Home
Unlabelled
jk
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MANENO MENGI YANINI? SI TUNANGOJA UMEME WA SAMSUNG TU!
ReplyDeleteJK AMEKUWA MJANJA NAJUA ANAWAKWEPA ILI MSIJE KUMUULIZA KUHUSU SWAHIBA WAKE DITOPILE
ReplyDeleteNaona Christopher Columbus (JK) akisalimiana na viongozi wa serikali baada ya kurejea kutoka Far East na kupitia tena Saudi Arabia. Bwana Michuzi huko Saudi arabia kunani?Kumbukumbu zangu zinanionyesha mara ya pili katika kipindi kifupi anapitia hapo.Au alienda kujitambulisha tena?.Je baada ya kurejea atatulia home kuangalia mambo ya nyumbani yavyooenda? au amerudi tu kupumzika kwa muda kabla ya kendelea na safari zake za kudiscover new world?
ReplyDeleteNaona Christopher Columbus (JK) akisalimiana na viongozi wa serikali baada ya kurejea kutoka Far East na kupitia tena Saudi Arabia. Bwana Michuzi huko Saudi arabia kunani?Kumbukumbu zangu zinanionyesha mara ya pili katika kipindi kifupi anapitia hapo.Au alienda kujitambulisha tena?.Je baada ya kurejea atatulia home kuangalia mambo ya nyumbani yavyooenda? au amerudi tu kupumzika kwa muda kabla ya kendelea na safari zake za kudiscover new world?
ReplyDeleteJK hawezi kuongea neno kwa sababu swahiba wake yupo ndani.
ReplyDeleteHaya Brother Michuzi, tunakusubiri na sogo atakalo lianzisha JK .....tuletehe uhondo
ReplyDeletehayo ni manguo gani VP anavaa?
ReplyDeleteviongozi wakibongo wanafiki kila mtu atataka kwenda kumpokea ili kutetea unga wake. Sasa huyo mramba anafanya nini hapo asie kwenda kutatua matatizo kwenye wizara yake.
ReplyDeleteKikwete anampa msamaha DITO katika kipindi chake cha pili(Kipindi cha lala salama)!!!!anayebisha nani??
ReplyDeleteAnapitia Saudi Arabia kwa mpango wao yeye na Karume ktk kujiunga na Organization of Islamic conferences, OIC. Mmepata kujua kwanini anapitia hapo sana.Tanzania inaelekea wapi?
ReplyDeleteSafari hii hatujapata picha za wadau alioongozana nao Rais kwenye hii Blog.Michuzi na Kikwete mmeamua kufanya siri!!Tutatafuta wanablog wa nchi alizotembelea watuletee picha zao.Au Michuzi hutaki kuzitoa sababu walikuacha safari hii ukakosa posho za safari? Nina usongo wa kuwajua au kuna mwanablog anawajua atuletee japo majina.
ReplyDeletewe unataka uwajue aliokwenda nao rais ili iweje si ungeenda wewe basi kama unataka!udaku tu tafuta maendeleo yako sio kutafuta ya wenzako ukishawajua halafu itakuweje?
ReplyDeleteHiyo ndio TZ. Raia wake hawajui chochote juu nchi yao inavyoendeshwa. Wao huongelea tu habari za vijiweni zisizo na ushahidi wa kutosha. Nchi yao ina kila neema; madini, ardhi bora ya kutosha kilimo na mifugo na maliasili kadhaa. Wajanja wachache wanasiasa na watendaji wa serikali na vyombo vyake wakishirikiana na watu toka mataifa mengine wanavuna utajiri huu kwa kasi bila kuulizwa. Nchi yao inabaki maskini, gizani, haina barabara, elimu duni, maji machafu, viwanda hewa! Poleni SANA wa TZ na maneno enu pasi na vitendo.
