huyo mwenye encye na huyo kushoto kwa fresh jumbe (maliki) ni makamanda walio-jong jeiwii na kulalia mbele tukuyu. kwa mujibu wa habari za uhakika wote ni wanajeshi waliomaliza muda wao na kulala mbele na sasa wapo tukuyu. asanteni kwa picha wadau...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nadhani Mr Michuzi kuwa makini na kazi yako kidogo , nadhani kuandika sehemu na kuiita TUKUYU au BUKOBA haipendezi sababu wengine ina chukua muda kuelewa hiyo sehemu ni wapi.

    ReplyDelete
  2. Msanii-muziki,
    Nagochiwa?

    Asante kuwa grafiti ya kutangaza dhahabu na tanzanite zetu huko Tukuyu...bandika nyingine masikioni...OOOPS!)

    Sayonara.

    ReplyDelete
  3. Anonymous hapo juu, that's what gives this site the different flavour. Stop being slow, use ur imagination!! TUKUYU = TOKYO.

    Michuzi, keep at it. Sijulikani, The Netherlands

    ReplyDelete
  4. Anonymous hapo juu, that is what gives this blog a different flavour!! Use the imagination u were given by God ur creator!! TUKUYU = TOKYO.

    Michuzi, u keep at it.
    Sijulikani, the Netherlands

    ReplyDelete
  5. na bukoba je tupo wengi ambao hii misamiati ilitupita.

    ReplyDelete
  6. Sio watu wote wanaweza kuelrwa hivyo....especially wengine ambao wanaingia kwente blogu mara ya kwanza.Please,tumia majina halisi badala ya Tukuyu....ama vinginevyo.This has nothing to do with imagination guys.It just doesn't click!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...