
jk akipiga stori na jean pierre bemba, kinshasa. ikumbukwe jk alipokuwa waziri wa mambo ya nje ndiye aliyeweza kumshawishi jp bemba kutoka msituni na kukaa kwenye meza ya mazungumzo ya amani. alimtembelea mgombea huyu wa urais drc juzi kwa kofia ya mwenyekiti wa kamati ya usalama na amani ya nchi za sadc
Michuzi,kama JK angekuwa anawatembelea akina Lipumba mzee wa ntimanyongo,Mrema mzee wa kuhamaki,mmmmmm maalim sefu wa zenji natumai wangekuwa kimyyyaaaaaa
ReplyDeleteHii ni sebule au Godown(ghala).Maana yake lilivyojaa vitu utafikiri godown la mhindi hata hewa fresh hakuna.Afadhali kibanda changu cha kule Kimanzichana kina vitu vichache ndani hewa fresh yazunguka kila upande sivuti hewa inayozalishwa na air condition.Mwanga mwingi fresh toka nje unaingia. sihitaji mwanga wa Umeme wa Richmond Mchana kama Godown la Bemba!Ala! kumbe ninaimba wimbo wa kindengereko.Samahani Bemba sikujua wewe ni mkongo unayependa magodown na masuali makubwa ya kuvalia shingoni.
ReplyDeleteWacha ushamba hiyo ni family room.Watu wengi wenye hela wanakuwaga na family room na hii jinsi ilivyokaa inaonekana ni basement kwake...
ReplyDeleteKama ukiwa mpinzani mambo yanakuwa safi hivi kama kwenye sebule ya Bemba nadhani Tanzania kila mtu angekuwa mpinzani na angejiunga na upinzani.Lakini hapa Tanzania hatari, ukiangalia mahali anapolala kiongozi wa upinzani huna haja hata ya kujiunga naye.Unaogopa kunguni wa umaskini wa mwenyekiti wa Chama wasije wakakuuma.
ReplyDeleteBemba persevere in defeat
ReplyDeleteSummon the political will
To stand up and fight gain:
That is démocratique essence!
Killing DCR-ians
Stealing DRC minerals
To build mansions;
Twa (Mbilikimo)already victims
Of a brutal civil war
Now losing their forests
To loggers supplying teak
For Bemba's mansion!
Cry, my beloved Matonge,
For the nouvelle riche élite
Has forsaken you;
In your beloved Kinshasa!
eti hii ni family room, living room, den, multimedia room, or something else?
ReplyDeleteYani sebule haina class kabisa , utadhani ni zile sebule Big screen na makochi meusi ya ledha ..ghetto!
ReplyDeleteMi nilizani wako ndani ya bunker.
ReplyDeleteHiyo haiwezi kua sebule ya jumba