Home
Unlabelled
udasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Manshallah!! Hapo tulikwenda sana kununua vitabu ndugu yangu Michuzi. Asante sana kwa hii picha, wakati huo nikikaa holi 2 ghorofa ya 12. Saa nyingine lift ikigoma mnasukuma halafu mnatokea katika half floor. wee acha bwana, usione saa hizi tupo hapa ughaibuni, tumetoka mbali bwana!! Hako ka-mlima toka udasa, halafu holi three (enzi hizo tukiita Serengeti!!) We wacha tu!
ReplyDeletewhat is reo?
ReplyDeleteInafananaje kwa ndani. Mara ya mwisho nillingia pale mwaka 1993 nilipomtembelea ndugu yangu. Ilikuwa inamilikiwa na mzee mfanya biashara mmoja aliyekuwa na hoteli pale Sinza. Vyoo vyake vilikuwa vichafu sana wakati huo.
ReplyDeleteMichuzi tunaomba picha za msiba wa mama hambiliki au hukuhudhuria kaka?!
ReplyDeleteKijiwe hiki siku hivi kinalipa sana. Nimepita hapa wiki iliyopita nimeona mabadiliko makubwa sana.
ReplyDeleteSasa hivi inaendeshwa na Mmoja wa wakurugenzi wa Bar ya Break Point iliyopo opposite na Millenium Towers aitwaye Daud Machumu! Mpenda Keroro.
ReplyDeleteHATIMAYE GEREZA LA UKONGA LAPATA HADHI YA MKOA.
ReplyDeleteMheshimiwa Rais Jakaya Kikwete amelipa hadhi ya mkoa Gereza la Ukonga!!!
MKUU WA MKOA-DITO.
RPC-ZOMBE.
ASKOFU-FADHA KIMARO.
AFISA UTAMADUNI-BABU SEYA.
Wakati wa uteuzi huu aliyekuwa awe AFISA MICHEZO-RAGE alishatoka kwa msamaha wa Rais. Mpenda keroro.
hahaha...
ReplyDeleteOk, I know Mpenda Kerorro posted this comment where it probably didn't belong.. but dude, you gotta admit. it's still effin' hillarious!!!
jamani samahani kuuliza si ujinga, keroro kwa kwenda mbele maana yake nini hasa? sababu neno linafurahisha bila hata ya kujua maana halisi.
ReplyDeleteMPENDA KERORO......TAFUTA CHA KUONGEA. AU HAUNYANYUI BOX HUKO ULIKO...............
ReplyDeleteNakubalina na Anonymous wa 8:09am. Vyoo plae UDASA vilikuwa vichafu sana. Harufu mbaya sana tena vyeusi vilikuwa havisafishwi kabisa. Watu walikuwa wanajisaidia kwenye fensi!
ReplyDeleteKuna mijitu kwa kupenda kujipachika sifa we acha tu. We anony wa kwanza tangu lini UDASA panauzwa vitabu? Eti tulikuwa tunaenda kununua vitabu, ovyo! Inaonekana mlimani ulikuwa unafika kusalimia jamaa zako tu na sasa unajifanya ati ulikuwa unaenda kununua vitabu UDASA. Aibu!!
ReplyDeletehahahahahaha mpenda keroro hiyo kali hahahahahaah
ReplyDeleteHuyo anony wa kwanza kabisa hata mimi nimemstukia, anasema alikuwa anakaa holi 2 ghorofa ya 12 wakati floor ya mwisho kabisa ni 11, duu mwenzetu nani alikupa hiyo sehemu ya juu ya jengo? Sawa bwana tumekubali ulikuwepo pale na bila shaka degree uliyokuwa unasomea ni bio engineering.
ReplyDeleteanonymous wa kwanza ni kihiyo wa kutupwa!!!!!! sina zaidi!
ReplyDeleteKunua vitabu ni msemo wa chuo ukipewa pesa ya vitabu unakwenda kunywea pombe, na maraha mengine hata siku hiyo unaimport KCC kutoka sinza.
ReplyDeleteKwa hiyo anony wa kwanza yuko sahii kabisa.
Nimeamini kwenye miti hakuna wajenzi.Yaani hadi leo wanapaki magari chini ya miti!!Sitaki kabisa degree za engineering toka CHuo kikuu cha Dar es salaam naenda zangu kusoma VETA Chang`ombe shenzi taipu.Sioni hao walionazo wanazifanyia nini kama parking yenyewe ni chini ya miti.
ReplyDelete