kuimmba unayo but ni technical issue zinazoweza kurekebishika so as anybody anayeanza kwenye fani hii keep workin hard na kama unasikiliza watu kukusaidia go work on ur mixin sauti iweze kusikika zaidi kuliko beats na kama ukiweza jaribu kujiweka uwe unique coz kama mmoja wa watu walivyosema, its the first time nimekusikiliza but u sound like sumthing that I have already heard b4, but u have a lot of potential keep workin hard and gud luck.
pEACE
SAMAHANI SANA NDUGUZANGUNI WOTE,NAOMBA SANA MICHUZI UTUWEKEE PICHA YA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI.PLEASE NAOMBA SANA SANA.NAOMBA WENZANGU MNIWIE RADHI MANAKE NIMELETA TOPIC AMBAYO SIYO INAYOONGELEWA.MSINITUKANE MNISAMEHE BURE.AHSANTENI KWA KUNIELEWA.NAWAPENDA WOTE.
ReplyDeleteAnonymous wa 2006 5:16:57 PM hapo juu: Huyo dada yetu mwenye kutoboa mkundi (kitovu) na kuning'iniza mkufu--sijui wa dhahabu au shaba,yake tumeyasikia.Tunamtakia kila la heri!
ReplyDeleteJuu ya Baraza la Mwaziri... nakuunga mkono. Nitazungumzia kwa kifupi ma-Waziri wawili ninaowafahamu kwa muda mrefu. Waziri Mungai yafaa anga'tuke...(ale kustaafu kwake na wajukuu)... Waziri Wassira hafai kuongoza Wizara ya Kilimo
...aliwahi kuwa Waziri Mdogo wa Kilimo wakati wa hayati Rais Nyerere...Huku nikimsifu kwa bahati yake, ukizingatia kuwa huyu alikuwa amemaliza darasa la saba tu...na kukumbwa na kimbunga cha Chama cha Ushirika (alikuwa Meneja wa Union ya Pamba ya Ushashi)huko katika Wilaya yake ya Bunda, Mara, na kuwa Mbunge hadi Waziri Mdogo, hakuleta mafaniko katika Wizara ya Kilimo. Alihamishiwa Washington Ubalozini alipopata nafasi ya kusoma kufikia digii ya M.A.
Sina hakika na hizi, ila inaaminika kuwa BlackRose ni m-Kenya. Nadhani ndiyo maana wa-Tz hamjawahi kumsikia na wa-Kenya wana habari zake kwa sana.
ReplyDeleteIts interesting Wakenya wanavyojua kujimarkert. Michuzi this girl aint Tanzanian. She is from Kenya do your research unless you are here to markert Kenyan Music. Lady Jay Dee is still making Tanzanians proud so we should embrace her. Blackrose is working really hard and she is making the Kenyans proud not us and i bet when you go to her room you will find the Kenyan flag and not the Tanzanian flag.I do know her very well Michuzi, as you know waafrica hapa Trondheim ni wachache kwahiyo tunajuana.
ReplyDeleteHuyu ni Cynthia Masasi!
ReplyDeleteHEY ARE YOU MARRIED?? I WANNA KNOW COZ YOU LOOK VERY ATTRACTIVE AND I WANNA DATE YOU.LET ME KNOW THRU MICHUZI'S BLOG
ReplyDeleteYou kno what?...I knew this girl is Kenyan.Kwanza angalia Kiswhaili chake kimepindapinda cha Kikenya haswa hakijakaa kwenye mstari ulionyooka, top of that feature yake ni ya Kikenya.No doubt.
ReplyDeleteNa wewe unayejiita Cynthia Masai una issue,Jina la Cynthia limeingiaje humu Unamtafuta nini?..Acha kuwa jelous hivyo.
