WADAU!

KAMA NILIVYOSEMA BLOGU YENU HII RUKSA KUITUMIA MTAKAVYO, MRADI HAMPITILIZI. ANAYETAKA PICHA YAKE IMWAGWE HUMU ATUME KWA: issamichuzi@gmail.com UTAMWAGWA MRADI LIWE LA MAANA NA LA MAENDELEO KAMA HUYU MDAU AMBAYE NI MJASILIAMALI KIJANA HAPA CHINI...

Hi all! My name is Richard William Mushi. I am a 15-year-old Tanzanian boy. I like technology and have been engaged in it since when I was 5. We were fortunate then to have a computer at home. I now regard myself as an expert.
Currently I am in form 1. I am a volunteer who like sharing my knowledge with others from different parts of the world, particularly Tanzanians. Apart from that I am also studying Software Engineering and Computer Games.
As we speak I am also a Webmaster and a Day Trader!! - Trading with the New York Stock Exchange from Tanzania. Visit my blog http://www.richardmushi.blogspot.com for more
My contacts are:

Richard William Mushi
P.O.Box 12136
Arusha
Tanzania
Tel: 255 784 989868/ 255 784 989816
I am Hotscom Technologies CompanyAssistance Director, Co-Designer and Co-Publisher. We do Domain Registration, Web Hosting, E-mail Hosting and E-Commerce.
Websites Made By us:

Thanking you in advance for your time.
Richard William Mushi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Richie picha hazifunguki jambo photo vipi yakhe?

    ReplyDelete
  2. hii ni off topic, hapa nilipo naangalia basketball, pmj na mimi sio mpenzi sana wa hii game ila naaangalia maana Thabeet yupo anacheza, maana wkt nasearch chanell ndio nikaona sura yake na wakawa wanamuonyesha, nafikiri ni namba 34, ni vizuri sana unapomuangalia mbongo mwenzako anapocheza hasahasa kimataifa, ila bht mbaya sasa hivi ametolewa naona wamemuona amechoka, maana hiki ni kipindi cha pili, kwaio sijui kwenye kipindi cha kwanza kama alikua anacheza vizuri, lkn nafikiri alikua anacheza vizuri maana walikua wanamuonyesha sana, basi tena sasa hivi nabadilisha channel, maana kama wamemtoa sina hamu tena ya kuangalia game

    ReplyDelete
  3. Richard!
    Kwa umri wako umejitahidi sana. Hongera sana! Huo ndio Ujasiri Amali

    ReplyDelete
  4. hongera sana kijana...thats the way to go, you will achieve all your dreams, just stay on that same path and always stay hungry for more knowledge and success...

    ReplyDelete
  5. Du bongo tukiwa na vifaa vingi kama hiki basi tutafika bongo kama akina China na India. Keep it up young man.

    ReplyDelete
  6. congrats richie! its such of an achievement at your age. you know what buddy sky's the limit!





    I'M THE VICTIM OF MY OWN MAKING

    ReplyDelete
  7. Ni kweli huyo dogo katengeneza hizo website au hiyo kampuni inamtumia kama maketingi strateji

    ReplyDelete
  8. anony's bug....... nothing is ever nice to them, never give credit where its due... and one has just exploded thinking that richard is being used as a marketing strategy....doh! what if richie was a white kid in the uk or usa..... i say no more.


    I'M THE VICTIM OF MY OWN MAKING

    ReplyDelete
  9. Richie, hongera, kijana, kwa huo mwanzo! Hata kama unabebwa mabegani na wengine, kama walivyodokeza baadhi ya wanablog hapa, nimefurahishwa kusoma na kuona ukifanyacho. Hii inatia moyo kwa vijana wengine, wenye mwanya na Internet, kuiga mfano wako na kuendeleza fikra za kuitumia chalengi ya Internet kwa manufaa mbalimbali.

