kadege ketu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bw Michuzi, please usisema kadege ketu, tumeinunua kwa hela nyingi sana iyo.Wananchi wamekula majani kujinyima mpaka ndege ikanunuliwa. Sasa wewe unasemaje kadege ketu, maana yake umeizarau au?kwa kauli hii ukiitwa bungeni kuojiwa na kamati ya maadili ya bunge utasema umeonewa?

    ReplyDelete
  2. Kweli hako ni kadege!, ukilingansha na hizo za Jirani zetu... MMhm! Yaani nilikuwa sijawahi kuitia machoni... Kelele za wabunge zilinifanya nione tumenunua dege kubwa kwelikweli... Looh!

    ReplyDelete
  3. sasa je!! na hako nako utakaita ndege...wala Michuzi hajakosea..hicho ni kidege

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...