Asanteni mliotupa habari za dada huyu kuwa ni Mkenya. Nimerudia maelezo yake hapo juu kama mara kumi hivi lakini hakuna (msisitizo) hakuna mahali alipodai kuwa yeye ni Mtanzania. Zaidi nimeona anasema yeye ni M-Afrika Mashariki. Sioni ubaya akijitangaza humu almuradi Michuzi hana noma.
ReplyDeleteOyaa Machomane inaelekea una jicho chongo soma vizuri maandishi yake
ReplyDeleteQuote:
hususan nyumbani Bongo. Nitafurahi kusikia kutoka kwenu.
Blackrose, you so phwine baby, why don't you hit at me one time at 482 80 415, ehh?
ReplyDeleteAny time you happen to be in Oslo you can holler at me!!
haya sasa dada yetu BlackRose, waweke watu huru. waeleze vizuri wewe wa wapi. haijalishi umetoka Kenya au Bongo, au umekulia Kenya ndo maana kiswahili kidogo kinapinda. Mbona Jide(lady J-D) kasoma Kenya, hakuna tatizo. waweke tu watu huru. maana tunaposafiri huwa tunawatafuta wabunifu na wasanii wa anga mbali mbali kwa mambo mbalimbali.
ReplyDeletekaribu kwenye fani, karibu nyumbani.
Blackrose, send meg tekstmelding på 482 80 415. Jeg synes du er veldig fin. :)
ReplyDeleteHilsen
Georgie Doggie Stylist
anon 1.09,uko desperate namna hiyo mpaka kutafuta mademu huku, kweli game hola kijana kajipige tu mwenyewe na acha ukuda wa kutoa namba zako huku
ReplyDeleteJamani, msianze kumsema dada wa watu kuwa ni mkenya. Keshawaambia kuwa anatoka Bongo. FYI, ni mtanzania halisi, baba na mama wote ni watanzania na wanaishi Tanzania. Hana blood ya kikenya hata kidogo. I know her family.. so just support her if you want. Kama hampendi anachokifanya basi msianze kumpakaza kuwa ni mkenya, mkatafuta sababu ya kumtukana. Kuna watanzania wengi tu hawaandiki kiswahili fasaha, so isiwe sababu ya kuanza kumtenga kwa vile haandiki kiswahili kilichonyooka.
ReplyDeleteStay positive people!!
Kwa unayejidai unamjua Blackrose sababu unaishi Trondheim acha uongo.Blackrose hajichanganyi na watu wambea na wapotezaji muda japokuwa anapenda kusalimia kila mtu anayemuona. Acha uongo wako wewe ....Na wangapi kati yeni hivi mnanunua Cd original? Hamumzidishii huyu dada kitu wala kumpunguzia! Kama yenu hamyawezi acheni ya wengine!
ReplyDeleteHeck! I don't care if the bitch happens to be Kenyan, Norwegian, Cablinasian, or Martian! She's hot man! Hotter than hell! And all I know is I wanna do Blackrose doggy style. All day. Everyday. :)
ReplyDeleteHilsen
Georgie Doggy Styleman
Hahahahaahaaaa umenichekesha kuleta picha ya malaya huyu ameshindikana hapa Norway. Noma kweli huyu dada hivi alizani hakuna atakayejitokeza kumfahamu. Duu pole sana. and you have not got what it takes to reach where you say you want to. Angalia manywele fake hayo. huyoooo mchaka mchaka,,chinja, mchaka mchaka ,,chinja, adimselema Hadija., Pole sana, maana imebidi ujitangaze lakini unaumbuka sasa.
ReplyDeleteHey you Anonymous,
ReplyDeleteNilishakutolea nje nini ndio maana unaleta shari? Sitaki ugomvi na mtu wala matatizo. Kila mtu ana ndoto yake kama hupendi ninachofanya kwanini usiendelee na shughuli zako?
