
vizorro pia vilikuwepo kwenye maonesho ya jana ya redds africa fashion awards ambapo wabunifu wanane wa kitanzania walionesha kazi zao watazoenda kushindania novemba 11 huko maputo katika nusu fainali na baadaye washindi watakuja dar kwenye fainali itayofanyika desemba 2. mshindi wa kwanza atapata dola 5,000 kwa waliobobea, na wabunifu wanafunzi mshindi atapata dola 3,000
Luv the style no matter what people say. Keep it up
ReplyDeleteU r sick bruv, luv d style. u can luv d style, but what's up with making such statement? "no matter what people say" what's up man??? No one has said anything. Get in this blog talking sense NOT talking shit man, If you don't have better things to type here. Go and do a poo, relax, take a deep breath. OK?
ReplyDelete