ajali haina kinga. hii imetokea karibuni barabara ya morogoro rodi, sehemu za mji kasoro bahari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. ajali ina kinga. barabarani kunatakiwa kuwa na lama zinasema mifugo iko mbele. Madereva na wao wanatakiwa wawe makini.

    ReplyDelete
  2. barabara ya morogoro rodi is a mistake,correct is barabara ya morogoro or morogoro road

    ReplyDelete
  3. thank God it did not lead to human loss.

    ReplyDelete
  4. HII INAONYESHA JINSI GANI MADEREVA WETU WASIVYO NA BUSARA KATIKA KUFUATA SHERIA ZA USALAMA. HPO NI SEHEMU YA MAKAZI YA WATU, MWENDO MARANYINGI USIZIDI 50KM/HR INAELEKEA ALIKUWA KWENYE MWENDO MKALI SANA MPAKA KAUA NG'OMBE WOTE HAO TOKA KULE NYUMA! HAWA MDEREVA HUWA WANAPITA BARUTI SANA SEHEMU ZA MAKAZI KISA HAKUNA TRAFIKI POLICE!

    ReplyDelete
  5. Kaka Michuzi hii picha umeichukua eneo gani karibu na mji kasoro bahari? Maana maeneo ninayojaribu kuyafikiria mahala gani picha imechukuliwa ni eneo kati ya Bwawa la Mindu na Doma ukielekea Iringa au maeneo kati ya Mkundi na Dumila ukieleekea Dodoma.

    ReplyDelete
  6. hatai kwei kwei - sasa hao ngombe si watachinjwa watu wauziwe na wao wanunue bila kujua ni vibudu? Jamani mwendo mkali madereva jamani chonde chonde

    ReplyDelete
  7. daaaaaaaaaaaaaaam ina maana huyo jamaa kagonga ngombe moja,mbili,tatu,nne,tano,sita woooow..yaani aliwagongaje?hilo ndio swali kwani alivyo gonga mmoja hakuona astop?mmmh hao madereva ndio maana ditopile mmmh...........

    ReplyDelete
  8. sasa tungekuwa na ditto wengi ndo madereva wangekuwa woga..hapo ingekuwa mifugo ya dito anaua dereva konda na mpiga debe..!!

    ReplyDelete
  9. sassa hapo tungekuwa na dito wengi madreva wangekuwa woga kidogo..kama ni mifugo ya dito hiyo angeua dreva konda na mpiga debe siku hiyo

    ReplyDelete
  10. kwa nini wana acha wanyama wawe wana tembea ovyo????

    ReplyDelete
  11. Blogger hapo juu kasema kweli ajali ina kinga, misemo hii ya kipuuzi yenye lengo la kupuguza makali ya tukio haina nafasi kwenye jamii yetu ya sasa.

    Ng'ombe hawakutakiwa kuwa pale barabarani na kama walikuwa wanavuka kwenda upande wa pili wa barabara ilitakiwa kuwe na alama yakuonyesha madereva kuwa wanyama huwa wana vuka barabara katika eneo hilo.

    Na huyu dereva kuzoa wanyama wote hao anaonekana hana 'speed governor'. Kwa hiyo ajali inaweza kukingika.

    Sufa

    ReplyDelete
  12. Michuzi naomba ututumie picha za CYNTHIA MASASI huu msiba umekwisha tikea na Dito yupo kwenye mikono ya sheria GUYS LETS MOVE ON....!Mzee Michuzi naomba picha zaidi za TAUSI NA MREMBO CYNTHIA MASASI NINAMUHUSUDU huyu dada kupita kiasi nadindisha kila mara ninapoona picha yake niko mbali kidogo na Atlanta siunajua siunajua tena ubusy wa Maryland mzee michuzi?

    ReplyDelete
  13. ....but animal lives are lost!! we should value them too..part of national income. Drivers should take great care while driving.

    ReplyDelete
  14. Hivi wewe anonymous 4:09 ndio unajifanya unajua zaidi ya michuzi au?Au ni mgeni wa blog?
    Kimbelembele kitakuja kukuumiza.Si kwamba hajui ila anafanya hivi kwa makusudi,mjinga kama wewe ndio utahisi amekosea.

    ReplyDelete
  15. Reckless driving..Hayo ni makazi ya watu, barabara inapopita karibu na makazi ya watu kwa Tanzania mwendo unatakiwa si zaidi ya 50km/hr. Inaonekana alikuwa spidi sana. Hao wamasai kama wangekuwa kama DITOPILE MZUZURI wangeshamuua dereva hapo!Ila wameona watapoteza haki yao ya kulipwa hao ng'ombe na kifungo juu. Ni busara ndogo tuu ilimshinda.

    ReplyDelete
  16. HUU NI UZEMBE MKUBWA NA SIO AJALI. HUWEZI KUPUKUTISHA NGOMBE 7 MFULULIZO USEME NI AJALI. LOGICALLY UKIANGALIA MAHALI HII EVENT IMETOKEA INAONYESHA NI UZEMBE MAANA ALIANZA KUPUKUTISHA KUANZIA MITA KUMI RUDI NYUMA.

    ReplyDelete
  17. eeee bwana hee!!!!!!!!!!! duuu!! Nyama ya Bure hiyo

    ReplyDelete
  18. Sasa wewe muandikaji mbona unafanya kama hujasoma na kuchangan ya watu....Either ni Barabara ya Morogoro au Morogoro Road(Rodi).
    Lakini SIO Barabara ya Morogoror Rodi...brother please!!!
    xx..Da_Hater!!

    ReplyDelete
  19. Lazima dereva akapimwe anahitaji MAWANI how come akanyage ng'ombe wote hao bila kuwaona??jamani madereva sasa mmezidi kama mchana huo ng'ombe hanjawaona usiku ataona hata daraja kweli ama kweli maisha ni kuyashika mokononi !!!

    ReplyDelete
  20. DUH! Jamaa kafanya BOWLING na basi lakini nini. Kagonga ng'ombe wangapi? DUH! Hakuwaona nini au walikimbia tu mbele ya basi yake. Hao waMasai lazima walikasirika sana. Na hapo kwenye hiyo eneo nadhani watu walikula mishikaki ya nyama ya vibudu. Je wangekuwa watoto wa shule wanavuka barabara ingekuaje?

    ReplyDelete
  21. Hapo panaonekana kama ni pale Lutheran Junior Seminary hivi Morogoro..ajali zinatokea sana hapo madereva mume makini

    ReplyDelete
  22. wewe mwita tunakuheshimu sana lakini sasa naona unajiaibisha, unakuwa kama hujasoma bwana? kama unadidisha kwa nini usiende bafuni na sabuni ama mafuta ya mgando na hizo picha za warembo umalizie haja yako humo humo bafuni? aahh mijitu mingine bwana inatia kinyaa kabisa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...