THE FAMILY OF AMBASSADOR MWANAIDI SINARE MAAJAR AND SHARIFF MAAJAR REGRET TO ANNOUNCE THE SUDDEN DEATH OF THEIR BELOVED SON HASSAN SHARIFF MAAJAR (PICTURED) WHICH OCCURRED IN MBABANE, SWAZILAND, IN A CAR ACCIDENT THIS MORNING.

PLANS TO BRING THE BODY OF THE DECEASED TO DAR ES SALAAM ARE UNDERWAY, AND FUNERAL ARRANGEMENTS ARE BEING DONE AT THE RESIDENCE OF DR HAWA SINARE AT PLOT NO. 2091 MALIASILI ROAD MBEZI BEACH (OFF WHITE SANDS – AFRICANA ROAD).

FURTHER FUNERAL DETAILS TO BE ANNOUNCED UPON THE ARRIVAL OF THE BODY IN DAR ES SALAAM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 40 mpaka sasa

  1. Naungana na wanafamilia katika kutoa mkono wa pole katika kipindi hichi kigumu sana kwao.

    Nilikuwa na balozi Maajar siku ya jumanne iliyopita mara tu baada ya kutoka kwa malkia Elizabeth alipokwenda kupeleka hati zake na katika maswali niliyomuuliza in our interview ni kwa namna gani ameweza kufanikiwa hivi licha ya kuwa ni mwanamke na mzazi na akajibu kuwa ni kutokana na excellent help and motivation toka kwa mume wake na watoto. Maskini hatukujua kuwa just few days afterwards hatokuwa na mmoja wa timu yake nzuri. Mheshimiwa Balozi alikuwa na watoto watatu.mola kamchukua mmoja, POLENI SANA WAFIWA na MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEPONI AMIN.

    SAIDI YAKUBU
    LONDON.

    ReplyDelete
  2. Pole sana kwa msiba, hususani wanaohusika kifamilia, na kwetu sisi wote!

    Here we go again!

    ReplyDelete
  3. Innallillah wainna illah rajiuna,
    sisi wote ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea.Ameen,
    Nyamsis

    ReplyDelete
  4. Nawapa pole nyingi wafiwa. Marehemu ameondoka duniani akiwa bado kijana mdogo. Inasikitisha sana. Tunawatakia wafiwa moyo wa ustahamilivu katika wakati huu mgumu kwao.

    ReplyDelete
  5. jamaniii. such a young soul.. pole Zena, gigi and maajar family . may ur soul rest in peace.

    ReplyDelete
  6. Poleni wafiwa, Inalilah wainnalilah Rajiun. marehemu alikuw ahandsome jamani ka!

    ReplyDelete
  7. sina cha kusema zaidi ya pole.

    ReplyDelete
  8. RIP...SIJAWAHI KUONA MKAKA MTANZANIA MZURI KAMA HUYU HAKI YA MUNGU.POLENI NDUGU NA JAMAA.

    ReplyDelete
  9. Pole sana Maajar family. Hassan was a very nice young man. Its a pitty he had to go so soon. May he rest in eternal peace.

    ReplyDelete
  10. Poleni sana Maajar family. Hassan was a very nice young man, very well behaved. It's a pitty you had to go so soon. May he rest in eternal peace.

    ReplyDelete
  11. msiba mwingine tena.poleni sana watanzania,mungu amuweke pema peponi.msije mkaanza yale matusi yenu kama kwenye misiba mingine.

    ReplyDelete
  12. Mungu amlaze mahala pema peponi. Amen.

    ReplyDelete
  13. Kweli mzuri sura kama ya Kikwete kabisa.Poleni sana.Na mheshimiwa Kikwete pole sana.

    ReplyDelete
  14. jamani huyu mkaka ni mzuri jamani kijana mdogo ameenda inasikitisha sana kuona taifa la kesho likipuputika du!Jamani duniani sio mji udumuo hatujui siku wala saa tujiweke tayari kila wakati kwa kujikabidhi kwa mungu(SALA).
    MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU KIJANA HUYU MAHALI PEMA PEPONI

    ReplyDelete
  15. Uso na sura na tabasamu kama Kikwete kabisa.Pole kwa mama yake mzazi na Rais Kikwete kwa msiba huu mkubwa.

    ReplyDelete
  16. Kwa familia nzima ya Maajar, poleni ndugu zangu yeye bwana Hassan katutangulia sisi nyuma yake, kwani "kila nafsi itaonja mauti".
    Mwenye Enzi Mungu awazidishie roho za uvumilivu katika kipindi hichi kigumu cha msiba na awape courage ya kuendelea mbele na maisha. Inshaallah Mwenye Enzi Mungu atamlipa malipo yalio mema.
    Poleni sana!

    ReplyDelete
  17. such a nice young man, with everything to live for, mwenyezi mungu amrehemu,amlaze mahali pema peponi, amin, nadhani kama ndio mtoto wa kiume pekee, poleni sana, mama Maajar na familia kwa ujumla.

    ReplyDelete
  18. INNA LILLAHI WA ILLAIHI RAJIUN. VERY HEARTWRENCHINGLY SAD NEWS AND OUR HEARTS GO OUT TO MWANAIDI, HUBBY AND DAUGHTERS. MAY ALLAH GIVE THEM STRENGTH AND PATIENCE DURING THIS TRYING PERIOD.

    ReplyDelete
  19. Jamani! Mbona insikitisha. Poleni sana wafiwa. Pole sana familia ya Sinare. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.

    Mungu amlaze mahali pema peponi. Amin.

    ReplyDelete
  20. This is truly sad. Another young mate has left us. My condolences to the family and friends. My prayers are with the family...

