Home
Unlabelled
makene
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwambie tunamkaribisha sana bongo.
ReplyDeletekutokana na wingi wa watu sidhani kama itakuwa ni rahisi kuonekana.ila kama yupo mwambie karibu sana kwa niaba ya wana blogg.
Huyo mama Albright aliyekuwa waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Marekani ni mama mwenye akili sana na huruma nakumbuka hata mkomunisti nyerere alipokufa alikuja kushuhudia kama kweli kafa na akasema Nyerere kweli kafa.
ReplyDeleteTunamwuomba na Huu mradi wa Mkurabita atusaidie kutuambia kama kweli unasaidia wanyonge.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mama tusaidie maana yake wengine hatujui kinachoendelea zaidi ya kuwaona viongozi wenye furaha kubwa baada ya kula vyakula vitamu hoteli ya Kempiski wakiwa kwenye picha na wewe.
nyerere hakuwa mkomunisti. Itikadi yake ilikuwa ya ujamaa, iliyokuwa na vionjo vya mfumo wa maisha ya waafrika kabla ya ukoloni.Itikadi yake haikufuata ukomunisti wa Kisovieti.
ReplyDeletekama sikosei makene yuko mstari wa nyuma kabisa katika usawa wa kati ya jk na ben.
ReplyDelete