mizz tz wa kwanza aina maeda. jumamosi hii anatarajiwa kupata mwenza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MH! KWAKWELI, MBONA HAPA YUKO UGLY HUYU DADA? MIMI NAONA NI PICHA TU EMEMHARIBU, AU MNAONAJE WADAU?

    ReplyDelete
  2. Am so happy for her. Aina is the best perosn of all the bongo women celebs I've ever met. She's so down to earth and friendly.I wish her all the best in her marriage. We unaesema ugly utajiju. Thats Aina for u na umesha ambiwa ni miss TZ wakwanza.

    ReplyDelete
  3. mhh, huyu dada hajaolewa tu hadi leo? sio mkubwa sana kweli? Anyway, tunamwombea maisha mazuri yenye furaha tele.

    ReplyDelete
  4. i like her..

    ReplyDelete
  5. AINA she is the best, sio kama wengine wakiwini umiss tz. basi wanajiona wao ndo wao. Aina is very down to earth and very friendly hana maringo. Sio kama wakina Shose Sinare, Emily Adolf na kazalika nazani wadau mliona wenyewe comments zilizotolewa tangu bulogu hii ianze kulipokuwa na topic za ma miss wote wa tz.
    Hongera sana Mwanaume anayemuoa Aina maana umepata mwanamke mwema,

    ReplyDelete
  6. MWENYE MAONI YA MWANZO KABISA,
    HUJAKOSEA SHE LOOKS VERY UGLY HAPA. LAKINI NAPENDA KUKUHAKIKISHIA KUWA NI PICHA TU IMEMHARIBU, NA PIA ZAMANI HIZO NAONA WALIKUWA HAWAJUI KUPAKA MAKEUPS VIZURI.
    SHE IS BEAUTIFUL.

    ReplyDelete
  7. Katika MaMIss nao wazimia huyu ni mmoja wao nakumbuka nilikwua nina mzimia sana nikiwa Primary school pale Oysterbay, nakumbuka alikuwa ana soma Muhimbili Primary school, na alikwua akija Oysterby Primary school na dreva wao kumpitia mdogo wake , ambaye alikwua ana soma Obay , nilikua sichoki kumkodolea macho ,nikimuwaza japo nilikuwa Mdogo, soon nikasikia ame kwenda USA na baada ya kupotea kwa muda mrefu nikasikia amerudi na amekuwa MIss TZ, kwangu ni mrembo wa siku zote.pia namfananaisha sana Ms Farajah Kotta, Ms Kotta nnimemkubali tu kwa sababu ana fanana na Aina Maeda , Farajah alikua anikumbusha sana mrembo Miss Tanzania wangu ,Ms Aina Maeda.

    ReplyDelete
  8. hII NI PICHA TU YA ZAMANI NA HUO WEUSI NA WEUPE WA AJABU NI PICHA YENYEWE IMECHUBUKA. MIMI NAKUMBUKA WAKATI HUYU ANAKUWA MISS TZ WATU TULIKUWA JANGWANI NA HIYO STYLE YA NYWELE MADADA WOTE WA JANGWANI NDIYO ILIKUWA KWA SANA. kILA MTU ALIVUTIWA NAYE..WENGINE TUKAWA TUNATAMANI TU KUFIKA HUKO MAREKANI NA SISI. NI MZURI KWA KWELI. WANAOSEMA NI MBAYA EMBU WALETE PICHA ZAO ZA MIKA 95 TUZIONE KAMA HATA ZITAMATCH HALF WAY. HAYA DON'T HATE HATERS NA ANAYESEMA HUYU AJAOLEWA TU YEYE AMEOLEWA? KUOLEWA SIYO MWISHO WA MAISHA SOME PEOPLE ARE CONTEMPT JUST BY BEING SINGLE...WANAOKIMBILIA KUOWA NA KUOLEWA NDIO HAO KILA SIKU MACHO BADO WANAYANG'AA NJE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...