ReplyDeleteNaunga mkono any 10.12.01 hapo juu hata kama labda si mzalendo wa TZ. Huu unyag'au na ufisadi unaofanywa na viongozi dhidi ya mali ya umma unachangia kuharibu tabia za watu waliokuwa wafanyakazi wazuri na waaminifu. Huku wilayani watu wanatajirika kwa kuiba pesa za wilaya watu ambao elimu na mishahara yao ni midogo sana lakini mali wanazomiliki ni hatari. Maofisini kila mtu anawaza kupiga bao mambo yanyooke. Hivi ninyi mliopewa dhamana ya umma hamyaoni haya maovu? Wenye dhamana acheni kujenga hii tabia chafu ya wizi wa mali ya umma katika jamii. Nyerere na Sokoine hawakujenga tabia hizi mbaya. Makampuni binafsi tu ya Marekani kwa mfano yanafunga watu kwa ufisadi. Tonny YENGENI kiongozi wa ANC ya SA yuko kifungoni kwa ufisadi. TZ ni lini viogozi watawajibishwa kwa ufujaji wa mali za umma?
ReplyDeleteHuyu JK lazima ajenge misikiti na kuua kitimoto wote! Huko Arabuni si bure.
ReplyDeleteKuwajua watu aliosafiri nao Raisi ni muhimu kwa sisi walipa kodi.Tumechoka hela zetu kugharimia watalii kwenye misafara ya viongozi wa Afrika.Kama mlipa kodi nina usongo wa kujua nani walikuweko kwenye huo msafara.Michuzi tarudisha kodi yangu ukiniletea mzaha.Kama wangesafiri kwa hela zao tusingetaka kuwajua wa nini wakati wanakula vyao!!
ReplyDeletebi salma konda,...firts lady una jiachia sana.......mikuku ya ikulu..punguza
ReplyDeleteKwani ikijengwa misikiti ni vibaya? si wataswali wenye dini yao. Pia ni faida kwa nchi ni sehemu ya infrastructure (miundo mbinu). Misikiti inajengwa hata nchi za Magharibi UK, Italy, n.k itakuwa Tanzania. Usituletee udini hapa.
ReplyDeleteYa kusema atayapata wapi kwani swahiba kaua mtu. Sasa tunasubiri labda na yeye atakwenda pale Mzimuni kutoa rambirambi kwani serikali nzima hakuna deal nyingine bali kujaribu kufukia yale yaliyotokea.
ReplyDeleteKumbe ziara yako kutembelea magereza ilikuwa kumuandalia swahiba makazi mazuri. Uliyajuaje in advance kwamba Ditto angeishia lupango?
Jamani tunataka actions sasa hivi. Nchi ina matatizo mengi yanayohitaji ufumbuzi. Ya Ditto achieni mahakama itaamua!!!
Msiendeshe nchi kwa ahadi. Uchaguzi ulikwisha pita sasa tunataka vitendo mtuletee maendeleo jamani!! Huu siyo wakati wa kampeni na wala issue za jamaa kupiga risasi mtu isi-divert attention zetu kwenye matatizo ya msingi. Y a Ditto kama nilivyosema tumwachie Pilato ata-deal naye.
Sisi tunataka umeme, barabara madarasa, ujira wa kuridhisha na kadhalika. Mengi yanayoonekana sasa hivi yameachwa na awamu ya tatu. Sasa tunataka ya kwenu. 80.28% siyo mzaha ni lazima mtoe matunda kadiri ya matumaini yetu.
By the way usikose kuwapitia washikaji wa Ditto aliowaacha wana huzuni kubwa wanahitaji consolation pia.
Ninavyoelewa, kuwa mwanachama wa OIC nchi itafaidika sana kiuchumi tofauti na propaganda zilizopo. Wanachama wa OIC kwa sasa ni nchi 58 Duniani, zikiwemo Msumbiji, Uganda,Senegal, Sierra Leone,Burkina Faso, Benin, Gambia,Gabon, Guinea, Guinea Bissau, Guyana,Suriname,n.k. Sasa cha kujiuliza hizi nchi ni za kiarabu au za kidini? kama siyo ni kwa nini wameamua kujiunga na hawajatoka?. Tanzania tunastahiki kujiunga kuliko hata baadhi ya nchi hizi. Kama tuna ubalozi wa Vatican kwa nini tusiwe member wa OIC?. Watazania tusijiweke kwenye "mtungi" kila siku tutakosa mengi ya maendeleo Duniani.
