Home
Unlabelled
bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bw Michuzi, please usisema kadege ketu, tumeinunua kwa hela nyingi sana iyo.Wananchi wamekula majani kujinyima mpaka ndege ikanunuliwa. Sasa wewe unasemaje kadege ketu, maana yake umeizarau au?kwa kauli hii ukiitwa bungeni kuojiwa na kamati ya maadili ya bunge utasema umeonewa?
ReplyDeleteKweli hako ni kadege!, ukilingansha na hizo za Jirani zetu... MMhm! Yaani nilikuwa sijawahi kuitia machoni... Kelele za wabunge zilinifanya nione tumenunua dege kubwa kwelikweli... Looh!
ReplyDeletesasa je!! na hako nako utakaita ndege...wala Michuzi hajakosea..hicho ni kidege
ReplyDelete