    Wataalmu wa mambo ya mawasiliano (media ecologists) walikuwa wanapenda kuiita TV, "the tube of plenty". Internet niseme ni "the tube of unlimited possibilities" kwa wakati huu wa Wimbi la Tatu (Third Wave) la instantenous electronic and broadcasting media information transimssion.

    Katika kutukaribisha katika blog yako ungeandika kwa kifupi:

    For the latest global news on technology and its related events.

    Haya ni maoni tu.

    Sana sana, nakutakia kila la heri masomoni! Nakumbuka mimi nilikuwa darasa la tisa mwaka wa Madaraka au Serikali ya Ndani, tukingojea Uhuru Kamili!

    Mungu ibariki Afrika
    Mungu ibariki Tanzania…
    Wake kwa Waume na WATOTO
    Mungu tubariki…

    This ia Born Again Pagan signing off for now!

    ReplyDelete
  10. i know these boys, siyo kwa sura tu.bali najua wana jeuri ya kucheza na code za lugha ya programming.

    anayewatilia shaka basi ni vizuri aendelee na shaka, manaake itakuwa vigumu kumbadilisha mpaka ajionee kwa macho yake.

    mbona watoto wa kimasai wakichunga ng'ombe na kuzuia simba asiwatafune tunaona jambo la kawaida?

    unanikumbusha mkasa wa kufurahisha, kuna kiongozi mmoja kunako miaka ya 60, alitoka ziarani ulaya akasikika akisifu watoto wa kizungu wanaongea english eti wakiwa na miaka miwili.sasa waongeee kiswahili?

    ReplyDelete
  11. It's an absolutely wonderful to see such a boy doing a sensational things like that, conglatulations young man, I wish you could be my son. You are such an insiparation to others. You rock boy!!

    ReplyDelete
  12. It's an absolutely sensational to see a boy on that age doing such educational and wonderful things like that, he's such an insiparation to others. I wish he could my son. You rock boy!!!

    ReplyDelete
  13. Mtoto hana akili. Anasema yeye ni mtaalam wa Computer, still he does not if you can do e-business online? Anybody can a webmaster. Nenda shule ukasome, halafu ukimaliza ndio ujiite ni expert wa Tanzania!.

    ReplyDelete
  14. Richard,
    Keep up the good work.
    Wewe bado kijana, endelea kuonyesha mfano na pia usiache kujifunza kutoka kwa watalaama wenzako.
    Kila lakheri.

    ReplyDelete
  15. Faulo mheshimiwa Michuzi. Hii ajira kwa watoto itakoma lini? ikiwa watu wanatumia watoto as a marketing tool.Kama wenye kampuni wameishiwa wakauze mtori .Watu wengi siku hizi wanaunywa Sana mtori hata ambao si wachaga na ambao si wajawazito tofauti na zamani ambapo ukiona mtu anaunywa ujue mja mzito au ana kwashakoo kama ni mwanaume!!!

    ReplyDelete
  16. sijui kwa nini mwenzenu mie siwapendi wachagga!

    ReplyDelete
  17. anony hapo juu...labda kwasababu wachagga wanapiga bao kama hawana akili nzuri....si unaona dogo kwa umri wake anafikiria miaka tano mbele yako...isitoshe ulivyokuwa miaka yake mwanaume ulikua unacheza kombolela na dada zako....

    ReplyDelete
  18. ANONY 5:26 PM. NI KWA SABABU WEZI, MATAPELI, NA ZILE SAUTI ZAO ZA KICHAGGA. HATA WAKAE UGHAIBUNI CENTURIES SAUTI YAO NI PALELPALE NA MILA ZAO ZA KIPUMBAVU SIJUI WAKOJA AISEE. MILA AMBAZO HUWEZI AMINI WANAZIFUATA UTADHANI WASHIRIKINA.

    ReplyDelete
  19. Nyie Richard ni mtoto mwenye kipaji akitaka kuwa milionea nchi yoyote anaweza. anaijua New York kama kariakoo au Buguruni lakini huyo kaenda kusoma Tanzania, Nyie kaeni huku mnabeba mabox na kunywa heineken na kuangalia BET.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...