ReplyDeleteUarabuni Kunaongoza kwa kutoruhusu demokrasia ya kuabudu duniani.Wakati waarabu wako huru kutangaza dini yao na kujenga misikini Marekani,Uingereza,Japan n.k Wao hawako tayari kutoa uhuru huo huo Kwa Wakristo au wabudha n.k Kutangaza kwa uhuru dini zao na kujenga majumba yao ya kuabudia kwa uhuru Uarabuni.Hongera Bush kwa kuwashushia kipigo uarabuni ili wasizoee demokrasia ya upande mmoja tu na wao wazuie wengine.Watanzania tunapowakaribisha waarabu kujenga misikiti inabidi pia waelezwe kuwa na wao wafungue milango kwa dini zingine kufanya hivyo huko uarabuni.Wasijifanye kwao wanoko sana kwa wengine ndio bwerere.
ReplyDeletePia nimenusa ulaji kutokana na ziara ya Kikwete Uarabuni. Nawaomba tuwafanyie waarabu kama wakati ule wa utawala wa Mwinyi.Tuwapelekee miradi mingi ya Uislamu na inayohusiana na mambo ya kiislamu wakileta pesa tuzile tumalizie nyumba zetu ambazo hazijamalizika toka Mwinyi aondoke madarakani.Na wengi kama pesa inakuja tutasilimu kifekifeki kama wakati ule wa Mwinyi tuzilambe hela zao.Neema nyingine hiyo inakuja.Waislamu wajanja msilaze damu.Masheikh wa kiarabu muda si mrefu wataanza kumwaga dola hapa.Ziara ya Kikwete si bure.Mkae mkao wa kula haki ya Mungu.
Wewe Anony wa Tuesday, November 14, 2006 2:17:08 PM, hapo juu acha hizo. Kwani mie Ubalozi wa Vatican kuwepo Bongo unanihusu nini? Mbona na ubalozi wa Palestina upo Bongo? Unajua unapoongelea kuwa mwanachama wa jumuiya fulani angalia kwanza madhumuni na misingi ya jumuiya hiyo. Si OIC pekee, bali hata EAC, SADCC, AU etc. Na wala usilinganishe na ubalozi:::
ReplyDeleteKama utaangalia kwa upeo mdogo itakuwia vigumu kidogo kuelewa malengo, madhumuni na matunda ya safari za Mheshimiwa Rais kusafiri sehemu mbalimbali duniani kutafuta wawekezaji wa uhakika zaidi. Anafanya yote haya kwa manufaa ya Watanzania wote na si kwa manufaa yake binafsi.Kuhusu kupita kwake UAE au SAUDIA kwanza nadhani hakupitia SAUDIA na hata kama kapitia huko SAUDIA na UAE ni mojawapo ya nchi zinazokua kiuchumi kwa kasi kubwa kabisa duniani, hivyo kama kaenda kwa malengo ya kuongea na serikali za huko kuhusu biashara na uwekezaji hayo ndiyo masuala ya msingi, masuala OIC na udini yanatoka wapi sasa.Rais ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yote anayoyafanya ni kwa maslahi ya uma wa Watanzania kwa ujumla bila kujali dini, kabila au rangi. Tuweni Wazalendo na nchini yetu Watanzania wenzangu.
ReplyDeleteMichuzi inaelekea vitrip vya abroad vinafanya blog yetu ikose umaana, tulileta swala la umeme na KAMPUNIO YA RICH MOOND NA UKALIFUTA KABLA YA KUPATA MWELEKEO WA WADAU SASA NAKUPA DATA NYINGINE TENA KUHUSU SWALA HILO NI MAMBO NYETI KWA TAIFA LETU.