Nywele feki watu wanafeki vingapi.maziwa,meno mie nywele tuu.Well sijazoea matatizo labda nyimbo zangu watu hampendi no problem lakini umalaya samahani sijawahi kujiuza na wala sitojiuza.Nimeshindikana na nini? Mie zangu kazini,shule,studio na shughuli zangu sana sana zaidi kwenye clubs Shaking my boody is that Umalaya? Please get you a hobby...Allah is watching over you!
Hamna kitu ambacho kitanifurahisha kama kuona wanawake duniani wanafanikiwa bila kudhalilishwa kutumiwa kijinsia wakati hawataki hivyo ili wafanikiwe tuu. Acha roho mbaya kuniita Malaya kwanza hamjui hata kwangu wapi maana mie sina muda wa kupoteza na watu ambao ni negative.
Kama hupendi mziki wangu poa ! Usinitukane na kunipakazia umalaya sawa!Hebu jitaje wewe ni nani kwanza! Nakusikitikia mnooooo tena sana..!!!!! Ndio nyie nyie kazi zenu kutongoza wasichana wakiafrika wakikutoleeni nje ooh malaya poleni!
Hebu chungulia:
www.myspace.com/blackrose52 uwaone fans wangu sitorudia sema lolote jingine andikeni lolote kuhusu mziki wangu lakini Umalaya Subhana Allah ataniepushia Mbali Amen :)
Peace and Love,
Blackrose.
www.blackrose.no
Hahahahah Chalii mbona umekuwa mkali hivyoo.
ReplyDeleteNimetoboa kitovu na kuweka vito feki!
ReplyDeleteSAMAHANI SANA WAUNGWANA MSIJIFANYE WENGINE KUTOA MAONI YA KUMFAGILIA HUYU DADA NI BOMU, NA ALIKIBIA BONGO KWENDA NORWAY AKIDHANI HAKUNA ATAKAYEMJUA MAMBO YAKE KAJICHIMBIA HAPA MIAKA MINGI AMEDHANI WATU WATALAILOO, HAPANA BWANA MALAYA HUYU KUGAWA UCHI NJE NJE. NA KWA BOOZE NDIO MWENYEWE MLEVI HUYU KAMA ANNA KAHAMA, NA TABIA ZAO ZIMEFANANA SANA MAANA MIE NI RAFIKI WA KARIBU NA NDUGUZE WANAOISHI CANADA, NA NILIPATA FURSA YA KUMUONA KWA MACHO YANGU MWEZI WA KUMINA MOJA MWAKA JANA ANNA KAHAMA ALIKUWA CANADA, AKITIWA NA MZUNGU, NA ANALEWA ILE MBAYA KAMA SIKOSEI AMESHAKUWA ALKOHOLIKI. NASIKIA NA CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA MAMA YAKE MDOGO WA CANADA ALIKUWA AKIFURAHIA UMALAYA WAKE. KIZEE KILE.
ReplyDeletesasa ndugu yangu hapo juu. nakushangaa, watu wanaongelea mambo ya BlackRose wewe unaongea mambo ya Anna Kahama, kwani kakunyima nini?
ReplyDeletePili unalalamika kuhusu umalaya, ulevi nk. ngoja nikwambie kitu kimoja kama hufahamu ndugu. Mimi by Profession ni msanii mbunifu. na Umalaya ni sanaa na ni moja ya sanaa zinazolipa sana duniani, na sehemu nyingi ulimwenguni hasa Canada zinaheshimika na zinakatiwa kodi kubwa tu. na watu wanaenda shule, wanpata huduma bora za afya kutokana na kodi za hao hao malaya. Ila tu kutokana na utamaduni wetu wa kiafrica/tanzania umalaya ni jambo baya, na pia si kiutamaduni tu bali hata kiafya, kwani sisi tuko zaidi kwenye ukanda wa Tropic, na ukitenda tendo hilo inakuwa kiafya ni hatari sana.
