
THE FAMILY OF AMBASSADOR MWANAIDI SINARE MAAJAR AND SHARIFF MAAJAR REGRET TO ANNOUNCE THE SUDDEN DEATH OF THEIR BELOVED SON HASSAN SHARIFF MAAJAR (PICTURED) WHICH OCCURRED IN MBABANE, SWAZILAND, IN A CAR ACCIDENT THIS MORNING.
PLANS TO BRING THE BODY OF THE DECEASED TO DAR ES SALAAM ARE UNDERWAY, AND FUNERAL ARRANGEMENTS ARE BEING DONE AT THE RESIDENCE OF DR HAWA SINARE AT PLOT NO. 2091 MALIASILI ROAD MBEZI BEACH (OFF WHITE SANDS – AFRICANA ROAD).
FURTHER FUNERAL DETAILS TO BE ANNOUNCED UPON THE ARRIVAL OF THE BODY IN DAR ES SALAAM
PLANS TO BRING THE BODY OF THE DECEASED TO DAR ES SALAAM ARE UNDERWAY, AND FUNERAL ARRANGEMENTS ARE BEING DONE AT THE RESIDENCE OF DR HAWA SINARE AT PLOT NO. 2091 MALIASILI ROAD MBEZI BEACH (OFF WHITE SANDS – AFRICANA ROAD).
FURTHER FUNERAL DETAILS TO BE ANNOUNCED UPON THE ARRIVAL OF THE BODY IN DAR ES SALAAM
Naungana na wanafamilia katika kutoa mkono wa pole katika kipindi hichi kigumu sana kwao.
ReplyDeleteNilikuwa na balozi Maajar siku ya jumanne iliyopita mara tu baada ya kutoka kwa malkia Elizabeth alipokwenda kupeleka hati zake na katika maswali niliyomuuliza in our interview ni kwa namna gani ameweza kufanikiwa hivi licha ya kuwa ni mwanamke na mzazi na akajibu kuwa ni kutokana na excellent help and motivation toka kwa mume wake na watoto. Maskini hatukujua kuwa just few days afterwards hatokuwa na mmoja wa timu yake nzuri. Mheshimiwa Balozi alikuwa na watoto watatu.mola kamchukua mmoja, POLENI SANA WAFIWA na MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI AMIN.
SAIDI YAKUBU
LONDON.
Pole sana kwa msiba, hususani wanaohusika kifamilia, na kwetu sisi wote!
ReplyDeleteHere we go again!
Innallillah wainna illah rajiuna,
ReplyDeletesisi wote ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea.Ameen,
Nyamsis
Nawapa pole nyingi wafiwa. Marehemu ameondoka duniani akiwa bado kijana mdogo. Inasikitisha sana. Tunawatakia wafiwa moyo wa ustahamilivu katika wakati huu mgumu kwao.
ReplyDeletejamaniii. such a young soul.. pole Zena, gigi and maajar family . may ur soul rest in peace.
ReplyDeletePoleni wafiwa, Inalilah wainnalilah Rajiun. marehemu alikuw ahandsome jamani ka!
ReplyDeletesina cha kusema zaidi ya pole.
ReplyDeleteRIP...SIJAWAHI KUONA MKAKA MTANZANIA MZURI KAMA HUYU HAKI YA MUNGU.POLENI NDUGU NA JAMAA.
ReplyDeletePole sana Maajar family. Hassan was a very nice young man. Its a pitty he had to go so soon. May he rest in eternal peace.
ReplyDeletePoleni sana Maajar family. Hassan was a very nice young man, very well behaved. It's a pitty you had to go so soon. May he rest in eternal peace.
ReplyDeletemsiba mwingine tena.poleni sana watanzania,mungu amuweke pema peponi.msije mkaanza yale matusi yenu kama kwenye misiba mingine.
ReplyDeleteMungu amlaze mahala pema peponi. Amen.
ReplyDeleteKweli mzuri sura kama ya Kikwete kabisa.Poleni sana.Na mheshimiwa Kikwete pole sana.
ReplyDeletejamani huyu mkaka ni mzuri jamani kijana mdogo ameenda inasikitisha sana kuona taifa la kesho likipuputika du!Jamani duniani sio mji udumuo hatujui siku wala saa tujiweke tayari kila wakati kwa kujikabidhi kwa mungu(SALA).
ReplyDeleteMUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU KIJANA HUYU MAHALI PEMA PEPONI
Uso na sura na tabasamu kama Kikwete kabisa.Pole kwa mama yake mzazi na Rais Kikwete kwa msiba huu mkubwa.
ReplyDeleteKwa familia nzima ya Maajar, poleni ndugu zangu yeye bwana Hassan katutangulia sisi nyuma yake, kwani "kila nafsi itaonja mauti".
ReplyDeleteMwenye Enzi Mungu awazidishie roho za uvumilivu katika kipindi hichi kigumu cha msiba na awape courage ya kuendelea mbele na maisha. Inshaallah Mwenye Enzi Mungu atamlipa malipo yalio mema.
Poleni sana!
such a nice young man, with everything to live for, mwenyezi mungu amrehemu,amlaze mahali pema peponi, amin, nadhani kama ndio mtoto wa kiume pekee, poleni sana, mama Maajar na familia kwa ujumla.
ReplyDeleteMungu Amlaze mahalipema!
ReplyDeleteINNA LILLAHI WA ILLAIHI RAJIUN. VERY HEARTWRENCHINGLY SAD NEWS AND OUR HEARTS GO OUT TO MWANAIDI, HUBBY AND DAUGHTERS. MAY ALLAH GIVE THEM STRENGTH AND PATIENCE DURING THIS TRYING PERIOD.