ReplyDeleteBIG SCAM- MINISTRY OF ENERGY”
Serious power crisis looming
Written by Sens***** Kizigha
One of the Songas six gas turbines at Ubungo in Dar es Salaam has developed mechanical problems forcing the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) to prolong any time from today, the current 12 hour power rationing. Songas Managing Director Paul Kunert said yesterday that the 40MW turbine would be flown to the Netherlands for repairs estimated to last eight weeks, at an estimated cost of 100m US dollars (1.3bn/-). The turbine’s warranty has expired and Songas were expected to meet the bill, it was learnt. It was one of the newest, sources said. Tanesco Public Relations Manager Daniel Mshana told the Daily News that their management was expected to meet the Minister for Energy and Minerals, Dr Ibrahim Msabaha, for a new ‘load shading’ timetable. Dr Msabaha visited the Songas premises yesterday afternoon. It was not immediately clear what was discussed. The turbine has broken down at a time of still quaky hydroelectric generation at both Kidatu and Mtera hydropower stations. Power generation at Kidatu has been screamed to 90MW from what was considered a stable 30MW to conserve meagre water flowing into the station. Production at Mtera too was upped from 6.0MW to 33MW, which is not even half of the 80MW installed capacity. Water level at Mtera Dam stood at 688.25 metres above sea level yesterday and experts said it was not possible to continue generating 33MW/h for a long time. The only solution was to “intensify load shading,” Tanesco officials said, but stakeholders feared that that almost meant plunging the country into total blackout. Mtera Dam feeds both the Mtera and Kidatu systems. At least relief was not expected until November when some of the recently imported emergency power plants start generating electricity. Messrs Richmond Development Company of the US would have a 20-MW gas turbine ready in October and at least two others of 40MW each by year end.
GAS TURBINE PRICE RANGE (SIEMEN-GERMAN, GE-USA
MW PRICE PER KW IN USD$- NEW TURBINE PRICE IN USD$-NEW TURBINE
1.5 720 $ 1,080,000.00
5 450 $ 2,250,000.00
10 430 $ 4,300,000.00
20 438 $ 8,760,000.00
30 378 $ 11,340,000.00
40 292 $ 11,680,000.00
50 286 $ 14,300,000.00
60 267 $ 16,020,000.00
80 260 $ 20,800,000.00
100 250 $ 25,000,000.00
Why 40MW used turbine should cost $100,000,000.00 for repair, "that is a big scam", while brand new cost only $10,000,000.00- $12,000,000.00.
For $100,000,000.00 we can buy 100 turbine of 1.5mw and distribute to all rural area of Tanzania.
Messrs Richmond Development Company does not exist in USA “watch out Tanzanian”.
Who will incur this stupid/fraud cost?? Dr Msabaha, to have PhD does not mean anything; the government will pay through this
stupid method of transfer pricing. Look at mining sector through this stupid method transfer pricing foreign companies they tend to inject dubious expenses and the end of the day they don’t pay tax.
Hope u will post this and leave it there for the members comments nad hope u can use the data kwa MAMA WAZIRI WA MAMBO YA NJE KESHO KWANI WEWE NI MWQAKILISHI WETU HUKO.
michuzi tunaomba picha ya amina chifupa nasikia ametema cheche bungeni kuhusu madawa ya kulevya mpaka kuna wasiwasi juu ya usalama wake.nasikia amesema hata kama mumewe pia ni zungu akamatwe,kweli amina kiboko,michuzi tunaomba news zaidi.
ReplyDeletenasikia amina chifupa ameonge sana bungeni kusu grug dealers please michuzi tunaomba news za uhakika,pamoja na picha yake
ReplyDeleteamina chifupa nasikia amekuwa jasiri sana bungeni michuzi tunaomba details.please very urgent.
ReplyDeletembunge amesema mume wake kama ni zungu,apelekwe selo.yaa kweli eti mpakanjia??michuzi naomba full story na picha ya amina na mpakanjia
ReplyDeleteamina chifupa amefurahisha bunge ila maisha yake mhhh,michzi toa picha ya amina ya latest tafadhali tuweze kujua ukweli kuhusu mbunge huyu.
ReplyDeletekila gazeti jana na juzi yanaongea kuhusu amina chifupa ,michuzi tunaomba habari kamili kuhusu amina chifupa.
ReplyDeleteeti ni kweli mpakanjia ni zungu???michuzi tunaomba picha ya amina chifupa.
ReplyDeleteNafikiri Amina chifupa anaelekea mwisho wa siasa za tanzania. Itakuwa kama mrema masikini. Kilichompata mrema nafikili kitampata dada huyu mdogo. Namshauri aanzishe chama chake.
