KUNA MDAU KANIAMURU NIWEKE PICHA HIZI ZINAZOONESHA HALI HALISI YA MKOA WETU. NAOMBA USINIULIZE KWA NINI, MIE NATELEKEZA/NATEKELEZA AMRI TU...

ati hapa ni kampala, mkabara na chuo kikuu cha makerere

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Huyu dereva ni wa kufikishwa mahakamani moja kwa moja na ushahidi ni huu wa picha!Vinginevyo huu ni mradi wa trafiki wa Kampala.

    ReplyDelete
  2. This is Africa 4 U. Nice pic reminds us all of our roots. Any way we can chage this hali???????????????? No way!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Haya sasa mliosema wa ughaibuni warudi bongo eti what?Makerere?huku ukiwa unafanya MC D una gari yako,tusileteane mchezo jamani!ngwamba za namna hiyo tulishasahau,mambo ya kusukumwa na makonda hatujayasahau bado.Someni ughaibuni tuondoe usanawari.

    ReplyDelete
  4. Hizi picha zinazunguka miaka mingi sasa na wala sio east africa...hizi ni fwd za miaka mingi. Michuzi vipi ndugu yangu au umechoka kutuwekea mambo mapya na sasa unatuwekea mitumba hii ya internet

    ReplyDelete
  5. Michuzi aliye kutumia hiyo picha naona kakudanganya. http://www.burgerman.info/amazing-pictures.htm

    ReplyDelete
  6. huu ni uchizi utawezaje ku
    fanya kitu kama hiki ni lazima gavament ifanye kitu.

    ReplyDelete
  7. Michuzi kwa heshima na taadhima naomba niulize picha za Yanga kuchukua ubingwa mbona unazibania?

    ReplyDelete
  8. Ni kweli Yanga kitita tunaonewa

    ReplyDelete
  9. Anayeendesha hii gari namjua sana ni YOWERI KAGUTA MUSEVENI.Hao waliopanda nyuma ni waganda wanafunzi na walimu wao ambao wameamua kuacha chuo cha Makerere kutokana na kukosa ada na walimu wameacha sababu mishahara midogo.Hapo anawarudisha kijijini kwao walikozaliwa wakajiajiri wenyewe kama wanafikiri ajira ni rahisi.

    ReplyDelete
  10. Michuzi najua wazi kuwa wewe ni LIVAPUL na SIMBA damu. Lakini tupo sie akina YANGA kuzaliwa. Tunaomba PICHA za YANGA, mabingwa wa kulisakata kandanda nchini TANZANIA. Vijana wa JANGWANI. Thanx.

    ReplyDelete
  11. Aisee hii ni zaidi ya shida ya usafiri, sidhani kama inafikia ile shida ya usafiri ya kule Kusini mwa Bongo... This is too much bwana!
    Karibuni sana www.gallus-tz.blogspot.com

    ReplyDelete
  12. Yanga mabingwa wa kusakata kandanda nje ya uwanja. Wakiingia uwanjani wanakimbia kimbia na kurusha rusha mipira tu.

    ReplyDelete
  13. http://www.jambophotos.com/

    ReplyDelete
  14. yeeeees hiyo ndio Africa ninayoi penda mimi wajama wana ziki lakini wako happy kinoma big smile hey life goes on

    bongo for life

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...