ReplyDeleteJamani! Mbona insikitisha. Poleni sana wafiwa. Pole sana familia ya Sinare. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema peponi. Amin.
This is truly sad. Another young mate has left us. My condolences to the family and friends. My prayers are with the family...
ReplyDeleteAnon wa Monday, November 13, 2006 12:06:59 PM, mambo ya marehemu kufanana na Kikwete yametoka wapi tena? Au mimi ndio sijaelewa?
ReplyDeleteMungu amemchukua malaika wake. Tunampenda lakini Mungu amempenda zaidi. Ila jamani kijana huyu ni mzuri (handsome) wa nguvu. RIP
ReplyDeleteKilichofunguliwa na Mungu binadamu hawezi kukifunga. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
ReplyDeleteNi kazi ya Mungu isiyo na makosa, wote tupo njia moja , tunawaombea kwa Mungu wana familia ya Maajar awape nguvu na imani katika wakati huu mgumu wa maombolezo na msiba wa Hassan. Roho ya marehemu ilazwe mahali pema peoni. Amen. Judy
ReplyDeleteHe is so cute!!!!!poleni sana
ReplyDeletepamoja ana rambirambi zetu, tuwe na nguvu za kuji-uplift out of it!
ReplyDeleteElimu yetu ina hadhi ya chini kwa sababu wakubwa hawaja-engage the idea of kufikiria kuboresha elimu nchini...kwa sababu thinking watoto wao husoma nchi za nje. Let us be proud tujenge cha Tanzania!
Anonymous wa 06:59, hivi una maana marehemu ni mtoto wa rais Kikwete?
ReplyDeleteMmeshaanza kutafuta Udaku. Sasa wewe yanakuhusu nini? Waswahili??!!!!!!
ReplyDeletePoleni Sana Wanafamilia.
Poleni sana Familia ya Mr Maajar, nawaombea kwa mungu muwe na afya njema na uvumilivu pamoja na Subira katika kipindi hichi kigumu cha majonzi na msiba huu mkubwa ambao kwetu ni vigumusana kusahaulika. Pole sana Ancle Sheffy, Mama Maajar,Zena,Gigi, Mwanaima, na Familia Nzima kwa ujumla. Tutamkumbuka sana Mpendwa wetu Hassan, Mungu ailaze roho ya Hassan mahala pema Peponi Amin.
ReplyDeleteMfundo
Tunawakumbuka kwenye maombi, Mungu awafariji wakati huu mgumu wa kupotezewa mtoto wenu. Poleni sana.
ReplyDelete--IOWA, USA
Tunawakumbuka kwenye Maombi yetu kuwa Mungu wa faraja awe nanyi wakati huu mgumu wa kumpoteza kijana wenu. Mungu amtulize mahali pema peponi, amina.
ReplyDeleteIowa, USA
sasa hata kama ni mtoto wa JK ndio iweje na tayari ameshatutoka..aaah kweli wabongo bwana siku zooote msimchimbue leo katutoka ndo yameanza tena...
ReplyDeletePOLENI SANA WANAFAMILIA KATIKA WAKATI HUU MGUMU.... MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALIPEMA PEPONI!! TUPO NANYI KIROHO.
poleni familia ya Maajar.Nyie wengine mnaomkashifu Mh Rais acheni umbea na muwe na adabu kwa Rais wenu
ReplyDeletepoleni familia ya Maajar.Nyie wengine mnaomkashifu Mh Rais acheni umbea na muwe na adabu kwa Rais wenu
ReplyDeleteHii post imeniharibia kabisa siku yangu, yani the dude was so handsome ,its very painful to see him gone this way, too soon n too young, yani sijui hii picha ni siku ya harusi ya Gigi? jamani naomba details ilikuwaje mbaka ajali ikatokea yani i cant rest mbaka nijue , its soo sad.. u ganna be forever young n handsome to us Hassan! RIP bro!
ReplyDeleteFamilia ya Maajar,
ReplyDeletePoleni na Mungu awafariji wakati huu mgumu wa kupotezewa kijana wenu. Mungu amlaze mahali pema peponi.
Amina
Poleni familia ya Maajar. Gigi pole sana, you used to talk about your brother all the time back in days in secondary school. Inavyosemekana Marehemu Hassan alikuwa na wenzake wametoka katika graduation, sasa muda ulipowadia wakawa wanarudi kufwata usafiri wao. Ilitakiwa wavuke barabara kwanza kufikia basi lao, ila kwa bahati mbaya marehemu aligongwa na gari ambalo alikuwa anaendesha lawyer maarufu wa huko Swaziland. Mbaya zaidi lile gari la Lawyer lilikamata nguo ya marehemu na kumburuza for a further few miles. Alikimbizwa hospitalini lakini it was too late, kwakweli nimesikitika kijana mdogo kama huyu kupatwa na kifo kibaya na cha gafla namna hiyo jamani:( . Amezikwa leo, R.I.P Hassan.
ReplyDeleteDuh! kweli vizuri havidumu! Jamaa ni Mzuri jamani! Ee Mwenyezi Mungu Ipumzishe Roho ya Marehem Mahala Pema Mbinguni Amen! Poleni Sana Ndugu wa Marehemu!
ReplyDeleteI never knew Hassan but I knew his mother very well. I am so sorry to learn of the news. Despite the lateness of the hour on which i have accidentally discovered the news and not intending to arouse new emotions in the family, emotions of loss which will always be there, I send my colossal condolences from the bottom f my heart.
ReplyDeleteMunyonzwe Hamalengwa,
Toronto, Ontario, Canada
August 22nd, 2007