    ReplyDelete
  21. Anon wa Monday, November 13, 2006 12:06:59 PM, mambo ya marehemu kufanana na Kikwete yametoka wapi tena? Au mimi ndio sijaelewa?

    ReplyDelete
  22. Mungu amemchukua malaika wake. Tunampenda lakini Mungu amempenda zaidi. Ila jamani kijana huyu ni mzuri (handsome) wa nguvu. RIP

    ReplyDelete
  23. Kilichofunguliwa na Mungu binadamu hawezi kukifunga. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  24. Ni kazi ya Mungu isiyo na makosa, wote tupo njia moja , tunawaombea kwa Mungu wana familia ya Maajar awape nguvu na imani katika wakati huu mgumu wa maombolezo na msiba wa Hassan. Roho ya marehemu ilazwe mahali pema peoni. Amen. Judy

    ReplyDelete
  25. He is so cute!!!!!poleni sana

    ReplyDelete
  26. pamoja ana rambirambi zetu, tuwe na nguvu za kuji-uplift out of it!

    Elimu yetu ina hadhi ya chini kwa sababu wakubwa hawaja-engage the idea of kufikiria kuboresha elimu nchini...kwa sababu thinking watoto wao husoma nchi za nje. Let us be proud tujenge cha Tanzania!

    ReplyDelete
  27. Anonymous wa 06:59, hivi una maana marehemu ni mtoto wa rais Kikwete?

    ReplyDelete
  28. Mmeshaanza kutafuta Udaku. Sasa wewe yanakuhusu nini? Waswahili??!!!!!!

    Poleni Sana Wanafamilia.

    ReplyDelete
  29. Poleni sana Familia ya Mr Maajar, nawaombea kwa mungu muwe na afya njema na uvumilivu pamoja na Subira katika kipindi hichi kigumu cha majonzi na msiba huu mkubwa ambao kwetu ni vigumusana kusahaulika. Pole sana Ancle Sheffy, Mama Maajar,Zena,Gigi, Mwanaima, na Familia Nzima kwa ujumla. Tutamkumbuka sana Mpendwa wetu Hassan, Mungu ailaze roho ya Hassan mahala pema Peponi Amin.
    Mfundo

    ReplyDelete
  30. Tunawakumbuka kwenye maombi, Mungu awafariji wakati huu mgumu wa kupotezewa mtoto wenu. Poleni sana.
    --IOWA, USA

    ReplyDelete
  31. Tunawakumbuka kwenye Maombi yetu kuwa Mungu wa faraja awe nanyi wakati huu mgumu wa kumpoteza kijana wenu. Mungu amtulize mahali pema peponi, amina.
    Iowa, USA

    ReplyDelete
  32. sasa hata kama ni mtoto wa JK ndio iweje na tayari ameshatutoka..aaah kweli wabongo bwana siku zooote msimchimbue leo katutoka ndo yameanza tena...

    POLENI SANA WANAFAMILIA KATIKA WAKATI HUU MGUMU.... MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALIPEMA PEPONI!! TUPO NANYI KIROHO.

    ReplyDelete
  33. poleni familia ya Maajar.Nyie wengine mnaomkashifu Mh Rais acheni umbea na muwe na adabu kwa Rais wenu

    ReplyDelete
  34. poleni familia ya Maajar.Nyie wengine mnaomkashifu Mh Rais acheni umbea na muwe na adabu kwa Rais wenu

    ReplyDelete
  35. Hii post imeniharibia kabisa siku yangu, yani the dude was so handsome ,its very painful to see him gone this way, too soon n too young, yani sijui hii picha ni siku ya harusi ya Gigi? jamani naomba details ilikuwaje mbaka ajali ikatokea yani i cant rest mbaka nijue , its soo sad.. u ganna be forever young n handsome to us Hassan! RIP bro!

    ReplyDelete
  36. Familia ya Maajar,
    Poleni na Mungu awafariji wakati huu mgumu wa kupotezewa kijana wenu. Mungu amlaze mahali pema peponi.
    Amina

    ReplyDelete
  37. Poleni familia ya Maajar. Gigi pole sana, you used to talk about your brother all the time back in days in secondary school. Inavyosemekana Marehemu Hassan alikuwa na wenzake wametoka katika graduation, sasa muda ulipowadia wakawa wanarudi kufwata usafiri wao. Ilitakiwa wavuke barabara kwanza kufikia basi lao, ila kwa bahati mbaya marehemu aligongwa na gari ambalo alikuwa anaendesha lawyer maarufu wa huko Swaziland. Mbaya zaidi lile gari la Lawyer lilikamata nguo ya marehemu na kumburuza for a further few miles. Alikimbizwa hospitalini lakini it was too late, kwakweli nimesikitika kijana mdogo kama huyu kupatwa na kifo kibaya na cha gafla namna hiyo jamani:( . Amezikwa leo, R.I.P Hassan.

    ReplyDelete
  38. Duh! kweli vizuri havidumu! Jamaa ni Mzuri jamani! Ee Mwenyezi Mungu Ipumzishe Roho ya Marehem Mahala Pema Mbinguni Amen! Poleni Sana Ndugu wa Marehemu!

    ReplyDelete
  39. I never knew Hassan but I knew his mother very well. I am so sorry to learn of the news. Despite the lateness of the hour on which i have accidentally discovered the news and not intending to arouse new emotions in the family, emotions of loss which will always be there, I send my colossal condolences from the bottom f my heart.

    Munyonzwe Hamalengwa,
    Toronto, Ontario, Canada
    August 22nd, 2007

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...