umati mkubwa wa watu ulihudhuria mazishi ya hayati hassan mbonde, dereva wa daladala ambaye athumani ukiwaona ramadhani ditopile mzuzuri anashukiwa kumpiga risasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. tunaomba picha ya marehemu enzi za uhai wake pamoja na familia yake.

    ReplyDelete
  2. Mungu amlaze mahali pema marehemu dreva. Inasikitisha mno, huyu dreva amepoteza maisha yake kwa sababu ya kiburi cha mtu huyu anayejiona ni bora kulikoni bina damu mwingine. Huyu Ditopile akichunguzwa na polisi huyu sio mtu wa kwanza kuua. Huyu atakuwa muuaji mzoefu sana, na atakuwa ameangamiaza maisha ya watu wengi sana. Fikiria mauaji yamefanyika tu kwasababu ya kukwanguliwa gari, tena sio gari lake ni gari na mali ya watanzania. Je huyu mtu atakuwa na maadui wengi kama mkuu wa mkoa na atakuwa na visasi na watu wengi je hao watu aliwafanyaje kama sio kuwaangamiza wengi wao. Naishauri serikali huyu mtu abanwe na atoe orodha ya watu ambao amesha waaangamiza.

    Alaaniwe na apewe adhabu ambayo hata viongozi wengine wanao jiona ni tofauti na binadamu wenzao wasio thamini maisha ya wengine wajifunze.
    Pia serikali ichukue jukumu la kuisomesha na kugharamikia maisha ya familia ya marehemu ambaye amefia kazini akilitumikia taifa letu. Mungu amweke mahali pema peponi amina.

    ReplyDelete
  3. BUSH UNAMWONEA SADDAM, VIDITOPILE NDIO WAKUSHUGHULIKIWA.

    ReplyDelete
  4. Sasa watanzania tunakwenda wapi na hili tena. tulidhani haya ya ubabe wa baadhi ya viongozi yamekwisha. nadhani yule mwanasiasa aliyeshauri Watu wanaoteuliwa na Mheshimiwa Rais wapunguzwe nadhani huu ni wakati wake. kwa maoni yangu ni vigumu sana kujua wote kama ni wa hali hii au wazima. watu walio karibu nao yaani wananchi ndio wawachague. Naona mzee Lyatonga nae hawaachi watanzania waliochini na wanoonewa.

    ReplyDelete
  5. Siyo Augustine Mrema hapo mwenye kibandiko kwa nyuma?

    ReplyDelete
  6. Michuzi sasa umetuthibitishia kwamba wewe ni mwandishi wa habari huru kabisa. Hongera zako mzee. Endelea kutusukumia hizo nondo. Hizi habari zilianza kuingia ughaibuni jana usiku lakini hatukutegemea kama ungeweza kuweka picha zake!.

    ReplyDelete
  7. Naona uandishi hapa unafuatwa, anashukiwa kumpiga risasi au alimpiga risasi? Mbele ya kadamnasi yote hiyo tutasemaje anashukiwa badala ya kusema alimpiga?

    ReplyDelete
  8. Huyo hapo ni Mrema? Sasa jamani hawa viongozi mbona wanaanza kuua wananchi?

    ReplyDelete
  9. Jamani siasa kweli mchezo mchafu namwona hapo Mrema kaenda kutafuta photo opportunity mbona hakwenda kwenye mazishi ya kimada wake naye alikufa hukohuko kawe, hili la ditopile nalo ni soo kinoma maana kauwa ndugu yake mwenyewe huyo mbonde si mndengeleko na yeye mzaramo basi kazi ipo wallahi

    ReplyDelete
  10. Mzee Lyatonga anajua mengi ya serikali lakini ndio hivyo kila kijitahidi anabanwa afanyeje zaidi ya kuhudhuria mazishi masikini..Michuzi hebu tuambie kama kuna viongozi walijitolea kwenda kwenye msiba au wanaona soo kiongozi mwenzao kaharibu live inabidi wawe kimyaa wafumbe macho msiba upite?

    ReplyDelete
  11. nimepokea kwa masikitiko makubwa kitendo cha kigogo wa serikali kutumia cheo chake na kuua bila kufikiria mara mbili,naomba hatua za kisheria zichukue mkondo wake na mtuhumiwa afungwe maisha,pia napenda kutoa pole kwa wafiwa na watanzania wote kwa ujumla kwa msiba wakinyama,ila niomba mr michuzi uweke picha ya marehemu kwani mimi nipo nje ya nchi na nimekaa kawe kabla ya kuja huku na nadhani mbonde ninayemjua ndio huyo aliyekufa lakini sina uhakika sana so plz naomba weka picha yake niwe nauhakika

    ReplyDelete
  12. Hongera Mzee wa Kilalacha kwa kuhudhuria mazishi ya ndugu yetu mpendwa. Endelea kuwa na moyo huo huo baadaye WATANZANIA wanaweza kukufikiria na kukupa ukuu wa NCHI

    ReplyDelete
  13. Hongera Mzee wa Kilalacha kwa kuhudhuria mazishi ya ndugu yetu mpendwa. Endelea kuwa na moyo huo huo baadaye WATANZANIA wanaweza kukufikiria na kukupa ukuu wa NCHI !!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. Weee ujinga wa kumpa nchi mrema hatuna watanzania yeye labda wa ujumbe wa nyumba kumi tena kwao kilalacha sio mjini nendeni kwao huko sisiemu tupu hakuna hata TLP wala nini na yeye kesha baini kuwa hataki kuzikwa kwao maana wamemcheza shere wenzie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...