jamaa akipiga stati leo dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani hawa kasi mpya ari mpya nguvu mpya sasa noma.Taabu hii walisema mwisho novemba lakini madili feki!Kuboronga! Semina elekezi!Misafara mingii kwenda nje wakirudi wanasema si mafanikio hayo!Wakati watu wanasota!Haya tena waliowachagua watalia na kusaga meno!Masikini Tanzania!

    ReplyDelete
  2. Generator aina hiyo ngumu kweli kuwasha.Mpaka iwake lazima mtu ajipinde hadi ajambe na kutoa ushuzi ndio iwake.Richmond mmesababisha uchafuzi wa hali ya hewa kutoka kwa watu wanaojamba wanapowasha Generator na moshi utokao kwenye mikundu ya hizo generator zenyewe zinapowaka.

    Inshallah siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu naye atawabana ninyi Richmond hadi mjambe maruhuni nyie.

    ReplyDelete
  3. Namshauri atumie na hiyo tukutuku hapo nyuma kuongeza uzalishaji wa umeme

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...