hapa ni sinza mori si mbali sana na kwa chaaz hilali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Michuzi angalia wasije waka "KU DITO" bure na hiyo Camera yako., bei ya Corola umeshika hapo

    ReplyDelete
  2. Bro!Mi-Money(Michuzi) hapo pembeni kwa Bwan Chaaaaz kuna bar moja yaitwa Clarendo Bar ambayo akiwa Bongo ni moja ya vijiwe vyake na wengine wakasema ana udau nayo, hivi ni kweli? halafu hilo jina la Baa limekaa kicharanga charanga.

    ReplyDelete
  3. Leo tunawapiga bao!

    ReplyDelete
  4. aaaaaaaaah michuzi eti na jezi yake? hivi michuzi hauchoki tu kushabikia timu ambayo kuchukua kombe ni ngumu kwao? Ni bure ujiunge na mimi kushabikia man utd na mwisho wa msimu tushangilie pamoja kwa kulichukua kombe letu.

    Leo KOP wanapigwa bao tu na natamani ungekuwa tunaishi mtaa mmoja yaani usingetoka nje na kujifungia yaani mimi ni man u damu na hadui mkubwa wa chelsea, KOP, Arsenal na timu yoyote hatari kwetu ktk kutuletea ubingwa.

    aaaaah KOP nakuonea huruma sana michuzi.

    Mzee wa The red devils.

    ReplyDelete
  5. Kwani ni lazima iitwe Liverpool!

    ReplyDelete
  6. Nilitaka isomeke, kwani ni lazima iitwe Liverpool, Bwana Carsberg?

    ReplyDelete
  7. 2-0 to the gooners michuzi!



    DOH!

    ReplyDelete
  8. Michuzi acha ubaguzi,
    Hata kichwa mpaka ikaliwe na Liverpool mwezio? Kweli u wil neva wok alon..

    ReplyDelete
  9. ama kweli, kaka leo umeadhirika.sijui kama utaonekana mitaa ya lango la jiji pale kwa abdallah bitebo.

    lakini nakupongeza kwa ujasiri, umevalia jezi yako ukitarajia ushindi,...wapi bwana! pole kaka, ndiyo soka la england hilo.mdau wa imarati hapa.

    ReplyDelete
  10. Mwaka huu Arsenal itawaliza sana ma-big woote. Sasa mmepigwa tatu kavu kama mmesimama. Bado Chelsea sasa naye lazima tumkong'ote tena zaidi yenu. THE GUNNERS!!!

    ReplyDelete
  11. aaaaah kwa mara nyingine ngoja nikucheke michuzi mi si nilisema mtapigwa bao? Mngekuwa bongo mngekuwa mnakuja niwatabirie!!! aaaaah michuzi aibu hiyo kaka! Mi ikitokeaga hivyi kwa man utd uwa sili kabisa chakula je nyie mmeweza kula?

    Michuzi nijibu nione ni jinsi gani umeumia!! Je mna ndoto za kuchukua kombe? point 14 nyuma yetu!! http://home.skysports.com/leaguetable.aspx?cpid=8&clid=

    aaaaah inauma hiyo!!!!

    Mzee wa the red devils.

    ReplyDelete
  12. Bw Michuzi, pole sana kwa yaliyokukuta Leo Emirates Stadium. Ndio ukubwa huo vumilieni.Naamini sasa hiyo fulana ya Carsberg ni nzito mno mwilini mwako.

    ReplyDelete
  13. pole michuzii Arsenal wamewakalia kooni leo

    ReplyDelete
  14. JAMANI MNASHABIKIA SANA TIMU ZA NJE, SIMBA NA YANGA VIPI, PIA KUNA MKINA MTIBWA NA WENZAKE, UZALENDO MBELE JAMANI!!!

    ReplyDelete
  15. ndugu yangu anony timu zetu za simba na yanga zinahitaji kubadilika sana ili zivutie tena mashabiki wake. mi naona ligi ya sasa imefifia sana, tazama enzi zile kuna milambo tabora ya akina jobe, mwanza akina mwakalebela wa pamba, ukienda tanga kuna african sports na coast, arusha akina cheupe. ligi ilikuwa na ka msisimko na ilifurahisha (ingawa tulikuwaga tunafungwa kimataifa)
    halafu tulikuwa hatuoni ligi kubwakubwa kwenye luninga. sasa watu wameanza kuona soka kubwa linavyochezwa halafu unataka waendelee kuona majungu na ubabaishaji wa timu zetu. haki ya nani soka letu linahitaji mabadiliko makubwa sana. wakitaka kupata ushabiki na uzalendo wa maana lazima waweke mikakati ya ushindi na maendeleo ya kueleweka (kama jk anayotaka kufanya sasa hivi na stars)
    vinginevyo mashabiki wataendelea kusifia man u na zile zinazofanya kweli.

    ReplyDelete
  16. MICHUZI..."YOU WALKED ALLONE" YESTERDAY Pole sana kaka...vipi ulimeza valium? Naamini usingizi ulikuwa not rechabo!!....Gunners desplayed total football at Emirates Stadium crushing less comfident Liverpool 3-0 Thierry Henry playing more as central defender giving chances to Kolo Toure and William Gallas to attack in which 2 goals came from Toure and Gallas after defending midfielder Matheu Flamini puting Gunners ahead in the first half.

    ReplyDelete
  17. MSHIKAJI HOW DO YOU LIKE BEHIND OR INFRONT OF THE CAMERA YOU TURNING TO MODEL NOW A DAYS

    ReplyDelete
  18. Michuzi pole sana. Nilikwambia lazima tuwapige bao maana watu hutuchezea sana sisi. Na bado Chelsea kama alivyosema dau mmoja hapo juu. Tena tuna usongo na yule bwana Ashlii Kol. Gallas lazima apige kichwa kama kile kilichotonosa moyo wako jana.

    Ila najua huna wasi wasi kwa sababu waombolezaji mko wengi maana mnasemaga yu wil neva walk alon...

    ReplyDelete
  19. kaka nakusoma, japo mambo bado yanagoma....................

    ReplyDelete
  20. Pole Ridhiwan Kikwete na wadau wenzako mnaojiita wa livapuli.Ni kipigo tu msimu mzima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...