Home
Unlabelled
liverpool
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi angalia wasije waka "KU DITO" bure na hiyo Camera yako., bei ya Corola umeshika hapo
ReplyDeleteBro!Mi-Money(Michuzi) hapo pembeni kwa Bwan Chaaaaz kuna bar moja yaitwa Clarendo Bar ambayo akiwa Bongo ni moja ya vijiwe vyake na wengine wakasema ana udau nayo, hivi ni kweli? halafu hilo jina la Baa limekaa kicharanga charanga.
ReplyDeleteLeo tunawapiga bao!
ReplyDeleteaaaaaaaaah michuzi eti na jezi yake? hivi michuzi hauchoki tu kushabikia timu ambayo kuchukua kombe ni ngumu kwao? Ni bure ujiunge na mimi kushabikia man utd na mwisho wa msimu tushangilie pamoja kwa kulichukua kombe letu.
ReplyDeleteLeo KOP wanapigwa bao tu na natamani ungekuwa tunaishi mtaa mmoja yaani usingetoka nje na kujifungia yaani mimi ni man u damu na hadui mkubwa wa chelsea, KOP, Arsenal na timu yoyote hatari kwetu ktk kutuletea ubingwa.
aaaaah KOP nakuonea huruma sana michuzi.
Mzee wa The red devils.
Kwani ni lazima iitwe Liverpool!
ReplyDeleteNilitaka isomeke, kwani ni lazima iitwe Liverpool, Bwana Carsberg?
ReplyDelete2-0 to the gooners michuzi!
ReplyDeleteDOH!
Michuzi acha ubaguzi,
ReplyDeleteHata kichwa mpaka ikaliwe na Liverpool mwezio? Kweli u wil neva wok alon..
ama kweli, kaka leo umeadhirika.sijui kama utaonekana mitaa ya lango la jiji pale kwa abdallah bitebo.
ReplyDeletelakini nakupongeza kwa ujasiri, umevalia jezi yako ukitarajia ushindi,...wapi bwana! pole kaka, ndiyo soka la england hilo.mdau wa imarati hapa.
Mwaka huu Arsenal itawaliza sana ma-big woote. Sasa mmepigwa tatu kavu kama mmesimama. Bado Chelsea sasa naye lazima tumkong'ote tena zaidi yenu. THE GUNNERS!!!
ReplyDeleteaaaaah kwa mara nyingine ngoja nikucheke michuzi mi si nilisema mtapigwa bao? Mngekuwa bongo mngekuwa mnakuja niwatabirie!!! aaaaah michuzi aibu hiyo kaka! Mi ikitokeaga hivyi kwa man utd uwa sili kabisa chakula je nyie mmeweza kula?
ReplyDeleteMichuzi nijibu nione ni jinsi gani umeumia!! Je mna ndoto za kuchukua kombe? point 14 nyuma yetu!! http://home.skysports.com/leaguetable.aspx?cpid=8&clid=
aaaaah inauma hiyo!!!!
Mzee wa the red devils.
Bw Michuzi, pole sana kwa yaliyokukuta Leo Emirates Stadium. Ndio ukubwa huo vumilieni.Naamini sasa hiyo fulana ya Carsberg ni nzito mno mwilini mwako.
ReplyDeletepole michuzii Arsenal wamewakalia kooni leo
ReplyDeleteJAMANI MNASHABIKIA SANA TIMU ZA NJE, SIMBA NA YANGA VIPI, PIA KUNA MKINA MTIBWA NA WENZAKE, UZALENDO MBELE JAMANI!!!
ReplyDeletendugu yangu anony timu zetu za simba na yanga zinahitaji kubadilika sana ili zivutie tena mashabiki wake. mi naona ligi ya sasa imefifia sana, tazama enzi zile kuna milambo tabora ya akina jobe, mwanza akina mwakalebela wa pamba, ukienda tanga kuna african sports na coast, arusha akina cheupe. ligi ilikuwa na ka msisimko na ilifurahisha (ingawa tulikuwaga tunafungwa kimataifa)
ReplyDeletehalafu tulikuwa hatuoni ligi kubwakubwa kwenye luninga. sasa watu wameanza kuona soka kubwa linavyochezwa halafu unataka waendelee kuona majungu na ubabaishaji wa timu zetu. haki ya nani soka letu linahitaji mabadiliko makubwa sana. wakitaka kupata ushabiki na uzalendo wa maana lazima waweke mikakati ya ushindi na maendeleo ya kueleweka (kama jk anayotaka kufanya sasa hivi na stars)
vinginevyo mashabiki wataendelea kusifia man u na zile zinazofanya kweli.
MICHUZI..."YOU WALKED ALLONE" YESTERDAY Pole sana kaka...vipi ulimeza valium? Naamini usingizi ulikuwa not rechabo!!....Gunners desplayed total football at Emirates Stadium crushing less comfident Liverpool 3-0 Thierry Henry playing more as central defender giving chances to Kolo Toure and William Gallas to attack in which 2 goals came from Toure and Gallas after defending midfielder Matheu Flamini puting Gunners ahead in the first half.
ReplyDeleteMSHIKAJI HOW DO YOU LIKE BEHIND OR INFRONT OF THE CAMERA YOU TURNING TO MODEL NOW A DAYS
ReplyDeleteMichuzi pole sana. Nilikwambia lazima tuwapige bao maana watu hutuchezea sana sisi. Na bado Chelsea kama alivyosema dau mmoja hapo juu. Tena tuna usongo na yule bwana Ashlii Kol. Gallas lazima apige kichwa kama kile kilichotonosa moyo wako jana.
ReplyDeleteIla najua huna wasi wasi kwa sababu waombolezaji mko wengi maana mnasemaga yu wil neva walk alon...
kaka nakusoma, japo mambo bado yanagoma....................
ReplyDeletePole Ridhiwan Kikwete na wadau wenzako mnaojiita wa livapuli.Ni kipigo tu msimu mzima.
ReplyDelete