hasheem asingekuwa ughaibuni kucheza mpira wa kapu hivi sasa angekuwa nyota wa bongo flava, maana aliishaanza kupanda jukwaani na wasanii wa east coast. hapa anapozi na mandojo na domokaya kwenye shoo ya music mayaday bustani ya mnazi mmoja gaden mwaka jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...