naona sasa imekuwa hobi. hii ni ya reo reo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. angekuwa nanihiii hapo kushatoa cha moto!bahati yake huyo dereva!

    ReplyDelete
  2. Ooh Dito's nightmare!!

    ReplyDelete
  3. Hobi! Kazi, kwao!

    ReplyDelete
  4. du huyo mwenye baloon ana bahati trafiki walikuwa kando laa sivyo mwenye land crucer angemdito

    ReplyDelete
  5. aaaaaaaaaaahhhh wabongo na lugha ya kiswahili si mchezo eti angemdito, anyway safi hiyo. ubunifu

    ReplyDelete
  6. angemdito hahahhahahhhahahahahhahhaah

    umenipa raha

    ReplyDelete
  7. Kiswahili kua!!!!!!!!!!!!!!

    dito = ufyatuzi wa bastola
    -dito = -fyatua bastola
    kudito = kufyatua bastola

    ReplyDelete
  8. Kweli kiswahili kinakua,
    - kudito = kufyatua bastola, tehe teh !!
    Hii inanikumbusha ya Kihiyo? yule aliyefoji vyeti na akapoteza ubunge, Na sasa "kihiyo" linatumika kama mtu ambaye hakwenda shule!!

    ReplyDelete
  9. Nyongeza tu!
    shina la tenzi-dito
    kitenzi(verb)-kudito
    kisifa-dito
    swahili juuu!! watani wa jadi urithi wenu kwa vizazi vyenu nini? kiingereza??? utumwa huoo!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...