ili kukwepa foleni iliyosababishwa na sehemu ya mahakama ya kisutu kujaa watu na magari ya wanaofuatilia kesi ya mauaji ya ditopile, msela alipanda mtuta wa barabara ya bibi titi na kuingia zanaki ili kuwahisha abiria wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Je, huyu ni Athumani Ukiwaona ditopile Mzuzuri aliyewahi enzi hizo kuwa mkufunzi hapo Kivukoni Ideological...?

    ReplyDelete
  2. It will be interesting to see if the rule of law is adheredto in my dear country regardless.
    That is a challenge JK

    ReplyDelete
  3. Je raisi Kikwete ametoa usemi gani kuhusu tukio hili zito lenye ujinamizi wa kutisha? Kumbe viongozi wetu ni wabaya na wenye roho za kizimwi hivi (kumbuka, nyanya moja ikioza, basi tenga lote limeoza). Au wanajifunza haya mambo kwenye hivyo visemina vya Good Governance vinavyotolewa kiholela na nchi za kibeberu(NY, Washington, Sydney etc).

    ReplyDelete
  4. Michuzi, wengi wa wadau wako (wanablog) ni wapiga kelele tu zisizo na manufaa kwa watumiaji blog hii. Wanajua kusoma na labda ku-type katika keyboard. Seriously, hakuna hata mtu mmoja ametoa comments zake kuhusiana na hiyo picha hapo juu. Nashauri, kama hiyo picha inaweza kutosheleza kumchulia hatua huyo dereva tafadhali Michuzi ifikishe kwa wahusika yaani Polisi wa Usalama Barabarani tuone ni hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi ya wavunja sheria hawa. Tutafurahi kuona blog inafuatia na vyombo husika vinafanyia kazi. Isaac - Kampala

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...