Kuhusu Pombe, ni kitu cha kawaida tu, kwani wanaume wanagapi wanakunywa mpaka wanajikojolea na kujinyea? tumezoea hayo, sasa basi usimseme mtu in public kwamba ni malaya, sijui mlevi. kama unamfahamu na unaona tabia yake haikupendezi mseme yeye binafsi. Umalaya upo na ulikuwepo hata kwenye Biblia imeandikwa, na katika Amri Kuu Mbili alizoziongea Yesu, katika kurekebisha(na si kuivunja) Torati ya Musa, hakuukataza Umalaya, kwani yeye mwenyewe Yesu alidate huyo huyo Malaya (Mary Magdalene). Anyway tuachane na filosofi ya dini na history.
Na wewe Dada yangu Blackrose, usijibu watu vibaya pale wanapokushambulia vibaya. Sikiliza maoni, yachambue, yafanyie kazi nk. lakini ukionekana unajibu jibu utumbo humu, itakuwa kama yule Cynthia Masasi ambaye, mimi binafsi namuona safari yake kiubunifu ni fupi, kwani hawezi kuvumilia mashambulizi, na hapendi kukosolewa kwa manufaa yake, yeye anapenda kuwa praised, which will never happen in Human brain.
Blackrose, unaonekana bado u-mdogo sana kiumri, una safari ndefu sana kifani, kimaisha nk. sasa tumia nafasi hii pekee uliyoipata ya kuonekana kwenye hii blog kwa kujifunza kutoka kwa watu. kwani unapokuwa unabuni mashairi yako na melodi zako huwa uko peke yako, so that is the time ambapo unatakiwa udigest mawazo ya watu, mabaya na mazuri kwa jili ya kuleta ubunifu mpya katika kazi yako. pia ningefurahi iwapo ungeeeleza background yako, au Biography yako kwa wana blog wakujue zaidi, au hata kwenye web yako. si lazima ueleze kila kitu, atleast something to hook u up.Pia do something to publicize your country, hata kama ni rangi chache tu kwenye web page yako. kwani kwa mtazamo wangu imekaa kizungu mno, na page yako nikiifungua nikiwa Japan, siwezi kuitofautisha sana na Page ya mtu yeyote wa huko, au wa Mexico. sasa unaweza kuweka lolote, au hata mavazi yako kwenye page yako, unaweza atleast ukavaa vazi mojawapo la nyumbani, maana kuna Pink colours nyingi humo. Pia anagalia usije ukajiweka mzungu zaidi au kama wengine ambao hatupendi kuwataja sana wanaojifanya ni Black-Americans zaidi. Hilo elewa halitauza au kukutangaza wewe as a different person. kumbuka always binadamu wanataka kitu kipya, something different.
Ni ombi tu, na si lazima sana.
Ndugu MVUVI hapo juu nakuelewa, na nakubaliana na machache uliyosema. Ila tu sijui huelewi maana ya hii blog?? au labda ni mgeni humu jamvini? Maana kama si mgeni humu utakubaliana na mimi kuwa kati ya maoni asilimia kubwa huwa WALA HAYAHUSIANI NA PICHA ILIYOWEKWA NA MHESHIMIWA MICHUZI JUU. Watu huwa wanapata fursa ya kutoa maoni hususani wanapoongelea topic fulani ya muusika kwenye picha hiyo wanatoa na mifano ya watu wengine ndio maana unakuta kuna watu wengine wanatajwa na kuongelewa ambao hawahusiani na picha ya juu hapo. Kutokana na kinachoongelewa na kutoa mifano. kwa hiyo usisakame watu, wewe ingia humu utoe maoni yako basi. sawa? laa sivyo utaanza tu mizozo ambayo haina maana, huyo ulomtaja hapa HAJAKOSEA KUTAJA WATU WENGINE KWA MIFANO ALIYOTOA. AMEJIELEZA VIZURI TU. NA NDIO MAANA YA MTANDAO HUU. Tunapata story nyingi namna hii. na tumeona maoni mengi tu nyeti zaidi ya yaliyokuwa hapa juu.
ReplyDelete