Home
Unlabelled
mchuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aaaaaaaaah michuzi nakuonea huruma mwanangu!! hayo ni mambo ya kawaida tu. sasa ule mpango wa kuamia man utd uko vipi? au mmeamua kumfukuza kocha? maana ndio zenu hizo!! aaaah ngoja nicheke tena, Hivi unawekaga na pesa? Mimi uwa naweka na pesa mzee yaani ningekuwa bongo ningekuchukulia pesa zako kila leo. aaaah ina uma hiyo!!
ReplyDeleteaka mzee wa the red devils.
Bora kuhamia Arsenal. Muda bado upo kubadilisha timu. Mimi naona akina Liverpool mtaumia sana roho msimu huu.
ReplyDeleteKaka..ilibidi ujifiche humo na gari yako ukaitosa ili mtaani wasikuone....Wapiga bunduki wamerudi kwenye shabaha kisawasawa. Tunajiandaa kunya Portguise Blue wine terehe 10 ya mwezi ujao....wazee wa Daraja la Stanford kaeni mkao wa kunywewa.
ReplyDeleteHaa!!!!, acha uwongo michuzi game lilikuwa jioni halafu wewe unarudi na daladala ya mchana, jua pee, au bwa mkubwa hukuona game nini? maana kuna mgao huko ukawa unasikiliza kwenye radio tuu. POLE USTADHII
ReplyDelete