wadau kibao walijitokeza kumpa taff jk a
lipopita tukuyu majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. The teh teh...nawaona wanyambala!!!

    ReplyDelete
  2. Mbona majamaa wote hao kama hizo suti wameazima waliposikia kk amekuja hapo?

    Kama huyo wa mstari Nyeupe sijue ndiyo P diddy wa Japan,lakini mmependeza kiasi vijana vipi mabox huku ngumu kama huku kwetu?

    Thankx

    ReplyDelete
  3. Haki ya nani utadhani ni yuko kwenye dresing rum akimaliza kuvaa kostium yake vizuri kwenda kuonyehsa play kwenye thieta, jamana hizi fasheni wengine zina wakataa!

    ReplyDelete
  4. prosper tuwasiliane kaka, makambako long time.mawasiliano yangu haya hapa, mtafiti@hotmail.com,

    michuzi, umuhimu wa blog yako ni wa kipekee, huyu ndugu sijaonana naye wala kuwasiliana naye tangu 1993!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...