MDAU AITWAYE XHOQSA AMENITUMIA TANGAZO HILI NILIMWAGE HUMU. NAMI SIONI KWA NINI NIMFANYIE HIYANA NA KUMFANYIA HILA, JAPO TUPO KATIKA WAKATI MGUMU WA MAOMBOLEZO YA NDUGU YETU MPENDWA DEREVA WA DALADALA ALIYEUWAWA KIKATILI NA MTUHUMIWA HAYATI HASSAN MBONDE



A good friend of mine from Ilala has requested my help in disposing off his vehicle. He urgently needs the money to enable him complete his residential house in Tabata. Sir/Madame, Know anyone who is interested?

Here are the details and a picture of the vehicle: TOYOTA HILUX FOR SALE * Metallic blue * 5 Passengers * 6 Cylinder power * Customised Suspension * Engine Noise completely harnessed [*] KAR registration [*] Efficient fuel consumption 10ml/bm * Quick sale ~ shs. 200,000 only (Remember: First come first served!)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. michuzi sikujua kama na wewe ni mpepe sometimes. unahitaji kupepewa kwa kweli yaani habari zote za muhimu hii ndio umeona ya kutuwekea mungu akuzidishie ili siku nyingine uweze kupima umuhimu wa mambo.

    ReplyDelete
  2. Mmmmh ! Hapa kama unakalibia kuingia mji wa Kigali Rwanda. A very nice country.

    ReplyDelete
  3. Kwa kweli Michuzi unanishangaza mno - hilo jambo la huyo dereva wa dala dala umelishikia bango mno - KWA KWELI IT SERVES HIM RIGHT. Hao madereva wa dala dala wakishirikiana na makonda wao wananyanyasa sana wanafunzi jamani. Two weeks ago - mwanafunzi kakanyagwa na gari na kufa papo hapo tena mbele ya macho ya mdogo wake - wakienda shule - je hilo hamlifikirii jamani - au kisa huyo kapigwa risasi na mkuu wa mkoa?? Just think about it JAMANI - afadhali hata huyo dereva ameishi kuona watoto wake - je yule mtoto aliyekuwa awe taifa la kesho??? THIS IS BULL SHIT - kwa kweli hao madereva na ni BADO.Huo ni mfano tu.

    ReplyDelete
  4. Hii kona sio ya Sanga Sanga , Mzumbe? Dereva anayetokea mbele ni lazima awe na breki za uhakika!

    ReplyDelete
  5. Utani mwingine haufai. Watu wamechoka na stress za maisha, halafu unaleta za kuleta, gari, gari kitu gani...

    ReplyDelete
  6. Mhh! Michuzi hapo mimi natamani hiyo injini tu kwa ajili ya kitoweo!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. hio ina itwa unyanyasaji wa wanyama ingekuwa kiwanja hao watu jela yao

    ReplyDelete
  8. barabara nzuri magari hakuna.Imejengwa kwa mkopo,ipitiwe na magari ya mikopo waliyokopeshwa wabunge,viongozi serikali na mashirika ya umma kwa ajili ya kwenda kuangalia miradi ambayo imeanzishwa kwa fedha za mikopo.
    Sasa inatumiwa kama njia ya mifugo na mikokoteni baada ya KENYA kujinyimwa mikopo kwa sababu ya ufisadi.Kibaki hoi kingereza kimemwisha siku hizi anaongea kiswahili akihutubia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...