ReplyDeleteTanzania ni nchi isiyofungamana na upande wowote.Kwa hiyo, suala la Raisi kutembelea nchi yeyote ni sawa tu. Izingatiwe kuwa Raisi anakwenda kwenye masuala muhimu ya nchi na si holiday. Pia kutembea ni sehemu ya kujifunza. Lazima atembee kipindi hiki cha mwanzo wa Uraisi wake, hapo baadae atatulia na kutumia uzoefu alioupata Duniani ili kujenga nchi. Hasipotembea, mtaanza kumtoa udhaifu.
ReplyDeleteJK aliogopa kuulizwa maswali, kama haya:
ReplyDeleteNi saa ngapi na tarehe gani ulipata habari za Dito kum-dito dereva wa daladala?
Je, tukio la Dito limekupa fundisho gani ki-trafiki?
Kuna tume mbali mbali zilizochaguliwa na kutumia pesa za umma kutafuka ukweli wa baadhi ya tabia mbovu nchini, kwa mfano Tume ya Warioba lakini mpaka leo yaliyoandikwa na Tume hiyo bado ni siri. Kwa kuwa wewe unaamini ari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya, na unayo majina ya wanaozidisha "uzombi" kutokana na madawa ya kulevya (orodha ambayo inazidi kuongezeka kila siku), je, utayaanika au Waziri Usalama atayaanika majina hayo juani? Ama tutayaundia Tume ya Uchunguzi, pengine, ikiongozwa na mrembo Mbunge Chifupa?
Una habari kuwa Lowasa aliwaasa na kuwakata ndimi wa-Bunge wa CCM huko Doma wasiongelee suala la matatizo ya umeme nchini, eti, kwa sababu ulikuwa unalivalia njuga usiku na mchana?
kweli kuna njia ndefu hadi kufika kwenye maendeleo ya kweli,nchi imekuwa tegemezi wa mawazo,kiuchumi na almost kila kitu,kweli wananchi wa Tanzania labda wanajua kidogo kuhusu nchi ya na nini dhana ya kuendelea,kwa nini Rais anazunguka sana nje ya nchi?ni kiasi gani cha hela kinateketea?safari n.k,nini sababu ya umasikini waTanzania,tatizo ni mtaji kweli?serikali ipunguze bajeti zao za uendekezaji na waekeze zaidi kwenye elimu na afya,hizi safari za nje sio ufumbuzi wa Mtanzania masikini wa kutupwa wa vijijini,Tanzania inaweza kuendelea kama watataka kufanya hivyo kwa vitendo na kufikiri!TUJIFUNZE KUTOKA NCHI ZINGINE NA TUONE WALIVYOKUWA MAKINI,TATIZO KUBWA NINALOLIONA NI UPEO WA KUFIKIRI,MLA KILA UTAJIRI WA RASILIMALI,NCHI ZINGINE ZIMEENDELEA KWA KUTEGEMEA RASILIMALI MOJA TU,HAPA KUNA BARIDI NA NI KIWANDA CHA KARATASI ZAIDI KILICHONYANYUA MAENDELEO YA NCHI,SASA FINLAND NI MOJA YA NCHI DUNIANI WANANCHI WAKE WANA MAISHA BORA,KWANINI ISIWE TANZANIA?TANZANIA ACHA KUWA OMBAOMBA NA PIGANA NA VIKWAZO VYOTE VINAVYORUDISHA NYUMA MAENDELEO,MAENDELEO YAKO MIONGONI MWAKO,FIKIRI,ONA,TAFAKARI,KUWA MAKINI,TUNGA NADHARIA NA FANYA KWA MIKONO NA UBONGO!
ReplyDeleteMuona mbali-FINLAND
michuzi nataka picha ya amina chifupa na na habari zake kuwa anatokomeza mazungu ya unga.tunataka habari kamili
ReplyDeletetupe picha ya chifupa michuzi mshenzi nini.mbona unaleta usenge??tupe habari zake za bungeni kuhusu mazungu
ReplyDeletemichziiiiiiiiiiiii nataka utupe habari kamili za amina chifupa za mazungeuuuuuuuuuuuuuuuuuu,acha kuybana n apicha ya amina chifupa.
ReplyDeleteHaya jana tumeambiwa wawekezaji warusi wanasema wanashindwa kuja kuwekeza sababu hoteli ziko chache na vyakula vya kirusi hakuna hapa nchini! Msafara wa raisi mngewaambia Apartments ziko kibao na nyumba za kupanga ziko nyingi tu na suala la vyakula vya kirusi mgewaambia hapa sio Urusi wajipikie wenyewe kwenye apartments zao na kwenye nyumba zao za kupangisha kama wamedhamiria kuwekeza.
ReplyDeleteWawekezaji hovyo kama hawa warusi hata ukiwaleta wakifika hapa watataka waje na wapishi toka urusi kwa kuwa nchi hii haina watu wenye vyeti vya kupika vyakula vya kirusi.Hoja ya vyakula ni ya kipuuzi lakini kwa sababu imetokea kwa maskini wa Kirusi sisemi kitu.Maskini ukienda kuhitaji msaada kwake aweza hata kukunyea.
Warusi hawana uwezo wa kuishi hoteli muda mrefu hata ujenge.Labda walichokuwa wakiulizia ni kama kuna Guest house nyingi huko mwananyamala na Vingunguti.Mrusi akae hotel ya kitalii! Nyoo
Jamani tuwe makini matapeli wa Kirusi watawekeza kwenye nini? Wasitupotezee muda.Urusi hakuna wawekezaji wa maana kuna wababaishaji kibao.Urusi ndiko kunaongoza kwa idadi ya matapeli wanaojifanya wawekezaji.Ni vizuri kutumia fani inayoitwa (ushushu wa kiuchumi na biashara) Economic and Business intelligence.Ni vizuri kutumia mashushu wa kiuchumi na biashara kabla hujajitosa kutafuta wawekezaji kwenye nchi yoyote duniani.Taabu nchi zetu za kiswahili zina mashushu kibao wa kufuatilia watu wale wanaotishia usalama wa watawala na familia zao au mali zao .Hazina watu wa Economic and business inteligence.Fani hizi kwenye utandawazi ni muhimu.Vinginevyo unaumia kama nchi na hata ni rahisi tu kuingia mikataba mibovu kama huna vitengo hivyo.Nchi nyingi zilizoendelea na nchi kama India huwa na madawati(desks) ya Economic and business intelligence ya nchi fulani.Wakiifuatlia kwa undani usiku na mchana ili wajue fursa, udhaifu wa kisheria,kiutawala n.k kabla hawajapitisha secret information hizo kwa siri kwa private sector yao ili wazifanyie kazi na kuingia mikataba ya kibiashara au kwenda katika nchi hizo kuhonga watawala etc ambao wanakuwa wamewa -identify wakati wa kukusanya ripoti za business intelligence kuwa ni watu wanaoingilika kwa rushwa.Sisi tunakurupuka tu.Ndiyo maana tunaumia kwenye mikataba kibao.Sisi tu wachanga hatuhitaji matapeli wa kirusi hapa.
ReplyDeleteCynthia Masasi, hajambo?
ReplyDeleteHatutaki wafanya biashara wa silaha tanzania.Warusi wawekezaji mara nyingi huwa wanafanya biashara za silaha wakijificha kwenye biashara halali.
ReplyDeleteNchi zote za nyingi zenye wafanyabiashara warusi huwa ziko vitani au kuwa karibu na maeneo ya vita ili kwao iwe rahisi kuuza silaha.
Hapa kwetu silaha zinazotumika,kongo,rwanda,darfur,Sudan kusini,Chad nyingi ni za kirusi.Na wahusika wakuu ni wafanyabiashara wakieusi waliojificha nyuma ya biashara zingine kama vile urubani,uwekezaji katika ndege,na biashara zingine za danganya toto jinga.Ukileta warusi hapa eneo letu vita hazitaisha.Kama raia mwema naitonya serikali mapema ikae mbali na wawekezaji warusi hata kama usoni wanaonekana kama genuine investors.